Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Status
Not open for further replies.
Ndugu wana JF
huko nyuma nimejaribu kueleza kwa nini Jk lazima aanguke,na bado naendelea kusisitiza anguko lake ambalo anajiandalia mwenyewe,baada ya mabomu yaliyosababisha vifo vingi leo Jk ameondoka nchini kuelekea mauritania,katika kile kilichoelezwa kuwa ni kutafuta suluhu ya ivori costi
Baba mwenye nyumba anawezaje kuondoka na kuacha msiba mkubwa nyumbani kwake na kwenda kwa jirani?Jk amezidi na sasa ni muda kwa watz kumwondoa madarakani maana
haiwezekani watu wetu wafe kwa uzembe na rais aondoke hata bila kuwazika eti kutafuta amani ivorikosti haya ni madharau makubwa,na hivyo amekosa uhalali wa kuongoza
ni saa ya ukombozi
peace must not be the absence of war
 
[hapo kwenye red]

ingekuwa ni kwa uzembe wahusika wangejiuzulu.
 
Hawezi kuanguka mwenyewe jamani acheni ndoto!Ama unazungumzia "Kuanguka" kwa aina gani mkuu? do you mean mweleka ama the fall of his government?If you mean the latter,then it just dont happen by it self ma friend.
 
Bado serikali ni imara sana ,na hii misukosuko inayotokea haihusiani kabisa na utawala uliokuwepo,tutaonekana vihio na wenye tamaa ya fisi ,kama tunamatarajio ya kuanguka kwa utawala wa ccm kwa siku za karibuni,Hii serikali itadumu kimugabe na si vinginevyo.
 
I mean the fall of his government,,mwiba nshakuzoea wewe ni mmoja wa wasioweza kumwambia mfalme yu uchi hata baada ya kuona uchi wake.
Kukosa uchungu na unaowaongoza ni dalili ya anguko tena anguko kuu,maana people will justfy the means
 
Ndugu wana JF
huko nyuma nimejaribu kueleza kwa nini Jk lazima aanguke,na bado naendelea kusisitiza anguko lake ambalo anajiandalia mwenyewe,baada ya mabomu yaliyosababisha vifo vingi leo Jk ameondoka nchini kuelekea mauritania,katika kile kilichoelezwa kuwa ni kutafuta suluhu ya ivori costi
Baba mwenye nyumba anawezaje kuondoka na kuacha msiba mkubwa nyumbani kwake na kwenda kwa jirani?Jk amezidi na sasa ni muda kwa watz kumwondoa madarakani maana
haiwezekani watu wetu wafe kwa uzembe na rais aondoke hata bila kuwazika eti kutafuta amani ivorikosti haya ni madharau makubwa,na hivyo amekosa uhalali wa kuongoza
ni saa ya ukombozi
peace must not be the absence of war

Uliona wapi rais wa nchi anajiangusha!!! Nadhani unaota. Jk anatakiwa kuangushwa na wananchi. Zipo aina mbili za wananchi kumwangusha. Moja ni kwa kutumia sanduku la kura na ya pili ni kama wanavyofanya wenzetu waarabu Misri, Tunisia na sasa Libya, Yemen, Bahrain, n.k. Bila njia hizo mbili jk ataendelea kupeta tena kwa kujinafasi kama mwenyewe anavyotamba kwamba kelele za mpangaji hazimkoseshi usingizi mwenye nyumba.
 
Mie napenda, Siku atakapoanguka KIFAFA chake aende jumla, make huyu Bwana kawa Kichefuchefu. HATUFAI.
 
Hayo yote yanawezekana na kwa sababu za msingi peke yake ndo kikwazo kikubwa sana haya taulo imeanguka kwa wakwe nani ataiokota
 
Tumeshaingia mkenge tuvumilie kwa miaka mitano au tusubiri mkono wa Mungu ufanye kazi yeye mwenyewe akipenda atuondolee hili ballaa
 
Yaani huyu mkuu hana machungu hata kidogo, kaenda kufurahia nights za AU na kuacha madogo tukihangaika tu. Jamani hadi tutoboe twentyfifteen tutakuwa tushalia!
 
Naomba tushimshirikishe Mungu kwenye uoga na pumba zetu.kama sisi watanzania ndio tumemuweka madarakani(waliompigia na waliomnyima kura) ndio sisi sisi tunaopashwa kumuondoa madarakani.Aisee mtu asimshirikishe Mungu kwenye hili tutakosana.
 
Jk akienda asirudi wananchi tusimame katika viwanja vya ndege kumzuia kurudi tanzania.tufunge viwanja ndege yake isitue.mungu ibariki tanzania.
 
Ndugu wana JF
huko nyuma nimejaribu kueleza kwa nini Jk lazima aanguke,na bado naendelea kusisitiza anguko lake ambalo anajiandalia mwenyewe,baada ya mabomu yaliyosababisha vifo vingi leo Jk ameondoka nchini kuelekea mauritania,katika kile kilichoelezwa kuwa ni kutafuta suluhu ya ivori costi
Baba mwenye nyumba anawezaje kuondoka na kuacha msiba mkubwa nyumbani kwake na kwenda kwa jirani?Jk amezidi na sasa ni muda kwa watz kumwondoa madarakani maana
haiwezekani watu wetu wafe kwa uzembe na rais aondoke hata bila kuwazika eti kutafuta amani ivorikosti haya ni madharau makubwa,na hivyo amekosa uhalali wa kuongoza
ni saa ya ukombozi
peace must not be the absence of war
Sijui kinachotufanya kusubiri kuangusha serikali kwa nguvu ya umma hadi leo ni nini?
 
Ile sara ya Kila Jumapili kile kipande cha kumwombe maisha marefu rais wa nchi mimi huwa nakipotezea. -maana haya sasa ni madharau kwa wananchi , kwako kunafukuta moto wewe unaenda kutengeneza kwa jirani, yaani hata mila zetu haziruhusu mzee wa mji kuondoka kitini wakati msimba unaendelea wanaotoa rambirambi wampe nani?

Mweshimiwa Rais msiba mkubwa kama huu maombolezo walau siku 7, sasa mkuu wa nchi unaondoka wakati wananchi zaidi ya 3,000 wako uhamishoni viwanja vya maonyesho sabasaba, Jamani!!

Kwa tafsiri ya kawaida kabisa suala la usuluhishi wa ivory cost lina uzito kuliko hili la kwetu. sawa ila kumbuka ile % ya ushindi wako - hawa hawa ndiyo wapiga kura wakubwa.
 
Anguko la jk ni yeye mwenyewe,nafsi yake inamsuta kwa kuchakachua kura za dr Slaa,wizi huu wa kura ndio vinamfanya Jk akose raha,na anapoona mapokezi makubwa ya chadema anaona kama Chadema wanataka kumpindua,na kufikia kulaamika,nashindwa kuwaelewa hawa wasaidizi wake maana yeye kalalamika,wao wanawatisha chadema,pinda PM kasena eti uvumilivu ukiisha,,yaani huyu ndo kabisa haoni hata mita moja mbele,nani anaishiwa uvumilivuu J_ au wananchi?kwa mujibu wa katiba yetu msingi wa mamlaka yote ni wananchi..
kama hali ikiendelea kuwa hivi naliona anguko la JK...
 
nashkuru mkuu... U really r a great thinker.,,, naunga mkono maneno yako 200 percent
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom