Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko wa kisiasa ndani ya Umoja wa Afrika (AU)

Francophones wanamshikamano sana, ile 2012 JK alifanya umafia sana, haswa kupata kura za nchi za kusini MWA afrika, na nchi kama haswa Congo, Rwanda, Burundi, Mozambique na Angola.
Nchi za Anglophone hazina mshikamano imara na hiyo inatokana na kuwa nyingi ya hizo nchi marais wake wanafanya chaguzi na kubadilishana madaraka tofauti na nchi kama Cameroon, Congo Brazzaville, Chad nk
Upo deep sana kwa siasa za Afrika
 
I understood you well
 
Swali langu la KIJINGA; hivi AU ina umuhimu gani kwasasa? Kwa mfano, Tanzania ikiamua kutohudhuria kikao hata kimoja na may be isitoe mchango wowote wa kifedha kwa huo umoja ( kama huaga ipo hiyo michango ) hivi tutakua tumepoteza kitu gani?
 
Back
Top Bottom