Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Kati ya watu wenye cheap politics Msigwa anaonhoza. Siyo mitandaoni, bungeni , majukwaani.
Msigwa ni mbabaishaji wa kutupwa has a very cheap mind. sijui Iringa hawana watu timamu mpaka wakampa ubunge huyu hamnazo jimbo lake tu limemshinda sasa hivi anafuatilia msafara wa Rais iwe anasimamishwa au Rais ana simama Msigwa itamsaidia nini na wapiga kura wake? Ina maana upinzani hawalali kunfuatilia msafara wa mhe Rais safi sana Rais na watu wake.Halafu Mbona yeye Msigwa anasimamisha ovyo lijali yake kwa wake za watu mpaka anatotoa mayai anaonekana bonge la mchungaji na mjanja jumbe mshamba wa kuku na kamba mguuni wenzio wanachapa bila kutotoa sasa wewe hata kujikinga u naingia pekupeku hujui unafedhesha familia yako acha ulimbukeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee kilaza. Ulinzi ni protocol! Hata tungechagua jiwe liwe rais, lingelindwa hivyo hivyo!
Acha ujinga mbele za watu!
kilaza mama yako, sijatukana mtu, shenzi mkubwa wew. Kwa nini unatumia lugha chafu. sikutukana mtu, nimetoa hoja, neno kilaza linatoka wapi? kilaza mama yako.
 
Msigwa ni mbabaishaji wa kutupwa has a very cheap mind. sijui Iringa hawana watu timamu mpaka wakampa ubunge huyu hamnazo jimbo lake tu limemshinda sasa hivi anafuatilia msafara wa Rais iwe anasimamishwa au Rais ana simama Msigwa itamsaidia nini na wapiga kura wake? Ina maana upinzani hawalali kunfuatilia msafara wa mhe Rais safi sana Rais na watu wake.Halafu Mbona yeye Msigwa anasimamisha ovyo lijali yake kwa wake za watu mpaka anatotoa mayai anaonekana bonge la mchungaji na mjanja jumbe mshamba wa kuku na kamba mguuni wenzio wanachapa bila kutotoa sasa wewe hata kujikinga u naingia pekupeku hujui unafedhesha familia yako acha ulimbukeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi hayabadili ukweli! Mtukane tu, but the truth will remain!
 
Hata hivyo ni vizuri kama inafanywa mipango ya wananchi kukutana na Rais wao
Hakuna nchi yoyote Afrika ambako Rais anaweza kusimamishwa na wananchi bila yeye kujulishwa kuwa kuna mahali kuna wananchi wengi sana wangependa kukusikiliza kwa dk. chache tu, na yeye huridhia au husema hapana maana uwezo wa kufanya hivyo. Tuache ushabiki. Rais huwa hasimamishwi. Ndo maana wakati wa JK maelezo yalikuwa "Rais akizungumza na wananchi wa Kilosa, baada ya msafara wake kusimama ili kusalilimiana na wananchi akielekea Dodoma", Maajabu sasa hivi kila wakati, "Wananchi walipomsimamisha..." so simple? Basi usalama wake kama anapendwa kwa kiwango hicho kumbe anasimamishwa kirahisi na rundo la watu, kuna haja gani ya kuweka magrenade ya kumlinda ikulu?
 
Hawa anasombwa toka vijijini mashenzini ndio wanakuja kujipanga. Unaona kabisa akili zetu zilivyo! Hawa ni rahisi kuwatawala...
Bahati mbaya au nzuri, hao ndo wengi ma ndio wapiga kura!
Usitegemee kushika nchi kama unawadharau hao wa vijijini mashenzini!
Una akili mbovu sana, mmeshindwa kushawishi hata wa vijijini mashenzini wasio na akili kuwaamini.
 
Hadi mwili umenisisimka!Mungu mlinde Rais wetu

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
NIMEIANGALIA HIYO VIDEO AISEE NMETAMANI KULIA KWA AJILI NCHI YANGU, KWELI TUMEPATA KIONGOZI
Kapimwe mkojo ulie kisa magufuli kasimamishwa sehemu hata maji hawana 50+ yrs ya kudanganywa na kanga kweli mungu ameumba upoe tofauti
 
Tukubaliane tu, Magufuli anapendwa sana huko anakopita ni balaa. Propaganda hazina maana katika hilo
Kupendwa si tija. Hata Hitler alipendwa.

Sema jingine.

Sent from my Kimulimuli
 
Bahati mbaya au nzuri, hao ndo wengi ma ndio wapiga kura!
Usitegemee kushika nchi kama unawadharau hao wa vijijini mashenzini!
Una akili mbovu sana, mmeshindwa kushawishi hata wa vijijini mashenzini wasio na akili kuwaamini.
Mwenye akili mbovu sana ni mama yako aliyekuzaa wewe unayetukana watu. Andiko langu halina tusi, nimetoa maoni. Jiepushe na matusi
 
kilaza mama yako, sijatukana mtu, shenzi mkubwa wew. Kwa nini unatumia lugha chafu. sikutukana mtu, nimetoa hoja, neno kilaza linatoka wapi? kilaza mama yako.
Wee kilaza, kilaza sio tusi! Ni sifa (characteristic)! Povu la nini??
 
Mwenye akili mbovu sana ni mama yako aliyekuzaa wewe unayetukana watu. Andiko langu halina tusi, nimetoa maoni. Jiepushe na matusi
Hatimaye sindano imegusa mfupa, haya endelea kuhorojeka!!
 
Back
Top Bottom