Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

Watu hudhania nawaonea hawa wakati nawasuta kwa uzembe wao, hebu sasa waza wao ndio wanaongoza ukanda huu kwa idadi ya omba omba wao wanaokuja kutusumbua hapa Kenya.

Yaani jamaa huwa wazembe wa kutupwa na wenyewe wanalijua hilo...hehehe

Licha ya baraka zote hizo, hawa hapa wanavyotajwa

2679799_PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Tutawalisha mpaka mkome mwenyezi mungu anajua hata akiwaletea mvua ninyi Sawa na kazi bure maana munajifunhia mvua ya nn sasa ndio maana tumeletewa Sisi tunayoitumia.
 
Umeandika kwa uchungu mwingi sana. Wivu na roho mbaya unawasumbua wakenya sana.
 
Waliacha kusikiliza maneno ya BWANA WA MAJESHI

Vilevile ukisoma msitari wa 38 unasema:-

Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.

Thou shalt carry much seed out into the field, and shalt gather but little in; for the locust shall consume it.

Hukuona wale nzige walioingia Kenya!?
Amen leo ni preaching day Pastor Venus Star tuwe waangalifu kabla huyu jirani hajatia nyongo ya chuki siku hii!
 
Watu hudhania nawaonea hawa wakati nawasuta kwa uzembe wao, hebu sasa waza wao ndio wanaongoza ukanda huu kwa idadi ya omba omba wao wanaokuja kutusumbua hapa Kenya.
Yaani jamaa huwa wazembe wa kutupwa kuleeeee......na wenyewe wanalijua hilo...hehehe

Licha ya baraka zote hizo, hawa hapa wanavyotajwa

2679799_PhotoGrid_1605162481588.jpg
finally umeileta hii screenshot.
 
Tunashukuru kwa kutuonesha baraka zetu.
Kwenye kwenye biblia kitabu cha Deuteronomy sura ya 28 anaongelea baraka na laana
Mstari 1 - 14 ina ongelea baraka
Mstari 15 na kuendelea anaongelea laana

Kenya imelaaniwa toka mwanzo.
Biblia inasema
Mstari wa 24 umasema:-

Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.

The LORD shall make the rain of thy land powder and dust: from heaven shall it come down upon thee, until thou be destroyed.
Duu mzee umeamua kushusha na Maandiko kabisa... Sasa inakuwaje ninyi Ni waasisi was mauwaji ya vikongwe, Mauwaji na uuzaji wa viungo vya albino, na Uchunaji wa ngozi za watu???
 
Waliacha kusikiliza maneno ya BWANA WA MAJESHI

Vilevile ukisoma msitari wa 38 unasema:-

Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.

Thou shalt carry much seed out into the field, and shalt gather but little in; for the locust shall consume it.

Hukuona wale nzige walioingia Kenya!?
Mkuu kati yako na Kenya Nani Hamsikilizi Mungu? Mbona naona wewe ndiyo una miungu mingi Sana ukiwemo ule wa Moto unaoukimbiza Kila mwaka kwa gharama kubwa Sana?
 
Mpo vizuri aisee
Deuteronomy 28: 12 anaongelea Tanzania.
Mvua ni nyingi na tunafanya miradi yetu bila kukopa

Atakufunulia Bwana hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.

The LORD shall open unto thee his good treasure, the heaven to give the rain unto thy land in his season, and to bless all the work of thine hand: and thou shalt lend unto many nations, and thou shalt not borrow.
 
Badala ufungue uzi wa kuilaumu na kuishurutisha serikali yako iwanyanganye wanasiasa wachache waliojimilikisha hekari za kutosha pamoja na wazungu wanaomiliki hekari za kutosha hapo kenya na kuwaacha mamilioni ya wakenya wakiwa hawana hata kijisehemu cha kulima upo busy hapa kuitaja taja Tanzania inayokulisha.

Hivi hizi acres zinazomilikiwa na familia moja zinawatosha wakenya wangapi?

1. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu.

2. 5, 000 acres in Thika.

3. 20,000-acre one, also known as Gichea Farm,

4. 5, 000-acre Muthaita Farm

5. 9,000 acres in Kasarani Mwiki

6. 29, 000 acres in Kahawa Sukari

7. 50, 000 acres in Taita

8. 52,000-acre farm in Nakuru

9. 24, 000 acres in Taveta

10. 10, 000-acre ranch in Naivasha.

11. 10, 000 acres in Rumuruti

12. 40,000 acres in Endebes in the Rift Valley Province
 
Tunashukuru kwa kutuonesha baraka zetu.
Kwenye kwenye biblia kitabu cha Deuteronomy sura ya 28 anaongelea baraka na laana
Mstari 1 - 14 ina ongelea baraka
Mstari 15 na kuendelea anaongelea laana

Kenya imelaaniwa toka mwanzo.
Biblia inasema
Mstari wa 24 umasema:-

Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.

The LORD shall make the rain of thy land powder and dust: from heaven shall it come down upon thee, until thou be destroyed.
Duh kwahio Muumba ni wa kutoa laana ? (kwanini hii inaonekana kama positive, wakati ni negative) hata binadamu ukiwa mtu wa laana / kulaani nadhani tutasema haupo sawa...

By the way aliyesema Kenya ianzie pale na iishie kule na Tanzania iwe hapa na Ulaya kule ni Muumba ?, na Sudan kutengana ni Muumba ?

Africa needs to unite, actually the all globe needs unity ili tuweze kupambana na mazingira yetu...., Tunahitaji amazon na congo forests kama mapafu ya dunia..., tunahitaji mabahari, tunahitaji majangwa...., the World is one; We either survive as a unity or die as individuals....
 
Kwa mvua nyingi mnayopokea nilitegemea mlishe Africa nzima.
Kwasababu hatujahakikishiwa soko la kudumu.

Hivyo nguvu kazi ya vijana unaamua kutumika katika shughuri zingine.

Kuna Wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma vyakula vinazalishwa kwa wingi lakini soko hakuna.

Gunia la mahindi lenye kilogram 80 hadi 100, inafikia linauzwa hadi T.shiling 20,000.

Miaka ya 2004 kulitokea wafanyabiashara toka nchini India walifika Songea kununua zao la Kunde mbaazi.

Mwaka uliofuata walinunua tena lakini walibugudhiwa na baadhi ya viongozi wa Serikali.

Mwaka uliofuata hawakwenda tena Songea kununua Kunde.

Wakulima wakakosa soko la kunde na wakaishia kuzitelekeza mashambani bila kuzivuna, ziliozea shambani, wengine waliamua kuyachoma moto mashamba yao.

Toka hapo Kunde haijalimwa tena na wafanyabishara hawajaenda tena kutafuta kunde.

Huo ni mfano tu, wa kwanini wakulima wa TZ hawalimi mazao ya chakula kwa uwingi, ni kwamba hakuna soko la kutosha kununua mazao ya kilimo.
 
Badala ufungue uzi wa kuilaumu na kuishurutisha serikali yako iwanyanganye wanasiasa wachache waliojimilikisha hekari za kutosha pamoja na wazungu wanaomiliki hekari za kutosha hapo kenya na kuwaacha mamilioni ya wakenya wakiwa hawana hata kijisehemu cha kulima upo busy hapa kuitaja taja Tanzania inayokulisha.

Hivi hizi acres zinazomilikiwa na familia moja zinawatosha wakenya wangapi?

1. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu.

2. 5, 000 acres in Thika.

3. 20,000-acre one, also known as Gichea Farm,

4. 5, 000-acre Muthaita Farm

5. 9,000 acres in Kasarani Mwiki

6. 29, 000 acres in Kahawa Sukari

7. 50, 000 acres in Taita

8. 52,000-acre farm in Nakuru

9. 24, 000 acres in Taveta

10. 10, 000-acre ranch in Naivasha.

11. 10, 000 acres in Rumuruti

12. 40,000 acres in Endebes in the Rift Valley Province
halafu those lazy families hazijaendeleza hizi farms ila mburura Tony254 yupo busy kuonea wivu mvua ya Tanzania nchi inayomlisha! Mimi ninachojua tangu uhuru Kenya haijawahi kosa njaa! kuwe na mvua kuwe na kiangazi!
 
Neno la BWANA linaendelea kusema kuhusu Kenya Deuteronomy 28:42

Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.

All thy trees and fruit of thy land shall the locust consume.
Wakenya wamekufanya nini mpaka ufike ulipo fika. Usitumie dini kuhukumu ni kibaya sana na ni laana.
 
Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kwamba, Tanzania yenye kupokea mvua nyingi kuliko nchi zote ndiyo yenye irrigation schemes nyingi na kubwa kuliko irrigation schemes za nchi zote za EA ukichanganya pamoja.

Kenya pamoja na kwamba inapokea mvua kidogo sana, irrigation schemes ni 150K hectares only, Tanzania ni 700K hectares

Bado mbuga za wanyama, madini kila kona ya nchi, "33% of fresh water body of entire World is located around Tanzania". Tukisema Tanzania ni nchi ya maziwa na asali mnadhani tunatania?, black Americans wameliona hilo ndio sababu wameichagua Tanzania kuwa ndio nchi yao ya kurudi africa na kuachana na nchi za West Afrika ambako ndio asili yao.
 
Back
Top Bottom