Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko wa kisiasa ndani ya Umoja wa Afrika (AU)

Ufaransa inaitegemea Chad kinishati, Bila Chad Ufaransa haina Umeme, Bila Umeme Nchi haiwezi kwenda..

Utafikiria haya ninayokwambia ni uongo lakini hizo habari nimezipata kwa mshika fedha wa Balozi fulani katika kitengo cha Misaada kwa Nchi za Afrika..

Afrika tunaiendesha Ulaya kwa Mambo mengi
Kwenye umeme how? Hebu elezea kidogo
 
Kwenye umeme how?? Em elezea kdgo
Uranium yote inayotumia kuendesha viwanda vya kutengezea Umeme France inatoka Chad..

Chad iseme haipeleki Uranium France, basi Ufaransa iko mashakani..

Hizo ni habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa waweka hazina katika nchi moja ya EEC.
 
Mungu ibariki Afrika
 
Ufaransa inaitegemea Chad kinishati, Bila Chad Ufaransa haina Umeme, Bila Umeme Nchi haiwezi kwenda..

Utafikiria haya ninayokwambia ni uongo lakini hizo habari nimezipata kwa mshika fedha wa Balozi fulani katika kitengo cha Misaada kwa Nchi za Afrika..

Afrika tunaiendesha Ulaya kwa Mambo mengi
Walter Rodney aliwahi kuandika kitabu kuhusiana na "How Europe Underdeveloped Africa"
 
Wazungu wajanja sana wanarudisha Makoloni yao kwa njia ya Kisasa Afrika tutashituka tayari tumeishaporwa kila Kitu na kuzungukwa pande zote
 
Back
Top Bottom