Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Kukosa kazi bhana, kwahiyo watu wameacha kufanya shughuli za maana wakaenda kupigwa jua kusubiri V8 la huyo bwana mkubwa!?!?
Huo ni ULOFA sio KUPENDA.
Na mpiga picha mwenyewe anaonekana ni mnywa viroba tu, ukizingatia aina ya lugha aliokua anaitumia katika commentary.
Akiingiza vivumishi kama k*ma mae nk....ni dhahiri PAMA,POWER,ZED au KONYAGI ipo kichwani.

Kingine hao walinzi wa Raisi mbona wazembe sana, gari ya raisi inaguswa guswa na watu wao bado hawaja teremka kwenye magari.
Gari imeanza kuzingirwa sekunde ya 47 lakini askari wa kwanza kaonekana sekunde 56 baade akikimbia kuelekea kwenye gari ya mkulu @ minute 1:03.
30 seconds ni nyingi sana kwa mtu kufanya damage, sio wote wana intention njema mioyoni mwao.
Hii itakuja ku-backfire siku moja, na kutuingiza kwenye gharama zisizo za lazima mtu akitolewa utumbo au kumwagiwa ubongo wake nje.
 
Sasa kwanini mipango ifanywe ila wanaofanya mipango hawataki ijulikane kuwa imefanywa mipango...nini kinafichwa nyuma ya pazia
Kwa hiyo ulitaka watangaze kwamba "Tumefanya utaratibu wa Rais kuzungumza na wananchi wa ....."? Hata hivyo ukiangalia hiyo clip, ni dhahiri kuwa wananchi ndiyo waliousimamisha msafara
 
Baada ya marehemu Rais Nyerere kung'atuka,hakuna Rais alokuta wananchi wakimsubiri barabarani kumlaki maana hawakuwa na mvuto hatimaye sasa tunashuhudia kwa Magufuli wananchi wanamsubiria barabarani kumlaki. Huyo Msigwa ni propaganda tu na uongo wake uliokithiri na sina hakika kama aliwahi kupimwa akili baada ya kumshabikia na kumpigia kampeni Fisadi Lowassa..!!!
 
Hamna aliyezuiliwa kufanya mikutano, hilo ni chaka tu la upinzani wanajifichia na vilaza kama wewe wanaona ni kweli, mikutano sio lazima ifanyike Dar, hizi ngonjera za kuzuiwa mikutano ni kwamba mbunge wa Hai, mbunge wa Arusha anataka afanyie mkutano dar, sio lazima!
Akafanye mkutano jimboni kwake na media zitakuwapo, ujumbe wake utafika kila kona!
Dar,arusha sio tz acheni kuwa watumwa wakufikiri " siasa basi mpk 2020" magufuli
 
...
Kingine hao walinzi wa Raisi mbona wazembe sana, gari ya raisi inaguswa guswa na watu wao bado hawaja teremka kwenye magari.
30 seconds ni nyingi sana kwa mtu kufanya damage, sio wote wana intention njema mioyoni mwao.
Hii itakuja ku-backfire siku moja, na kutuingiza kwenye gharama zisizo za lazima mtu akitolewa utumbo au kumwagiwa ubongo wake nje.
Nenda wewe kawe mlinzi basi, si unajiona mahiri?
 
Kapimwe mkojo ulie kisa magufuli kasimamishwa sehemu hata maji hawana 50+ yrs ya kudanganywa na kanga kweli mungu ameumba upoe tofauti
KUNA MRADI MMOJA MKUBWA WA MAJI UNAENDELEA HAPO, UKUSIKILIZA HOTUBA YAKE, HALAFU KINAKUUMA NINI NKISEMA NMELIA , PAMBANA NA HALI YAKO MKUU , HUO USHIRIKINA PELEKA HUKO
 
KUNA MRADI MMOJA MKUBWA WA MAJI UNAENDELEA HAPO, UKUSIKILIZA HOTUBA YAKE, HALAFU KINAKUUMA NINI NKISEMA NMELIA , PAMBANA NA HALI YAKO MKUU , HUO USHIRIKINA PELEKA HUKO
Mradi wa maji sio kuwa na maji miaka 50 bado unadanganywa na miradi ya maji kwa kufilisiwa mawazo kiasi hiki ndo ushirikina " mungu hampi mja wake akili fupi kiasi hiki"....
 
Yes it's a truth kuwa Msigwa anatembeza zakari lake tupu na kuzazaa ovyo na wake za watu that will remains as it is na sio matusi ni ukweli usio pingika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume lijali," wake za watu" na wewe mke wako ni mke wa mtu (yaani wewe) kwa hiyo usilishabikie.
 
Back
Top Bottom