Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

Hivi madini ya pesa nyingi kamaa hizi yanatoroshwa na kwenda kuunzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii ruby ya bil 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Hata yeye alikuwa hizi,tender za tanlosds zote zilienda kwa kampuni yake ya mayanga
 
Hivi madini ya pesa nyingi kamaa hizi yanatoroshwa na kwenda kuunzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii ruby ya bil 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Je unajua imetoroshwa nchini lini? Inawezekana ilikuwa mafichoni muda mrefu tu! Vitu vya wizi vinahifadhiwa muda mrefu mpaka mambo yatulie ndiyo vinatolewa hadharani.
 
Jpm alikua jizi kuliko Raisi yoyote Tz, na wizi wake ulikua unafanywa na watu wake wa ndani very selective
WEWE NI MPUMBAVU .

JPM ANGEKUA MWIZI, KWA NAMNA AMBAVYO WAMAGUARIBI WALIMCHUKIA, WAMGESHINDWA KUWEKA WAZI WIZI WAKE???

HOJA HAPA NI NCHI SASA HIVI KUA SHAMBA LA BIBI.

WEE RUBY YA BILION 250 INATOROSHWAJE???.

NYINYI NI WALE VYETI FEKI, MLOTIMULIWA KAZINI, WEZI, MLOZOEA MAISHA YA UJANJA UJANJA SANA ..

HOKA HAPA NI ULINZI WA RASILIMALI .

MJINGA MMOJA WEE.

Sent from my V2118 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hata JPM alipokuwepo watu walikua wanaiba madini wakipitisha chini ya ukuta aliojenga? Ufisadi haukuwahi kuisha Tanzania tofauti ni kwamba JPM alikua hapendi media kuongelea haya mambo maana aliona kama yanachafua serikali yake.

Hata wewe tu nikikuuliza kuna ripoti yoyote ya CAG imewahi ona hakuna wizi kabisa? JPM alichukua hatua Gani kwa watu wa TASAC kulipana mabilioni ya posho Kila mwaka? Alichukua hatua Gani kwa mafisadi wakina lugola? Nchambi alichukuliwa hatua Gani kwa ujangili wake? Kina sabaya na makonda waliopita watu pesa walichukuliwa hatuaa Gani? Walioiba makinikia walichukuliwa hatua Gani kina chenge na kafumu n.k? Tuliambiwa Acacia ni majizi na Mwanyika akaitwa fisadi kivipi alipewa ubunge na JPM? Au ufisadi uliisha alipojiunga CCM?

Msimkuze sana JPM ufisadi CCM haukuwahi kuisha na hautaisha mpaka siku muamke na kuitoa madarakani. Nyie mko busy kumshambulia Mama Samia ila mchawi mnajifanya hamumuoni!!

Funny
Ujinga tupu, No usimamizi Bora wa JPM ndio pekee umekuja kufanya Sekta ya Madini kuchangia Pato kubwa la Taifa

Mbona mnajifanya wapuuzi na ukweli uko wazi?.

Sent from my V2118 using JamiiForums mobile app
 
Lugola alipiga dili zimamoto na likakamilika? Mbona alimtumbua
Ko ukipanga wizi ukidakwa sio kosa? Adhabu ya mwizi ni kutumbuliwa sio kutupwa ndani na kufilisiwa?

Ishu ya Nchambi ilikuwa mahakamani ulitaka afanyeje?
Ko fisadi anapewa ubunge?

Sabaya na Makonda?
Si mahakama ilimkuta Sabaya ana hatia..... Kwani JPM hakujua hayo

Mwanyika na ufisadi wa mali ya umma wapi na wapi?
Si JPM alisema Mwanyika ambaye alikua VP Acacia! Alitusababishia hasara ya Trillion 450+ je hakuwa fisadi?
 
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Unajua ilitoroshwa lini??..
 
Mbona imesemwa hilo jiwe jamaa analimiki tangu 20018? Kwani wakati huo Rais alikuwa nani?
 
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
ww umeandika jambo jema lkn unaonyesha una ka damu ka sukuma gang !

Kwani uliambiwa hiyo Ruby kama imeibiwa ni kipindi gani?

Fuatilia vzr ujue ni kipindi gani
Halafu ndio ulete ulichoandika hapa.
 
Back
Top Bottom