Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Gurudumu acha uoga,uoga ndio umetufikisha hapa,kama wewe waogopa kaa kimya,,huu ndo wakati wa ukombozi,na kamwe hatutarudi nyuma h
Naendelea kusikiliza BBC. Kuna jamaa mu-Egypt anaishi UK anasema amepigiwa simu na mshirika wa karibu wa Mubarak (raisi wa Egypt) amemwambia afya yake ina deteriorate kwa kasi sana. Nadhani presha inapanda,inashuka ndo maana hameshindwa kutoa press release. I am comparing this country with Tanzania, we are quit similar except they are economically far from us. They are complaining about nepotism, the same thing is happening to us. Corruption, the same. Yani they are preparing their sons and daughters to rule us through chama cha majambazi which is what people of Egypt are also complaining. Siamini kwenye fujo ila chonde chonde tunataka usawa na sisi watoto wetu wawe na equal share ya National Cake.
kaka tuko pamoja ........hawa ni kuwatoa kwa nguvu tu hamna jinsi nhyingine
As if hiyo nguvu ya umma mnayo peke yenu.
KINYESI!