Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Status
Not open for further replies.
Ccm bado wanajitahidi kutuchakachua ila watanzania tukisimama pamoja tutaing'oa.
 
Nyerere aliongelea hili kwenye hotuba yake kuwa ccm watajimaliza wenyewe.
Na sasa inatokea wao wenyewe ndio wanajimaliza.
 
Na hakika naona wakati ndio huu hasa pale ambapo siku 90 zitakua zimepita ndipo CCM na mafisadi wake watakapogundua kwamba kule kuvua gamba la UFISADI nchini wala haukua mashindano tu ya Ulimbwende wa kisiasa; Nguvu ya Umma sasa tutaelekezeni uzuri sana namna ya kumchuna kenge gamba lake.

Yaani nyie muwe mnaendelea kurushiana mpira linalotafuna taifa na kutuacha wananchi tukiwa tuko hoi bin taabani; ndio mchezee hivyo, ngojeni kidogo siku 90 hizo mlizojipa ziishe ndipo tutakapojuana uzuri.

Nyerere aliongelea hili kwenye hotuba yake kuwa ccm watajimaliza wenyewe.
Na sasa inatokea wao wenyewe ndio wanajimaliza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom