Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Jikite kwenye madaJpm alikua jizi kuliko Raisi yoyote Tz, na wizi wake ulikua unafanywa na watu wake wa ndani very selective
Huna hoja,Jpm alikua jizi kuliko Raisi yoyote Tz, na wizi wake ulikua unafanywa na watu wake wa ndani very selective
Mpuuzi huyu.Huna hoja,
Embu lete ushahidi na ueleze hizo fedha alizoiba kazipeleka wapi na kuzifanyia nini!
Dunia ya Leo unategemea mtu Mmoja kuendesha nchi badala ya Sheria?Hivi madini ya pesa nyingi kamaa hizi yanatoroshwa na kwenda kuunzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii ruby ya bil 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Mbona hata JPM alipokuwepo watu walikua wanaiba madini wakipitisha chini ya ukuta aliojenga? Ufisadi haukuwahi kuisha Tanzania tofauti ni kwamba JPM alikua hapendi media kuongelea haya mambo maana aliona kama yanachafua serikali yake.Hivi madini ya pesa nyingi kamaa hizi yanatoroshwa na kwenda kuunzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii ruby ya bil 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Umesoma report ya CAG?Hivi madini ya pesa nyingi kamaa hizi yanatoroshwa na kwenda kuunzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii ruby ya bil 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Una mimba ya Magu nini?Jpm alikua jizi kuliko Raisi yoyote Tz, na wizi wake ulikua unafanywa na watu wake wa ndani very selective
Hivi madini ya pesa nyingi kamaa hizi yanatoroshwa na kwenda kuunzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii ruby ya bil 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Hao ni sukuma gang akili zao zilienda na MagufuliDunia ya Leo unategemea mtu Mmoja kuendesha nchi badala ya Sheria?
... waziri ni yule yule aliyeachwa na mwendazake! Kumbuka hilo.Hivi madini ya pesa nyingi kamaa hizi yanatoroshwa na kwenda kuunzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii ruby ya bil 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Huna hoja,