Anga na Njia ya maji kufungwa Taiwan

Anga na Njia ya maji kufungwa Taiwan

Uoga was China unasababisha USA awashike Hadi makalioni,

na kuanzia Sasa China atanyanyasika Sana na usa,keshamsoma udhaifu wake tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
China huwa hawako interested na Vita kabisa.. Na wanajitahidi sana kuepuka ugomvi kwa namna yeyote ili ajenge uchumi wake..

Pia pamoja na Drama zoote hizi; USA ni Partner mkubwa sana wa Uchina inapokuja kwenye Biashara na Teknolojia.. Watarushiana tu maneno, lakini siyo Risasi
 
China naamini hawawezi hata wala pilipili, na ndio level zake kugombea mashamba ya viazi mipakani.

Lakini cha kushangaza Russia inaogopwa balaa, kuna siri kubwa juu ya uwezo wa kivita wa Russia.

Halafu kipindi Japan inakabiliana na US, China walikuwa wanatandikwa sana na Japan, muda wowote Japan ilivuka mipaka inawashambulia, US anaona huyu dogo tumemlea sisi na tumepiga waonevu wake leo hii hataki kutupa heshima? tumemuona anakua leo hii kaota ndevu anajiona mbabe?😂

Naamini kabisa hakuna mbabe, mstaarab na mtu mwenye roho ngumu kama Japanese, naamini hata kesho Japan akibadili sera zake na kuanza kuutafuta u super power ana weza kubonda Asia yote, naamini kabisaa.

Kuliko kujifanya muongeaji na mikwara mbuzi its its better ukae kimya kama humaanishi unachozungumza, Japan nimewaheshimu sana Asia yote.
100% uko sawa, ndan ya 10 years Japan akiamua kujiimarisha arakuwa Asia super power
 
Uchina alimbeep US Gay ambaye kajaa tele kwa kumpeleka kibibi
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom