a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,389
- 1,336
Ukweli uko wazi, lakini pia ukweli si jambo rahisi kwa kila MTU kuufikia. Japo uko wazi ni kwa wawachache sana!Mkuu,mimi ni mwafrika,haina haja ya mtu kueleza vipi wafrika weusi tulivyo,..
Ukweli uko wazi,...
Nilishasema awali, Dunia imetamalaki VIINI MACHO kila kona. Usipojua hili hutaacha kujiona dhaifu sana, na yote hayo ni HESABU za watu.
Kila la heri.