Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,874
Mchina atajambishwa na kila mtu kuanzia sasaNdio mjifunze kuacha kufuata mkumbo, kila taifa lipo after her interest.
Mchina atajambishwa na kila mtu kuanzia sasaNdio mjifunze kuacha kufuata mkumbo, kila taifa lipo after her interest.
Kesho Itakuwa Vigumu Mpaka Nancy AondokeDah wangeanza hata kesho
Wangemfungia na jeuri yakeKesho Itakuwa Vigumu Mpaka Nancy Aondoke
Yupo Taiwan Tayari Ameongea Na Uongozi Wa JuuKwani Pelosi ameshatua?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]bongo mna maneno machafu sana aiseeKuna mdau humu aliwahi tamka kuwa CHINA NI LIDUBWANA LIKUBWA LENYE MIGUVU MINGI LAKINI NI LIOGA LA KUTUPWA .
MkuuWangemfungia na jeuri yake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]we jamaaPutin anawajua vizuri wachina sidhani kama anawategemea kivita yani watu wanakula mpaka nyoka alafu wanamuogopa binadamu kweli?
Si bora Mandoga ana uthubutuChina hamna kitu pale ni sawa na mandonga tuu waoga sana wamenikera sanaaaa
Pole mkuu kunywa maji mengi!! Wachina ni mabingwa wa vending machines tu yaani wanavokusanya zile jero jero zetu tukicheza Sina hamu nao kabisa yaanHivi China anatambua die hard fan wake tuko umizwa
Na alquaeda wametuumizaPole mkuu kunywa maji mengi!! Wachina ni mabingwa wa vending machines tu yaani wanavokusanya zile jero jero zetu tukicheza Sina hamu nao kabisa yaan
Jiwe alikuwa anategemea policcmHapa ndio utaona faida ya kuwa na viongozi wenye misimamo mikali kama Putin na Hayati JPM