Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

JF is the group of elites! What happens here affect the whole country... This is the parliament of 200,000+ elites!

unfortunately, the non elites are the majority, our system is based on popular votes!!
So if you dare to ignore the non elites, you will eventually been flushed down the toilets.
 
Kwa rais anayejinadi kuwa mbana matumizi, msafara wake una magari mengi sana.

Mahesabu ya mafuta yanayotumika kwa safari ya maili mia tu kwa magari yote hayo ni balaa.

Sent from my Kimulimuli
 
Siasa zetu ni ujinga mtupu.
Eti rais kasimamishwa na wananchi? So what?
Mnashindwa kutatua matatizo ya watanzania mnakimbilia mambo ya kijinga, sasa rais kusimama kwenye msafara sisi inatusaidia nini? Tangu nchi ipate uhuru hamna jipya watu miaka nenda rudi mnajenga barabara tu tena nazo mnaona mmepiga hatua kweli kweli.
Hivi dunia ya leo ni dunia ya kujisifia kujenga barabara ya rami km 130? Watu wenzetu wanafanya mambo makubwa miccm imekalia kampeni za kijinga na sifa za kitoto tu.

Mlisaini mikataba usiku saivi mnasumbua watu wampongeze rais kwa kusimamia madini! Sasa hayo madini nani aliingia mikataba ya kijuha kama sio nyinyi? Tena mlifanya siri leo mnajitekenya na kucheka wenyewe.
ww na chama chako mmepiga hatua gani Nyumbu kwel nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msururu wote wa magari haya! Hata JK alikuwa hafikii nusu ya hizi. Anamwiga BWM. Presidential motorcade ya zaidi ya magari 50 kwa nchi maskini kama Tanzania? Jamani atuonee huruma- Rais wa wanyonge hawezi kutumia mafuta na allowanzi kubwa hivyo ili kuja kutusemea tufanya kazi!
 
I have not read it. Hence the comment that "this is neither here nor there".

Had I read it thoroughly, I would have known where to place it.

Right now it sits with the rest of garbage in the spam folder.

One exampke to demonstrate that a leader being loved does not prove much was enough.

Why did you feel the need to inject Lowassa?

Sent from my Kimulimuli
Then why lebelling it as it's in spam folder while you seem to have understood it??
Let's close the chapter, it's in spam folder as you said it!!
 
Kwa niaba ya barafuyamoto,naomba radhi, hakustahili "kukutukana" kiasi kile..

Lakini ukiondoa sentensi ya kwanza yenye "tusi", kifungu kilichobaki ndilo jibu sahihi la hoja yako.
Sioni haja ya matusi wakati una nafasi ya kutoa hoja yako. Kulikuwa na ugumu gani kutoa jibu bila matusi, nakuhakikishia, pamoja na kuwa huyo barafu simjui hanijui, nina elimu kumzidi, hawa ni vijana wa vyuo vyetu vya jengo moja ! , . I can predict that from his poor , unreasoned illogical arguments. He is one of those prominent argumentatives from Lumumba,
Najua lazima awe na ulinzi, lakini mtu anayependwa na wote ulinzi huo wa alert 100% inaashiria kitu hakijakamilika! Kuna maadui ndiyo maana kunakuwa na ulinzi mkali. JK was not like this! au nadanganya?
 
Msururu wote wa magari haya! Hata JK alikuwa hafikii nusu ya hizi. Anamwiga BWM. Presidential motorcade ya zaidi ya magari 50 kwa nchi maskini kama Tanzania? Jamani atuonee huruma- Rais wa wanyonge hawezi kutumia mafuta na allowanzi kubwa hivyo ili kuja kutusemea tufanya kazi!
Ni quarterly a governmental motorcade hiyo!
 
Sababu mafisadi are at large, jamaa kawashika sana!
Jk alikuwa anawachekea chekea!
 
Then why lebelling it as it's in spam folder while you seem to have understood it??
Let's close the chapter, it's in spam folder as you said it!!

I did not understand it.

That is why it is neither here nor there and ended up in the spam folder.

What was your point?

This was not a chapter.

It was spam email.

Remember?

Sent from my Kimulimuli
 
Msururu wote wa magari haya! Hata JK alikuwa hafikii nusu ya hizi. Anamwiga BWM. Presidential motorcade ya zaidi ya magari 50 kwa nchi maskini kama Tanzania? Jamani atuonee huruma- Rais wa wanyonge hawezi kutumia mafuta na allowanzi kubwa hivyo ili kuja kutusemea tufanya kazi!
Na mimi nimeshangaa sana rais anayejinadi kujali wanyonge na kuwa mbana matumizi kuwa na msururu wote huo wa magari.

Hapo wakitembea maili 100 tu mafuta yake balaa. Hapo hujaongelea per diem na gharama nyingine za walio katika msafara.

Halafu kalikuwa kanapondea sana kuhusu msururu wa magari kumbe yeye ndio kinara.

Ni linafiki sana hili lijamaa .
 
Kati ya watu wenye cheap politics Msigwa anaonhoza. Siyo mitandaoni, bungeni , majukwaani.
Aliona kuhubiri hakuna hela akaingilia siasa huyu mtu hafai kusikilizwa hata kidogo
Anachosema Msigwa ni kweli.Mnasimamishwa na traffic kwa zaidi ya Massa mawili akipota ati Rais alilakiwa na watu waliojipanga barabarani wakati watu wamesimamishwa muda mrefu tena kwa lazima.

Acheni mambo ya ujima,yalikuwepo enzi za JKN na yeye akayaona hawana.maana akayaacha.Duh umasikini wa akili ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom