Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu wanaJF aka Great Thinkers.

Kwanza nawapongeza kwa kuweza kuhimili Nguvu kubwa kutoka kwa mafisadi ya kutaka kufunika hoja za msingi kama madai ya katiba mpya na Malipo ya kampuni tapeli ya Dowans.

Nimekuwa nafuatilia baadhi ya vituo vya redio hasa ya Clause FM, nashangaa wamekuwa wanavumisha sana mambo ambayo hayawasaidii wananchi na kufanya porojo ambazo hazina msingi wowote, mfano nashangaa kuonna ni kwa nini hii redio imekuwa inaunga mkono katiba kutobadilishwa na kuhakikisha Dowans inalipwa. Nataka kufahamu hivi hii redio na watangazaji wake wana maslahi gani na bil 94 watakazolipwa dowans, je wana 10% au?

Mimi nafikiri umefika wakati wa waTZ kuamka na kuzikosoa hizi media ambazo zinaonyesha wazi wazi kusupport ufisadi.

Jambo lingine ni kuhusu kuhubiri udini, mimi nafikiri waTZ tusikubali kabisa kupelekwa ambako wananchi hatutafaidi, cha msingi ni kuhakikisha Katiba mpya inapatika ambayo haiegemei upande wowote na kurudia kauli aliyoitoa Katibu mkuu wa CDM pale mabibo

“Kama rais analalamika kuwa kuna udini na hachukui hatua, nani achukue hatua, hatujaona mtu yeyote aliyekamatwa kwa kuhubiri udini, Watanzania bado tunaishi kama ndugu tena kwa amani,”

“Ukitaka watu wasiongee siasa unataka nini, hii ni kasumba ya viongozi wasiopenda kufikiri, wanaolichanganya taifa na kusababisha migogoro mikubwa,” alisema na kuongeza:
“Viongozi wa dini wanapokemea watu wanaotenda maovu katika siasa wanasemwa kuwa wanaingilia siasa, lakini Rais Kikwete alipowaita viongozi hao Kunduchi kuwaomba kura walikuwa hawaongei siasa?,”

Alihoji Dr. Slaa

Peoples power
 
Ndugu zangu wanaJF aka Great Thinkers.

Kwanza nawapongeza kwa kuweza kuhimili Nguvu kubwa kutoka kwa mafisadi ya kutaka kufunika hoja za msingi kama madai ya katiba mpya na Malipo ya kampuni tapeli ya Dowans.

Nimekuwa nafuatilia baadhi ya vituo vya redio hasa ya Clause FM, nashangaa wamekuwa wanavumisha sana mambo ambayo hayawasaidii wananchi na kufanya porojo ambazo hazina msingi wowote, mfano nashangaa kuonna ni kwa nini hii redio imekuwa inaunga mkono katiba kutobadilishwa na kuhakikisha Dowans inalipwa. Nataka kufahamu hivi hii redio na watangazaji wake wana maslahi gani na bil 94 watakazolipwa dowans, je wana 10% au?

Mimi nafikiri umefika wakati wa waTZ kuamka na kuzikosoa hizi media ambazo zinaonyesha wazi wazi kusupport ufisadi.

Jambo lingine ni kuhusu kuhubiri udini, mimi nafikiri waTZ tusikubali kabisa kupelekwa ambako wananchi hatutafaidi, cha msingi ni kuhakikisha Katiba mpya inapatika ambayo haiegemei upande wowote na kurudia kauli aliyoitoa Katibu mkuu wa CDM pale mabibo

"Kama rais analalamika kuwa kuna udini na hachukui hatua, nani achukue hatua, hatujaona mtu yeyote aliyekamatwa kwa kuhubiri udini, Watanzania bado tunaishi kama ndugu tena kwa amani,"

"Ukitaka watu wasiongee siasa unataka nini, hii ni kasumba ya viongozi wasiopenda kufikiri, wanaolichanganya taifa na kusababisha migogoro mikubwa," alisema na kuongeza:
"Viongozi wa dini wanapokemea watu wanaotenda maovu katika siasa wanasemwa kuwa wanaingilia siasa, lakini Rais Kikwete alipowaita viongozi hao Kunduchi kuwaomba kura walikuwa hawaongei siasa?,"

