China naamini hawawezi hata wala pilipili, na ndio level zake kugombea mashamba ya viazi mipakani.
Lakini cha kushangaza Russia inaogopwa balaa, kuna siri kubwa juu ya uwezo wa kivita wa Russia.
Halafu kipindi Japan inakabiliana na US, China walikuwa wanatandikwa sana na Japan, muda wowote Japan ilivuka mipaka inawashambulia, US anaona huyu dogo tumemlea sisi na tumepiga waonevu wake leo hii hataki kutupa heshima? tumemuona anakua leo hii kaota ndevu anajiona mbabe?[emoji23]
Naamini kabisa hakuna mbabe, mstaarab na mtu mwenye roho ngumu kama Japanese, naamini hata kesho Japan akibadili sera zake na kuanza kuutafuta u super power ana weza kubonda Asia yote, naamini kabisaa.
Kuliko kujifanya muongeaji na mikwara mbuzi its its better ukae kimya kama humaanishi unachozungumza, Japan nimewaheshimu sana Asia yote.