Anga na Njia ya maji kufungwa Taiwan

Anga na Njia ya maji kufungwa Taiwan

Angalia westerners wanavyomkejeli
 

Attachments

  • 20220802_201725.jpg
    20220802_201725.jpg
    21.5 KB · Views: 16
Atleast yeye alipiga kambi za marekani, ile ni tit for tat kauwawa kiongozi wao na wao wakapiga kambi, sasa huyu mandonga kafanya nini, yeye anataka kuanza mazoezi tena baada ya nancy kuwa ameshaondoka.

Kuhusu wale wanasayansi wake iran han chakufanya ni watu wa kazi wameingia kimya kimya wanauwa wanapotea utampiga nani sasa
Itabidi nancy aongeze siku aseme ataondoka tarehe 6 tuone
 
Back
Top Bottom