Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko wa kisiasa ndani ya Umoja wa Afrika (AU)

Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
 
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari
Rais Samia hakuhitaji kupiga kampeni mwaka jana 2020, hata angekaa tu ofisini lazima angechaguliwa kwa kishindo kwa maana uwezo wake unambeba.
 
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana 2020 kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia 2025.
 
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana 2020 kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia 2025.
Rais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia Watanzania.
 
Back
Top Bottom