Kila mmoja amobilize watu kwenye eneo lake,haiwezekani kwenye dimbwi la umasikini mkubwa namna hii JK waendelee kufaidi cake ya taifa et na sisi tukae kimya.
Tumenyonywa vya kutosha,tumedhalilishwa vya kutosha,ni saa ya ukombozi
tulipigania uhuru si kwa ajili ya kuwaondoa wazungu,bali kwa kuwa utawala wa kizungu ulishindwa kutuondoa kwenye umasikini,maradhi na ujinga,na kwa kuwa utawala wa jk umeshindwa kutuondoa kwenye umasikini maradhi na umezidi kuongeza maskini na ujinga,tuna kila sababu ya kupigania uhuru wetu