Alihoji Dr. Slaa

Peoples power
hapo kwenye red,hiyo radio na watangazaji wake wote pamoja na mmiliki wake ruge wote ni wazandiki+ kibonde= jk=sisiem
 
inasikitisha kuona mashehe wananunuliwa kwa bei nafuu na kutoa kauli za uchochezi; ni wazi siri kali inahusika moja kwa moja na lawama lazima zifike huko jengo jeupe.

alipolalama eti kuna udini ni kwamba alikuwa anaandaa viongozi wa dini wa kwake ili wawezee kuwa- counter wale viongozi wa dini wasiopindisha ukweli.

historia imeshaandikwa;
  • damu ya watz imemwagika sababu ya demokrasia na hiyo itafutika
  • chama tawala kimepitisha malipo ya do once
 
Nakubaliana nawe yote, ila hapo kwenye RED (labda iwe haitafutika).
 
Mimi naafikiri viongozi wa dini kuikosoa serikali kwa mambo ya kweli sio udini, kwa udini ni ubaguzi wa mtu kumfanyia kitu kizuri au kibaya kwa kigezo cha dini yake. Mfano kiongozi anayegombea na kusema kabisa mnichague kwa sababu mimi ni wa dini yako. Lakini mtu akisema mnichague ili niwashughulikie mafisadi na kuwaletea maendeleo kuna udini gani?

Je ukiwa mkristu au muislamu unaruhisiwa kuwanyanyasa wenzako au kuua raia au kupokea na kutoa rushwa?
Haiwezekani hata kidogo, Kuna watu Dini hawajui wala mungu hawamogopi wakianza kuwekwa kiti moto wanakwenda kujificha kwenye dini. Hii si haki hata kidogo.

Peoples Power.
 
this shows how tanzanians are. wanaignore mambo ya maana wanaconcetrate na issue ambazo hazina maana
 
Clouds FM kama zilivyo media source nyingine wameshakatiwa mgao wao na Rotam unategemea nini!
 
Mumemskia Mbunge anayekuja kwa kasi ya ajabu. Ameunguruma BBC jioni hii.... Patamu hapo!
 
Dear all

Kwasasa kuna generation deficit na vol za maji Mtera inaendelea kushuka, huku mamlaka ya hali ya hewa ikitoa warning about 'lanina'

Vilevile visima vya gesi songosongo S5 na S4 vina corrosion inayopelekea gesi kuzalishwa na kusafirishwa chini ya kiwango, na matengenezo yanaendelea.

In view of above generation situation and in light of the fact that the turbines are already connected to the grid....

Shouldn't we demand that TANESCO utilize the idle 100MW to ease the current loadshedding ?

When contributing let's put politics aside and facts should prevail...

That Dowans is a rotten deal ..YES we know
That Dowans is second hand ...OLD news!!
That TANESCO has no plans..but ofcourse!!

The issue here is generation incapacity and deficit to feed the current 16% of Tanzanians who are connected to the Grid.

Can we jadili this ??

Mhandisi, mifumo na njia kuu za umeme ( system control and transmission )
 
Ndugu zangu wana jf issue ya dowans kulipwa imekaaje?Tafadhalini sana kila mmoja wetu aingie msituni kutafuta data.ukweli unabaki palepale kuwa wameshalipwa ndio maana kamati kuu ya ccm imetofautiana na maoni ya wabunge wa ccm wenzao kuwa wawekwe wanasheria watakao chambua mchakato mzima wa kesi ilivyoendeshwa kule icc.lakini ukiangalia laghai yao ni ya kisanii eti wakipata ushauri utakao faa kutoka kwa hao wanasheria wanaowazungumza ikibidi litoke tamko la kutowapa dowans,maana yake ni nini?ina maana wakisha waambia wadanganyika kuwa hawatawalipa watanzania wote watawaunga mkono,kumbe wenzenu washawalipa siku nyingi zilizopita,ndengu zangu ccm wajanja sana wanajaribu kusoma alama za nyakati lakini ni kwamba wameshakamatika hawachomoi
 
pitapita huku kuna post ya Mwanakijiji hipo full Madata, ni post iliyoshiba hasa
 
Nsiande, Mwakiembe na sita wakikusikia watakutafuna. walishasema kuwa kuliko kununua mitambo ya dowans bora nchi iwe giza. mimki simo.:clap2::clap2:
 
Maandamano ya nchi nzima siku ya malipo ya Dowans​
Kuna tetesi kuwa kuna chama cha siasa chenye nguvu nchini kinaandaa maandamano nchi nzima ili wananchi waandamane kupinga malipo hayo kwa Dowans. Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa watakaoandamana ni watu wote wenye uchung wa nchi hii bila kujali itikadi ya vyama vyao. Jumuia za CCM zilizoishathibitisha kushiriki inasemekena ni UVCCM na UWT. Wengine ni kama wafuatao:-
v Waalimu
v Waganga
v Wakulima
v Wataalamu wa kada mbalimbali
v Waajiliwa mbalimbali katika sekta binafsi
v Viongozi mbalimbali wa dini
v Wamachinga
v Wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo mbalimbali nchini
v Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa
v Wafanyabiashara mbalimbali
v Wananchi wengine wanaochukia ufisadi.
Kuna hisia nchini kuwa lengo la kulipa hili deni kurudisha fedha CCM ili kuziba pengo la fedha nyingi zilizotumika katika uchaguzi wa mwaka jana (2010) na kujiandaa na ule wa 2015 kwa vile chama kimeyumba kiuchumi.
Endapo maandamano haya yatafanyika basi itakuwa ni kwa mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na maandamano ya nchi nzima na itakuwa changamoto kwa Kikwete kuonesha kuwa wananchi hawakubaliani na maamuzi yake.
Tusubili tuone
Contact me: quality.chality0@gmail.com
 
Kwa wapendwa mlio maofisini hazina
kama mlivyosikia bajeti imekatwa asilimia 40 aijulikan imekwenda wapi
na ya mwakani wamepanga kula nusu ya bajeti hii ni serikal tulioichagua
bunge la bajeti alijapitisha hizi hela lakini serikali wanasema hela zipo

Waziri ngelejaametuambia DOWANS watalipwa na hela zipo nimewiwa kumbe hata
hawa wazee wa east afrika wanaweza kulipwa saa yoyote...yamkini bado kesi ipo
maakamani

swali laangu najiuliza wapendwa je hizi hela za ngeleja.DOWANS akishindwa mahakamani
zinaelekea wapi jamani,,nimewiwa kuamini hiii nchi ni tajiri sana HATA tukiandamana hizi bei za
TANESCO azitapanda jamani tuamke ..hela ipo serialini ni sisi jinsi ya kuichukua wapendwa...
 
Nsiande, Mwakiembe na sita wakikusikia watakutafuna. walishasema kuwa kuliko kununua mitambo ya dowans bora nchi iwe giza. mimki simo.:clap2::clap2:

Thanks Gama

Hoja si kununua, bali ni kutumia gas iliyoko idle hapo ili tu ease loadshedding, kwasasa kuna upungufu wa 160MW on the grid.

Tukipata hizo 100 loadshedding itapungua kidogo
 
Ndugu zangu
anguko la JK lipo wazi kabisa,gharama kubwa za maisha na gap kati ya maskini na matajiri ni moja ya sababu za msingi sana kwa nini Jk anapaswa kuanguka,uchumi wetu kushikiliwa na wachache nianguko la Jksasa amekaa kimya mauaji ya arusha,bila aibu wala haya anatamka kutomtambua Gabgo,sasa sijui ni kuchangyikiwa au ni kulewa madaraka,kimsingi ni muda wa sisi watanzania kutumia nafasi zetu kila mmoja pale alipo kuaaka na kuipinga serikali hii ya kitapeli na uhuni,let us unity and fight for our ation forever,natoya wito wa kuanza maandamano ya kupinga ufisadi wote.let us dare and keep daring forever kutomtambua Gabgo
 
kaka tuko pamoja ........hawa ni kuwatoa kwa nguvu tu hamna jinsi nhyingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom