Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Status
Not open for further replies.
Kada maarufu wa CCM, Pancras Ndejembi amekitabiria chama hicho kikongwe kuzama.

Kada huyo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Dodoma alisema jana kuwa hali ilipofika kwa sasa, CCM inaonekana kupoteza mwelekeo na kutia shaka mustakabali wa chama hicho siku za usoni.

Ndejembi ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya seikali na chama katika utawala wa seikali ya awanu ya kwanza, alisema CCM bado haijaingia shimoni ila inaelekea huko.

Ni kweli chama hakifuati utaratibu uliokuwepo ndio maana nasema kuwa kinaelekea kuzama tofauti kabisa na enzi zetu ambapo Mwalimu Nyerere akiuwa anasisitiza kuwa turudi kwa wanachama tukae nao na kuzungumza, jambo ambalo sasa hilo halipo tena na viongozi wamebaki huko juu.

Ndejembi alisema hakuna mshikamano wa dhati ndani ya chama.

Source: Mwananchi Jumapili.

Heri wenye kuona mbali maana watawashauri viongozi myopic wa CCM kubadilika vinginevyo, shimo hilo wanajichimbia na karibu waingie. Na hawa wazee waliotupwa na CCM ndio wanazidisha laana kwa hili dubwana CCM.

Mh kama ana mashabiki{wapiga kura} mil 8 uoga unatoka wapi kwa chama chenye kura 3mil?

Kada maarufu wa CCM, Pancras Ndejembi amekitabiria chama hicho kikongwe kuzama.

Kada huyo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Dodoma alisema jana kuwa hali
ilipofika kwa sasa, CCM inaonekana kupoteza mwelekeo na kutia shaka mustakabali wa chama hicho siku za usoni.

Ndejembi ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya seikali na chama katika utawala wa seikali ya awanu ya kwanza, alisema CCM bado haijaingia shimoni ila inaelekea huko.

Ni kweli chama hakifuati utaratibu uliokuwepo ndio maana nasema kuwa kinaelekea kuzama tofauti kabisa na enzi zetu ambapo Mwalimu Nyerere akiuwa anasisitiza kuwa turudi kwa wanachama tukae nao na kuzungumza, jambo ambalo sasa hilo halipo tena na viongozi wamebaki huko juu.

Ndejembi alisema hakuna mshikamano wa dhati ndani ya chama.

Source: Mwananchi Jumapili.

Heri wenye kuona mbali maana watawashauri viongozi myopic wa CCM kubadilika vinginevyo, shimo hilo wanajichimbia na karibu waingie. Na hawa wazee waliotupwa na CCM ndio wanazidisha laana kwa hili dubwana CCM.

Inaonyesha hakuna siasa humu bila kutaja CCM na CDM.Uvivu wa kufikiri!

Naamini anguko la Jk limekuwa karibu zaidi,kutokana na jinsi mambo yanavyoenda......
Ameshindwa kusuluhisha mgogoro wa umeya Arusha,badala yake anaenda kusuluhisha ivory coast.Nchi imemshinda natamani aanguje hata sasa hivi

tabia za wapenda sifa ndivyo zilivyo hivyo. Masikini tanganyika ya mwalimu!

Naamini anguko la Jk limekuwa karibu zaidi,kutokana na jinsi mambo yanavyoenda...... Ameshindwa kusuluhisha mgogoro wa umeya Arusha,badala yake anaenda kusuluhisha ivory coast.Nchi imemshinda natamani aanguje hata sasa hivi
Dua la kuku

Kadri siku zinavykwenda naona dalili zote za CCM kuanguka. Hakuna atakayeweza kuiokoa chama hiki kongwe. Naona anguko hilo litatokea ndani ya miaka kumi na tano (15). Watakaokingusha CCM ni wana CCM wenyewe, si vyama vya upinzani.

Zifuatazo ni dalili ya kuanguka kwa CCM
1. Upendo kati ya wanachama umekwisha, ni ugomvi usiokwisha ( Sitta camp Vs Rostam camp)

Umelisahau kundi la JK, kuna makundi matatu ndani ya hicho chama na kundi la RA ndio kubwa na ndio linacontrol NEC kwa kuwa wanapesa

Karibu mkuu, sijakusoma siku nyingi nikadhania pengine ulikwenda kugombea ubunge Makongolosi!! Hata wakiongeza mishahara kinyemela wafanyakazi wengi wanaishi kwa dhiki na most likely hawatampa kura Jakaya!! Ushindi wake utakuwa wa wizi wa kura. He might ascend to the office but he will be illegitemate!!

Duhh:juggle:

Kweli kabisa dalili ndio hizo kila mahali nchini kuanguka puu kwa Kikwete na CCM.

Kadri siku zinavykwenda naona dalili zote za CCM kuanguka. Hakuna atakayeweza kuiokoa chama hiki kongwe. Naona anguko hilo litatokea ndani ya miaka kumi na tano (15). Watakaokingusha CCM ni wana CCM wenyewe, si vyama vya upinzani.

Zifuatazo ni dalili ya kuanguka kwa CCM
1. Upendo kati ya wanachama umekwisha, ni ugomvi usiokwisha ( Sitta camp Vs Rostam camp)

2. Fedha ni kipaumbele siyo Sera au hoja.

3. Wasemaji wa chama ni wapayukaji ( makamba, Hiza Tambwe, Sofia simba)

4. Wazee wenye busara wamesusa chama ( Warioba, Salim, Butiku, Sumaye)

5. Familia ya viongozi wamekiteka chama ( Makamba's, JK's, )

6. Kampeni zimebadilika kuwa concert ( wanamuziki kibao)

7. Kununua wapinzani

8. Kukataa midahalo ( mchakato majimboni- TBC)

9. Ahadi nyingi wakati huu wakati za mwaka 2005 hazijatekelezwa ( Mikopo ya wanafunzi maisha bora kwa kila mtz n.k)

10. Chama kujadili issue binafsi zaidi badala ya maslahi ya wananchi.

CCM kwa sasa ina uwoga sana kuliko cha chama chochote hapa nchini. Wanaelewa wanakoelekea.

Naona kama kuna kaukweli ndani yake!!!!

kadri siku zinavykwenda naona dalili zote za ccm kuanguka. Hakuna atakayeweza kuiokoa chama hiki kongwe. Naona anguko hilo litatokea ndani ya miaka kumi na tano (15). Watakaokingusha ccm ni wana ccm wenyewe, si vyama vya upinzani.

Zifuatazo ni dalili ya kuanguka kwa ccm
1. Upendo kati ya wanachama umekwisha, ni ugomvi usiokwisha ( sitta camp vs rostam camp)

2. Fedha ni kipaumbele siyo sera au hoja.

3. Wasemaji wa chama ni wapayukaji ( makamba, hiza tambwe, sofia simba)

4. Wazee wenye busara wamesusa chama ( warioba, salim, butiku, sumaye)

5. Familia ya viongozi wamekiteka chama ( makamba's, jk's, )

6. Kampeni zimebadilika kuwa concert ( wanamuziki kibao)

7. Kununua wapinzani

8. Kukataa midahalo ( mchakato majimboni- tbc)

9. Ahadi nyingi wakati huu wakati za mwaka 2005 hazijatekelezwa ( mikopo ya wanafunzi maisha bora kwa kila mtz n.k)

10. Chama kujadili issue binafsi zaidi badala ya maslahi ya wananchi.

Ccm kwa sasa ina uwoga sana kuliko cha chama chochote hapa nchini. Wanaelewa wanakoelekea.

ccm rip

Ufisadi ndio sera yenyewe halafu mafisadi wanataka kuenguliwa, patakalika?:help:

Vita dhidi ya UFISADI uliokithiri nchini; all eyes on President Kikwete baada ya siku 90 zilizotolewa na chama chake. Nasema baada ya hapo patachimbika!!!!!!!!!!!!!!

• Thanks
Reactions: Ame
Vita dhidi ya UFISADI uliokithiri nchini; all eyes on President Kikwete baada ya siku 90 zilizotolewa na chama chake. Nasema baada ya hapo patachimbika!!!!!!!!!!!!!!

Kamanda kamata combat na kaza buti zako sawa sawa maana hivi vita vya mwisho mwisho wasiokuwemo nawaliomo watakapo kamata silaha ujue adui atatumia last card yake kuokoa jahazi lake linalozama!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom