Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Status
Not open for further replies.
Yaaani rais anatoa kaule as if ni konda wa daladala pale mtongani
 
Ukweli una tabia ya kujirudia rudia na kujitetea wenyewe.Ukweli ni kuwa serikali ya JK imeprove failure na uhalali wa kuongoza
kwa JK kusema kuwa hata yeye anashangaa Dowans ni udhaifu na kuwatukana watz,lazima achukue hatua maana he has massive power kujua nani mmiliki na jinsi ya kuchukua hatua
kwa hotuba yake ya jana kuwa mauaji ya arusha ni chama flan kujitafutia umaarufu ni udhaifu mkubwa na kukosa uhalali wa kuongoza
natoa wito kwa Jk kujiuzulu vinginevyo asubiri peoples power

Red:
Powers have principles: In electricity, if you pass high voltage over a thin conductor, the conductor will burn out!

Heat a metal conductor in high temperatures, it will melt.

Imagine taking millions people's power and place on a weak person! He may run mental.

Always place power in a right conductor!
 
Mkuu,
Anguko kama lile la Jagwani? au....
Siku ile alikuwa na swaumu....siku hizi ramazani imekwisha, labda mwakani atakapokuwa na swaumu tena!!!
Si unamwona bana anakwenda mwendo mdundo...matembezi ya mshikamano... soon sherehe za miaka ya 50 ya nchi ambayo haipo!!!

Bado jama anadunda..mwendo mdundo...sisi wananchi wanyonge ndio tunaoanguka...na hakuna wa kutupa tough!!! longo longo tu....
tunamsaidia sana tunapoandika anapata kujua jamii inamfikiriaje na usiipuuze ile charm offensive yake...cheka cheka inamsaidia sana kwa wadanganyika!
 
CCM mwaka 2015 ndio mwisho tunamuomba magufuli aje upinzani 2015 CDM tunachukua nchi kirahisi sana,
 
As if hiyo nguvu ya umma mnayo peke yenu.
KINYESI!

nguvu ya uma wanayowatanzania waliochoka na uendeshwaji wa serikali ya kishikaji na kama wewe unatoka familia za akina kanuba kama ilivyo kwa asilimia kubwa ya watanzania, siamini kama unafurahishwa na mwenendo wa uwendeshwaji wa serikari hii...........acha ushabiki wa kisiasa na jaribu kumsaidia huyo mkuu wako Mr.smile kutatua matatizo ya wananchi waliokata taahaa na kujiona kana kwamba wako ugiuni wakati wapo ktk nchi yao....tazama migomo mbalimbali inayoendelea nchini, tazama ugumu wa maisha kwa watanzania wenzako ndo ufungue mdomo kupinga mwisho wa aovu haya ambayo ni peoples power.....unafikiri yaliyotokea Tunisia na Egypt chanzo ni nini?nafikiri wewe si tuu kada wa ccm rather unaundugu na akina azizi,and many other tycoon....talk sense guy okey......tz ni yeu wote even with no parts....think b4 opening ur mouth:thinking:
 
Nchi hii inahitaji zaidi mshikamano, sala na maombi pili viongozi wote wawe na hofu ya Mungu bila hivo siku zote tutalalamika mambo hayabadiliki hadi Tanzania imrudie Mungu pale ambapo viongozi wake walimwacha.
 
Ndugu zangu
anguko la JK lipo wazi kabisa,gharama kubwa za maisha na gap kati ya maskini na matajiri ni moja ya sababu za msingi sana kwa nini Jk anapaswa kuanguka,uchumi wetu kushikiliwa na wachache nianguko la Jksasa amekaa kimya mauaji ya arusha,bila aibu wala haya anatamka kutomtambua Gabgo,sasa sijui ni kuchangyikiwa au ni kulewa madaraka,kimsingi ni muda wa sisi watanzania kutumia nafasi zetu kila mmoja pale alipo kuaaka na kuipinga serikali hii ya kitapeli na uhuni,let us unity and fight for our ation forever,natoya wito wa kuanza maandamano ya kupinga ufisadi wote.let us dare and keep daring forever kutomtambua Gabgo

JK bado ana miaka minne amalize aondoke ndiyo demokrasia, maximum two terms ana bahati alipata term ya pili
 
Ndugu zangu
anguko la JK lipo wazi kabisa,gharama kubwa za maisha na gap kati ya maskini na matajiri ni moja ya sababu za msingi sana kwa nini Jk anapaswa kuanguka,uchumi wetu kushikiliwa na wachache nianguko la Jksasa amekaa kimya mauaji ya arusha,bila aibu wala haya anatamka kutomtambua Gabgo,sasa sijui ni kuchangyikiwa au ni kulewa madaraka,kimsingi ni muda wa sisi watanzania kutumia nafasi zetu kila mmoja pale alipo kuaaka na kuipinga serikali hii ya kitapeli na uhuni,let us unity and fight for our ation forever,natoya wito wa kuanza maandamano ya kupinga ufisadi wote.let us dare and keep daring forever kutomtambua Gabgo

:clap2: Wote wangekua na akili ka zangu tungelianzisha hata leo, jk akapumzike msoga.
 
