TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,627
- 28,708
Simuoni Nyani Ngabu humu hapa tunahitaji maoni yake katika hili.MTU anayetengeneza vitu fake haaminiki kabisa
Simuoni Nyani Ngabu humu hapa tunahitaji maoni yake katika hili.MTU anayetengeneza vitu fake haaminiki kabisa
Hawata vamia, wataonesha kutofurahishwa kwa mazoezi hayo ndani ya siku 3 kuanzia tarehe 4, ambayo Pelosi atakuwa kaondokaKumbe ni baada ya kuondoka [emoji38][emoji38].
Kwamba wanataka kumvamia Taiwan au? Wana hiyo jeuri ? Wana huo uchumi?
Nenda pale Kkoo waulize wanajisikiaje, wau waite MandongaAtleast yeye alipiga kambi za marekani, ile ni tit for tat kauwawa kiongozi wao na wao wakapiga kambi, sasa huyu mandonga kafanya nini, yeye anataka kuanza mazoezi tena baada ya nancy kuwa ameshaondoka.
Kuhusu wale wanasayansi wake iran han chakufanya ni watu wa kazi wameingia kimya kimya wanauwa wanapotea utampiga nani sasa
Wao ni mandonga, na hawawezi kunifanya kitu.Nenda pale Kkoo waulize wanajisikiaje, wau waite Mandonga
Nguvu ambazo china anazo?Kuna mdau humu aliwahi tamka kuwa CHINA NI LIDUBWANA LIKUBWA LENYE MIGUVU MINGI LAKINI NI LIOGA LA KUTUPWA .
Nakazia.Angeanza mazoezi hayo muda huu ili SPAR19 ishindwe kuruka kutoka Songshan Airport.
Hahahahaa wanasema mbwa umfugaye hakufanyeje? Kweli China amedhihirisha kuwa mshirika mtiifu wa US.Ila hii ya Nancy Pelosi kukanyaga Taiwan imewadhalalisha Sana china. Ukizingatia ule mkwara mavi wa Xi jinping you are playing with fire.
Usimfananishe Putin na wendawazimu.Hapa ndio utaona faida ya kuwa na viongozi wenye misimamo mikali kama Putin na Hayati JPM
Maneno ya Wanaume 👇Ila hii ya Nancy Pelosi kukanyaga Taiwan imewadhalalisha Sana china. Ukizingatia ule mkwara mavi wa Xi jinping you are playing with fire.
Maneno ya US haya hapa 👇Mikwara kibao afu US inawachora tu...
Nimeamini US inaweza fanya lolote lile
Watu watapata shida sana dhidi ya US, jamaa kila sehemu yupo.Maneno ya Wanaume [emoji116]