Anga na Njia ya maji kufungwa Taiwan

Anga na Njia ya maji kufungwa Taiwan

Sio kweli,
Mazoezi yanaanza leo chief

Televisheni ya taifa-china wameripoti[emoji116]
Screenshot_20220802-184114.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje wa China kasema China itawasilisha malalamiko rasmi UN. US kaweka wazi kuwa, hata Pelosi akiondoka, itafuatilia kwa ukaribu mwenendo wa China dhidi ya Taiwan.
Uoga was China unasababisha USA awashike Hadi makalioni,

na kuanzia Sasa China atanyanyasika Sana na usa,keshamsoma udhaifu wake tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje wa China kasema China itawasilisha malalamiko rasmi UN. US kaweka wazi kuwa, hata Pelosi akiondoka, itafuatilia kwa ukaribu mwenendo wa China dhidi ya Taiwan.
Dahhhh.. waswahili wanasema ukimwonesha uchi mtoto mdogo ndio madhara yake ayo yani watu waje kwa lazima kwako alafu bado waseme kuwa watafuatilia waone utamfanya nini uyo waliyemuacha dahhh
 
China imetangaza kufunga njia za bahari kwa meli zote na anga kwa ndege zote,

Wametangaza kuanza mazoezi kuzunguka pande 6 za Taiwan

Mazoezi hayo kuanza tarehe 04 hadi 07/08

Mazoezi hayo yatahusisha silaha za moto

Watafanya mazoezi baada ya Nancy kuondoka Taiwan


Swali: Je Meli na Ndege za USAF zitakubaliana na hii maana Taiwani ina ADIZ
Anga ipi mkuu? Pelosi ametua Taiwan kwa mbwembwe zote
 
Back
Top Bottom