a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,389
- 1,336
Mkuu, nikushauri tu. Kwa vile umejinasibu Kujitambua, ni vema sasa ukatafakari upya tafsiri uliyonayo kichwani juu ya dhana ya neno Haki, Uhuru na Maendeleo.Uhuru, Umoja, Haki kwa wote ndio misingi ya utawala Bora, ndio misingi ya maendeleo katika nchi
Mawazo ya Wengi ni mtaji kwa Taifa..
Bahati nzuri najitambua, mimi sio mpenzi wala mwanachama wa Chama chochote cha Siasa
Mimi ni Mtanzania
Nchi za Afrika chini ya jangwa la Sahara, hakuna Siasa Kuna kuoneana
Waafrika Sheria wanazitunga Wenyewe wazipinga Wenyewe
Wanauwana kwa sheria waliozitunga Wenyewe
Hofu yangu in kuwa Utambuzi wako umejaa hila zilizojificha kwenye maneno matamu kinywani ya Haki, Uhuru na Maendeleo.
Jitafakari Upya.