Wanaomtetea JK endeleeni,ila sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,na uhakika Jk kajiandalia anguko lake mwenyewe kwa kushindwa kuchukua hatua stahiki kwa masilahi ya taifa.Katu sisi tunaoumia na ugumu wa maisha hatutarudi nyuma,we will dare and keep daring forever
 
Ndugu zangu
mtakumbuka nilitabiri anguko la jk huko nyuma,na leo nazidi kuthibitisha anguko lake kwa sababu hizi
1.wakati wa kuadhimisha miaka 34 ya ccm,jk alisema ni wakati wa ccm kubadilika kama nyoka,eti ili ipate kuaminiwa na kuendelea kubaki madarakani,kwa JK swala la msingi ni yeye kubaki madarakani na si kutatua matatizo ya msingi ya wananchi,kitendo cha JK kukosa upeo huu amejiandalia anguko lake mwenyewe
2.Katika swala la arusha imedhihirika kuwa si JK,Pinda,usalama wa taifa wanaojua ukweli,ndiyo maana wanasema uchaguzi umeisha na meya ni halali,katika hali ya kawaida tulitegemea JK na viongozi wenzake waujue ukweli kwa kutumia mfumo wa kiulinzi na usalama wa nchi,kinyume chake ni kukosa uhalali wa kuongoza nchi
3,Kufeli kwa nusu ya wanafunzi ni janga la kitaifa,na jk amekosa uhalali,DR Slaa alipata kusema kuichagua CCM NI MAAFA NA KWELI TUNASHUHUDIA MAAFA HAYO.
Ni saa ya ukombozi
 
2015 utakuwa hai au nguvu ya kupigia kura? hizo bei za chakula na ugumu wa maisha unafikir kutakuwa na watanzania wenye nguvu tena? Mchakato uanze sasa hivi kwa maanadamano ili kumfukuza Fisadi Kikwete na Majambazi wenzake:msela:
 
Siku yakitimia utanikumbuka, CCM imesini mama juu ya ufisadi na haiwezi kendelea kusimamia hapo. Kuanguka ni lazima kwani misingi ni mibovu.

Nakushauri kama unakipenda sana CCM chukua hatua ya kukiokoa ila naona too late to do so. Soma dalili.

Uchaguzi wa chama uko karibu lazima wakinusuru chama hiki; I wont be happy if CCM will die or disentegrate I would want it to stay live na kuona jinsi walivyosaidia kuchelewesha maendeleo ya nchi hii. Nakiombea kiwe chama cha upinzani kwani kitaisimamia vizuri serikali ya chama kitakachokuwa madarakani....Lakini nakiombea zaidi baada ya kujirudi na kukumbuka misingi yake kichukue tena dola na kuifanya siasa ya Ujamaa na kujitegemea kuwa for realy kama alivyo visionalize baba wa Taifa.....
 
Ni kweli unachosema. Hata mie leo nilikuwa kwenye daladala nikitokea Mbagala kuja Ubungo. Jamaa mmoja alipandia kituo cha mtongani. Kwa kutaka kuwachokoza wananchi alisema "CCM oyeee" watu wote waliguna na wengi wao wakakunja uso na hawakutaka kumjibu chochote.

Tulipofika kwa zizi Ally akaropoka tena "CHADEMA oyeeee" watu walicheka na kushangilia, na hapo ndipo watu kwenye daladala walipoanza kuongea kila mtu akisema tunataka mabadiliko mwaka huu upuuzi hatutaki.

Hapo ndo nilijua kumbe Dr. Slaa watu wanamhitaji tofauti na CCM wanavyodai. Sikutegemea kama basi zima asipatikane hata mshabiki mmoja wa CCM kumuunga mkono jamaa aliyeropoka.

Hivyo basi usemi wako ni kweli kila kona watu sasa hivi mazungumzo ni Dr Slaa

Hivi kama CCM inaanguka si ndivyo CDM wanavyota taka? na kama ni kweli kwanini mtu afikirie lazima CDM ndicho chama pekee kitakacho kuja madarakani? tatizo ni kwamba JF ni jukwaa la CDM kila kitu humu ni CDM, CDM.......... hakuna any constructive ideas anymore! actually it is now very borring!
CDM badala ya kujiandaa na ku utilize weaknesses za CCM, kazi ni kujisifu na kutafuta sifa za kijinga kila kukicha je wakichukua dola itakuaje?
 



CDM badala ya kujiandaa na ku utilize weaknesses za CCM, kazi ni kujisifu na kutafuta sifa za kijinga kila kukicha je wakichukua dola itakuaje?

nilikuwa natafuta crap ya wiki. hatimaye nimepata.

ahsante sana shangazi.
 
Jamaani kilo moja ya kitimoto elfu 6500 balaa! Huku kwetu kilo moja ni 3500, kweli maishi in balaa baada ya miaka mitano vp?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom