Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

mods,hii thread sasa fungeni,TO be born with a silver spoon,and then fate placing you on the wrong side of the divide should not be a ground for so called NYEREREOLOGIST and WADAKUOLOGISTS crucyfying one,left,right and centre.the notion that JF is the home of great thinkers,is being put to task as we are now being fed trivialities day by day.lets hope the nyerere's are not reading this banial CRAP
 
Hii inanikumbusha hekaya za Abunuwas alipotaka kuuza sehemu ya chini ya nyumba yake iliyopo kwenye jengo la ghorofa, alileta mafundi wakubomoa nyumba ya chini na kumuamuru mwenye nyumba ya juu ashikilie kwani anataka kuondoa nyumba yake iliyopo chini. ilichofuatia ni kwa mwenye nyumba ya juu kununua sehemu ya Abunuwas bila ya kupenda.

Mafundi wa Abunwasi wangekubalije kuvunja nyumba inayotaka kuuzwa? Na, jirani wa Abunwasi aliogopa kwamba sehemu ya chini itabomolowa ipelekwe wapi, mnadani?

Visa vya Abunwasi ni vya Abunwasi, sio majirani na mafundi wake.

Isije kuwa ni ubunifu wako, Mkuu.
 
Last edited:
Mbona mara nyingi tunasikia watoto wameua mzazi bongo? Mara ngapi watoto wameua mama yao au shangazi yao kwa imani za kishirikina? Mara ngapi vijana wamewapiga pamba au jembe wazazi yao kwa kutaka mali? Mama Liundi aliyewanywesha watoto wake sumu nae alikuwa mzungu?

Marvin Gaye alikuwa mteja. Alikuwa mtumiaji mzuri wa unga na siku ya tukio alikuwa amepandisha. Baba yake alimpiga risasi katika hatua za kujitetea. Alichofanya baba yake Marvin kama alivyofanya mama Liundi hakimaanishi kuwa jamii zao zote ziko kama wao.

Si heri hao wazungu wanaopeleka wazazi wao na vikongwe kwenye nursing home kuliko sisi tunaowapiga nondo kichwani kwa dhana za ushirikina? Tunavyowatendea vikongwe wenye Alzheimer (hao tunaowaita wanga ) na yenyewe unaona ni sifa? Vikongwe wangapi wametelekezwa na watoto wao hawana msaada wa mtoto, mjukuu wala serikali? Wangapi tunawaona wakiomba omba mitaani? Basi nasi sote tuhukumiwe kuwa hatujali wazazi wetu? Kipi bora, kumpeleka mzazi wako aliyepatwa na Alzheimer kwenye nursing home au kumwachia azurure mitaani ambako siku akijisahau na kuvua nguo atauawa kwa kuitwa mwanga? Si wote wanatupwa nursing home kwa sababu watoto hawawapendi. Kuna wakati unafika, mzazi anahitaji matunzo na nafasi ambayo ni mara chache inawezekana kumpatia nyumbani. Kama mwenzetu una nafasi ya kutosha ya kuweza kukaa na wazazi wako na kuwahudumia basi unastahili pongezi. Kukaa mbali nao na kupeleka vijisenti hakuna tofauti na vijisenti maana nyote mna outsource majukumu yenu!

Amandla.......

Hili suala la malezi itabidi lianzishiwe thread maana Fundi hapa umande ukikimbia na wala sio aveleji.
 
nadhani ianzishwe thread kwenye maswala ya kijamii - kuongelea familia za kitanzania za leo, majukumu yake na mahusiano katika ya members wake. inadidi tuifunje kidogo. Nikipata muda nitaanzisha - lakini familia ni swala la siasa pia - especial kwa nchi zilisoendelea, maana wanaamini family makes a state!
 
Wakati sisi na wanafunzi wengine wa Mkwawa tuliongeza hela ili tupande basi kutoka Iringa kwenda Dar moja kwa moja (mwaka 1970) wakati wa likizo ya shule, Andrew Nyerere aliendelea kutumia safari warrant ya shule ambaye ililazimisha wanafunzi kwenda na basi mpaka Dodoma na kuendelea na safari ya treni katika 3rd class kwenda Dar.

Pitapita,

Nataka kuhakikisha nimekuelewa vizuri. Unasema kwamba Andrew Nyerere alikuwa mwanafunzi Mkwawa High School, Iringa, mwaka 1970? Na kwamba ulikuwa naye shuleni Mkwawa?

Ilikuwaje hivyo?

Andrew Nyerere alikuwa mwanafunzi Tambaza High School mwaka huo wa sabini. Mimi pia nilikuwa Tambaza High School 1969 - 1970. Na niliishi katika H.H. The Aga Khan Hostel pamoja na Andrew Nyerere miaka hiyo. Tuliishi pamoja miaka miwili na tulionana kila siku.

H.H. The Aga Khan Hostel likuwa ni hosteli ya Kihindi, au niseme pia ya wanafunzi wa Kihindi pamoja na sisi Wafrika weusi.

Wanafunzi weusi tulikuwa ni wachache tu na tulifahimiana sote. Tuliishi pamoja na tulikula pamoja. Andrew Nyerere alikuwa nasi kila siku, kila asubuhi, kila mchana, na kila jioni tulipokwenda kula downstairs, on the ground floor, katika hosteli hiyo. Nilimwona kila siku mwaka huo 1970 tulipokuwa pamoja Tambaza High School na pia kabla ya mwaka huo, yaani tangu 1969. Pia nakumbuka sana alipenda kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi nyakati mbali mbali kwa sababu alikuwa ni mwanachama wa TANU Youth League (TYL). Wengine walikuwa ni kina Mohmmed Chande Othman (now Tanzania's High Court Judge), Msafiri Abdallah, Balinagwe Mwambungu (mwandishi wa habari aliyestaafu), James Maugo (now a prominent advocate in Dar), na wengineo ambao pia walipenda kuvaa mavazi hayo kama members wa TYL. I throw this in to jog the memory of my schoolmates and classmates at Tambaza High School who are also members of JamiiForums. Na wote niliowataja wanamfahamu sana na wanamkumbuka sana Andrew Nyerere alipokuwa mwanafunzi na sisi sote pale Tambaza High School mwaka huo wa sabini (1970).

Swali kwako Pitapita ni hili: Angekuwaje na wewe kule Mkwawa High School mwaka huo wa sabini wakati alikuwa na sisi Tambaza High School na katika hosteli ya Aga Khan?

Na kama nilivyosema, wanafunzi weusi tulikuwa wachache katika shule hiyo na katika hosteli ya Aga Khan, Upanga. Na ninakumbuka sana kulikwa wanafunzi wawili tu wa Kihindi waliokuwa wana "socialize" na sisi. Mmoja alikuwa Hassanali kutoka Tanga ambaye alikuwa ni classmate wangu Form V na Form VI, Arts 1969 - 1970. Mwingine alikuwa ni Nizar, kijana mdogo mwenye umri kama miaka kumi na nne au kumi na tano. Kulikuwa na mwanfunzi mwingine, mmoja tu kati yetu sis Wafrika weusi, ambaye alikuwa mwenye umri huo: Swai. Nakumbuka yeye pia, Swai, alipenda sana kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi kwa sababu alikuwa ni member wa TANU Youth League. I was not.

Nizar, yule kijana mdogo wa Kihindi, alipenda sana kutembea na sisi kwenda mjini na kwenye beach karibu na Selandar Bridge. Muulize Balinagwe Mwambingu. Namkumbuka sana mwanafunzi huyo, Balinagwe, ambaye pia alikuwa ni classmate wangu, kwa sababu kijana yule wa Kihindi, Nizar, alipenda sana kumshika mkono kama kaka yake mkubwa nyakati za matembezi yetu. Hassanali pia alikwenda matembezini na sisi kwenye beach mara nyingi.

Andrew Nyerere pia alifahiamana sana na kijana huyo mdogo wa Kihindi, Nizar, na alikuwa anatembea naye mara nyingi pamoja na mimi na wanafunzi wengine weusi. Nizar pia alikuwa member wa TANU Youth League na alikuwa anavaa shati ya kijani na kaptura nyeusi mara nyingi hata matembezin na sisi kama Andrew, Chande na wengineo. Mohammed Chande Othman (now the Judge) tulikukwa tunamwita kwa kifupi: Chande. Wanafunzi wenzangu wanakumbuka hayo yote. Pia Chande alikuwa ni rafiki ya Andrew - rafiki wa karibu sana.

Pia mara nyingi kila jioni kabla ya supper, in fact almost everyday, tulikuwa tunakwenda beach karibu na Selandar Bridge kupunga hewa. Na mwanafunzi mwenzetu mmoja, Msafiri Abdallah ambaye alikuwa ni classmate wangu kama Chande na Mwabungu na Hassanali, alikuwa na redio ambayo alikuwa anaichukua kwenda beach na sisi kila jioni. Pia nakumbuka alipenda sana - pamoja na sisi - kusikiliza taarifa ya habari saa zile za jioni kutoka Radio South Africa, Johannesburg. Naukumbuka hata wimbo (the bird was chirping really nice) wa ndege "chiriku" kabla ya taarifa kuanza kutangazwa. Mtangazaji wa habari ambaye alikuwa ni wa kiume - alikuwa ni wa kiume kila siku - alikuwa ananzia hivi: "This is Radio South Africa, Johannesburg." Na Andrew Nyerere alikuwa na sisi nyakati zote hizo matembezini kwenda kwenye beach.

Pia kuna nyakati kabla ya kuvuka barabara pale karibu na Selandar Bridge, tulimwona Mwalimu Nyerere akirudi nyumbani Msasani. Tuliwahi kumpungia mikono na yeye alitupungia mkono akitabasamu. Tulimwona mara nyingi pale darajani ingawa hatukumpungia mikono kila tulipomwona. Mbele yake kulikuwa gari la polisi (blue colour with an orange flashing light on top) na nyuma yake kulikuwa gari moja nyeupe ya maofisa wa usalama waliokuwa wanamsindikiza Mwalimu kila jioni. Andrew Nyerere alikuwa na sisi nyakati hizo mara nyingi. Pia mahali pale ambapo tulikuwa tunavuka barabara kila siku karibu na Selandar Brdge ndiyo hapo ambapo ndege ya jeshi letu la anga ilianguka ikiendeshewa na Captain Mwaitebele (kutoka Kyela) na instructor wake kutoke Canada. Walifariki papo hapo. Ilikuwa ni mchana na tulikwenda kuiona ajali hiyo. Andrew Nyerere pia alikuwepo.

Halafu sasa, wewe Pitapita (mpita njia?), unasema Andrew Nyerere alikuwa Mkwawa High School kule Iringa - wakati najua kwa hakika, na wanafunzi wenzangu pale Tambaza pia wanajua kwa hakika, kwamba tulikuwa shuleni pamoja Tambaza mwaka huo wa sabini na kabla ya hapo?

Wanafunzi wengine pale Tambaza High School na H.H. The Aga Khan Hostel miaka ile pamoja na Andrew Nyerere walikuwa kina George Mazula (Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi), Nkya, Celestine Mwinula, Mlozi, Chinja, Godfrey Mwakikagile, Mukama, Jacob Msaki (daktari) na ambao nimeisha wataja - kina Mwambungu, Judge Mohammed Chande Othman na wengineo.

Na kuna wanafunzi wenzangu pale Tambaza (1969 - 1970 ) ambao ni members wa JF wanaojua nasema ukweli. Waulize kama Andrew Nyerere hakuwa Tambaza High School na H.H. The Aga Khan Hostel na sisi miaka hiyo. Na, wewe Pitapita, tueleze alikuwaje katika shule mbili - hundreds of miles apart at the same time.

Uongo huu unatokana na nini? Kisa ni nini? Chuki? Sababu ni kumchukia Mwalimu na watoto wake? Au nini?

Pia watu wengi katika JF, badala ya kuzumgumzia na kujadili issues muhimu kwa taifa, wanataka kuwa personal na wanapenda kuzungumzia mambo binafsi ya familia za watu na maisha yao pamoja na mambo mengine mengi ambayo hayatuhusu.

Show some respect. Pia mnapoteza muda.
 
Mhh, Umenikuna kichwa Shwari.

Hii ni moja kati ya shule muhimu sana hapa JF. Watu kama wewe mnahitajika sana hapa jamvini. Smack downs kama za mkuu mmoja hapa JF anaenda kwa jina la Kyoma - anatokea mara chache sana hapa jamvini lakini anaangusha smack downs za nguvu.

Asante sana.
 
Mhh, Umenikuna kichwa Shwari.

Hii ni moja kati ya shule muhimu sana hapa JF. Watu kama wewe mnahitajika sana hapa jamvini. Smack down kama za mkuu mmoja hapa JF anaenda kwa jina la Kyoma.
Asante sana.

Kweli kabisa aisee, so far, Mzee Kyoma hana mpinzani. Huwaga anapotea weeeee...lakini akiibuka....wenyewe mnakoma.
 
Wakati sisi na wanafunzi wengine wa Mkwawa tuliongeza hela ili tupande basi kutoka Iringa kwenda Dar moja kwa moja (mwaka 1970) wakati wa likizo ya shule, Andrew Nyerere aliendelea kutumia safari warrant ya shule ambaye ililazimisha wanafunzi kwenda na basi mpaka Dodoma na kuendelea na safari ya treni katika 3rd class kwenda Dar.

Pitapita,

Nataka kuhakikisha nimekuelewa vizuri. Unasema kwamba Andrew Nyerere alikuwa mwanafunzi Mkwawa High School, Iringa, mwaka 1970? Na kwamba ulikuwa naye shuleni Mkwawa?

Ilikuwaje hivyo?

Andrew Nyerere alikuwa mwanafunzi Tambaza High School mwaka huo wa sabini. Mimi pia nilikuwa Tambaza High School 1969 - 1970. Na niliishi katika H.H. The Aga Khan Hostel pamoja na Andrew Nyerere miaka hiyo. Tuliishi pamoja miaka miwili na tulionana kila siku.

H.H. The Aga Khan Hostel likuwa ni hosteli ya Kihindi, au niseme pia ya wanafunzi wa Kihindi pamoja na sisi Wafrika weusi.

Wanafunzi weusi tulikuwa ni wachache tu na tulifahimiana sote. Tuliishi pamoja na tulikula pamoja. Andrew Nyerere alikuwa nasi kila siku, kila asubuhi, kila mchana, na kila jioni tulipokwenda kula downstairs, on the ground floor, katika hosteli hiyo. Nilimwona kila siku mwaka huo 1970 tulipokuwa pamoja Tambaza High School na pia kabla ya mwaka huo, yaani tangu 1969. Pia nakumbuka sana alipenda kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi nyakati mbali mbali kwa sababu alikuwa ni mwanachama wa TANU Youth League (TYL). Wengine walikuwa ni kina Mohmmed Chande Othman (now Tanzania's High Court Judge), Msafiri Abdallah, Balinagwe Mwambungu (mwandishi wa habari aliyestaafu), James Maugo (now a prominent advocate in Dar), na wengineo ambao pia walipenda kuvaa mavazi hayo kama members wa TYL. I throw this in to jog the memory of my schoolmates and classmates at Tambaza High School who are also members of JamiiForums. Na wote niliowataja wanamfahamu sana na wanamkumbuka sana Andrew Nyerere alipokuwa mwanafunzi na sisi sote pale Tambaza High School mwaka huo wa sabini (1970).

Swali kwako Pitapita ni hili: Angekuwaje na wewe kule Mkwawa High School mwaka huo wa sabini wakati alikuwa na sisi Tambaza High School na katika hosteli ya Aga Khan?

Na kama nilivyosema, wanafunzi weusi tulikuwa wachache katika shule hiyo na katika hosteli ya Aga Khan, Upanga. Na ninakumbuka sana kulikwa wanafunzi wawili tu wa Kihindi waliokuwa wana "socialize" na sisi. Mmoja alikuwa Hassanali kutoka Tanga ambaye alikuwa ni classmate wangu Form V na Form VI, Arts 1969 - 1970. Mwingine alikuwa ni Nizar, kijana mdogo mwenye umri kama miaka kumi na nne au kumi na tano. Kulikuwa na mwanafunzi mwingine, mmoja tu kati yetu sisi Wafrika weusi, ambaye alikuwa mwenye umri huo mdogo: Swai. Nakumbuka yeye pia, Swai, alipenda sana kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi kwa sababu alikuwa ni member wa TANU Youth League. I was not.

Nizar, yule kijana mdogo wa Kihindi, alipenda sana kutembea na sisi kwenda mjini na kwenye beach karibu na Selandar Bridge. Muulize Balinagwe Mwambingu. Namkumbuka sana mwanafunzi huyo, Balinagwe, ambaye pia alikuwa ni classmate wangu, kwa sababu kijana yule wa Kihindi, Nizar, alipenda sana kumshika mkono kama kaka yake mkubwa nyakati za matembezi yetu. Hassanali pia alikwenda matembezini na sisi kwenye beach mara nyingi. Pia we spent hours on the roof of the hostel every evening, hasa sisi wanafunzi weusi pamoja na Andrew Nyerere, na mara nyingi pamoja na wanafunzi hao wawili wa Kihindi: Bwana mdogo Nizar na Hassanali.

Andrew Nyerere pia alifahamiana sana na kijana huyo mdogo wa Kihindi, Nizar, na alikuwa anatembea naye mara nyingi pamoja na mimi na wanafunzi wengine weusi. Nizar pia alikuwa member wa TANU Youth League na alikuwa anavaa shati ya kijani na kaptura nyeusi mara nyingi hata matembezin na sisi kama Andrew, Chande na wengineo. Mohammed Chande Othman (now the Judge) tulikuwa tunamwita kwa kifupi tu: Chande. Wanafunzi wenzangu wanakumbuka hayo yote. Pia Chande alikuwa ni rafiki ya Andrew - rafiki wa karibu sana.

Pia mara nyingi kila jioni kabla ya supper, in fact almost everyday, tulikuwa tunakwenda beach karibu na Selandar Bridge kupunga hewa. Na mwanafunzi mwenzetu mmoja, Msafiri Abdallah ambaye alikuwa ni classmate wangu kama Chande na Mwabungu na Hassanali, alikuwa na redio ambayo alikuwa anaichukua kwenda beach na sisi kila jioni. Pia nakumbuka alipenda sana - pamoja na sisi - kusikiliza taarifa ya habari saa zile za jioni kutoka Radio South Africa, Johannesburg. Naukumbuka hata wimbo (the bird was chirping really nice) wa ndege "chiriku" kabla ya taarifa kuanza kutangazwa. Mtangazaji wa habari ambaye alikuwa ni wa kiume - alikuwa ni wa kiume kila siku - alikuwa anaanzia hivi: "This is Radio South Africa, Johannesburg." Na Andrew Nyerere alikuwa na sisi nyakati zote hizo matembezini kwenda kwenye beach.

Pia kuna nyakati kabla ya kuvuka barabara pale karibu na Selandar Bridge, tulimwona Mwalimu Nyerere akirudi nyumbani Msasani. Tuliwahi kumpungia mikono na yeye alitupungia mkono akitabasamu. Tulimwona mara nyingi pale darajani ingawa hatukumpungia mikono kila tulipomwona. Mbele yake kulikuwa gari la polisi (shaped like a VW station wagon and blue in colour with an orange flashing light on top) na nyuma yake kulikuwa gari moja nyeupe (Peugeot 404) ya maofisa wa usalama waliokuwa wanamsindikiza Mwalimu kila jioni. Andrew Nyerere alikuwa na sisi nyakati hizo mara nyingi. Pia mahali pale ambapo tulikuwa tunavuka barabara kila siku karibu na Selandar Brdge ndiyo hapo ambapo ndege ya jeshi letu la anga (then called Tanzania Air Wing) ilianguka ikiendeshwa na Captain Mwaitebele (kutoka Kyela) na instructor wake kutoka Canada. Walifariki papo hapo. Ilikuwa ni mchana na tulikwenda kuiona ajali hiyo. Andrew Nyerere pia alikuwepo.

Halafu sasa, wewe Pitapita (mpita njia?), unasema Andrew Nyerere alikuwa Mkwawa High School kule Iringa - wakati najua kwa hakika, na wanafunzi wenzangu pale Tambaza pia wanajua kwa hakika, kwamba tulikuwa shuleni pamoja Tambaza mwaka huo wa sabini na kabla ya hapo?

Wanafunzi wengine pale Tambaza High School na H.H. The Aga Khan Hostel miaka ile pamoja na Andrew Nyerere walikuwa kina George Mazula (Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi), Nkya, Celestine Mwinula, Mlozi, Chinja, Godfrey Mwakikagile, Mukama, Jacob Msaki (daktari) na wale ambao nimeisha wataja - kina Mwambungu, Judge Mohammed Chande Othman na wengineo.

Na kuna wanafunzi wenzangu pale Tambaza (1969 - 1970 ) ambao ni members wa JF wanaojua nasema ukweli. Waulize kama Andrew Nyerere hakuwa Tambaza High School na H.H. The Aga Khan Hostel na sisi miaka hiyo. Na, wewe Pitapita, tueleze alikuwaje katika shule mbili - hundreds of miles apart at the same time.

Uongo huu unatokana na nini? Kisa ni nini? Chuki? Sababu ni kumchukia Mwalimu na watoto wake? Au nini?

Pia watu wengi katika JF, badala ya kuzumgumzia na kujadili issues muhimu kwa taifa, wanataka kuwa personal na wanapenda kuzungumzia mambo binafsi ya familia za watu na maisha yao pamoja na mambo mengine mengi ambayo hayatuhusu.

Show some respect. Pia mnapoteza muda.
 
Kweli kabisa aisee, so far, Mzee Kyoma hana mpinzani. Huwaga anapotea weeeee...lakini akiibuka....wenyewe mnakoma.

Kweli kabisa Ng'waninyami,

Wazee kama Kyoma wanahitajika sana kwenye forums kama hii. Ukiangalia alichoandika Shwari hapo juu, utaona authority kwenye maandishi yake, na kwa kiasi fulani, nilikumbuka jinsi Kyoma anavyojenga mtiririko wa hoja zake.
 
Shwari,
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Hata mimi ni zao la Aga Khan (Tambaza). Na baadhi uliowataja tunafahamiana ingawa mimi pale niliondoka kabla wewe hujajiunga.
 
Pitapita,

Nataka kuhakikisha nimekuelewa vizuri. Unasema kwamba Andrew Nyerere alikuwa mwanafunzi Mkwawa High School, Iringa, mwaka 1970? Na kwamba ulikuwa naye shuleni Mkwawa?

Ilikuwaje hivyo?

Andrew Nyerere alikuwa mwanafunzi Tambaza High School mwaka huo wa sabini. Mimi pia nilikuwa Tambaza High School 1969 - 1970. Na niliishi katika H.H. The Aga Khan Hostel pamoja na Andrew Nyerere miaka hiyo. Tuliishi pamoja miaka miwili na tulionana kila siku.

H.H. The Aga Khan Hostel likuwa ni hosteli ya Kihindi, au niseme pia ya wanafunzi wa Kihindi pamoja na sisi Wafrika weusi.

Wanafunzi weusi tulikuwa ni wachache tu na tulifahimiana sote. Tuliishi pamoja na tulikula pamoja. Andrew Nyerere alikuwa nasi kila siku, kila asubuhi, kila mchana, na kila jioni tulipokwenda kula downstairs, on the ground floor, katika hosteli hiyo. Nilimwona kila siku mwaka huo 1970 tulipokuwa pamoja Tambaza High School na pia kabla ya mwaka huo, yaani tangu 1969. Pia nakumbuka sana alipenda kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi nyakati mbali mbali kwa sababu alikuwa ni mwanachama wa TANU Youth League (TYL). Wengine walikuwa ni kina Mohmmed Chande Othman (now Tanzania's High Court Judge), Msafiri Abdallah, Balinagwe Mwambungu (mwandishi wa habari aliyestaafu), James Maugo (now a prominent advocate in Dar), na wengineo ambao pia walipenda kuvaa mavazi hayo kama members wa TYL. I throw this in to jog the memory of my schoolmates and classmates at Tambaza High School who are also members of JamiiForums. Na wote niliowataja wanamfahamu sana na wanamkumbuka sana Andrew Nyerere alipokuwa mwanafunzi na sisi sote pale Tambaza High School mwaka huo wa sabini (1970).

Swali kwako Pitapita ni hili: Angekuwaje na wewe kule Mkwawa High School mwaka huo wa sabini wakati alikuwa na sisi Tambaza High School na katika hosteli ya Aga Khan?

Na kama nilivyosema, wanafunzi weusi tulikuwa wachache katika shule hiyo na katika hosteli ya Aga Khan, Upanga. Na ninakumbuka sana kulikwa wanafunzi wawili tu wa Kihindi waliokuwa wana "socialize" na sisi. Mmoja alikuwa Hassanali kutoka Tanga ambaye alikuwa ni classmate wangu Form V na Form VI, Arts 1969 - 1970. Mwingine alikuwa ni Nizar, kijana mdogo mwenye umri kama miaka kumi na nne au kumi na tano. Kulikuwa na mwanfunzi mwingine, mmoja tu kati yetu sis Wafrika weusi, ambaye alikuwa mwenye umri huo: Swai. Nakumbuka yeye pia, Swai, alipenda sana kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi kwa sababu alikuwa ni member wa TANU Youth League. I was not.

Nizar, yule kijana mdogo wa Kihindi, alipenda sana kutembea na sisi kwenda mjini na kwenye beach karibu na Selandar Bridge. Muulize Balinagwe Mwambingu. Namkumbuka sana mwanafunzi huyo, Balinagwe, ambaye pia alikuwa ni classmate wangu, kwa sababu kijana yule wa Kihindi, Nizar, alipenda sana kumshika mkono kama kaka yake mkubwa nyakati za matembezi yetu. Hassanali pia alikwenda matembezini na sisi kwenye beach mara nyingi.

Andrew Nyerere pia alifahiamana sana na kijana huyo mdogo wa Kihindi, Nizar, na alikuwa anatembea naye mara nyingi pamoja na mimi na wanafunzi wengine weusi. Nizar pia alikuwa member wa TANU Youth League na alikuwa anavaa shati ya kijani na kaptura nyeusi mara nyingi hata matembezin na sisi kama Andrew, Chande na wengineo. Mohammed Chande Othman (now the Judge) tulikukwa tunamwita kwa kifupi: Chande. Wanafunzi wenzangu wanakumbuka hayo yote. Pia Chande alikuwa ni rafiki ya Andrew - rafiki wa karibu sana.

Pia mara nyingi kila jioni kabla ya supper, in fact almost everyday, tulikuwa tunakwenda beach karibu na Selandar Bridge kupunga hewa. Na mwanafunzi mwenzetu mmoja, Msafiri Abdallah ambaye alikuwa ni classmate wangu kama Chande na Mwabungu na Hassanali, alikuwa na redio ambayo alikuwa anaichukua kwenda beach na sisi kila jioni. Pia nakumbuka alipenda sana - pamoja na sisi - kusikiliza taarifa ya habari saa zile za jioni kutoka Radio South Africa, Johannesburg. Naukumbuka hata wimbo (the bird was chirping really nice) wa ndege "chiriku" kabla ya taarifa kuanza kutangazwa. Mtangazaji wa habari ambaye alikuwa ni wa kiume - alikuwa ni wa kiume kila siku - alikuwa ananzia hivi: "This is Radio South Africa, Johannesburg." Na Andrew Nyerere alikuwa na sisi nyakati zote hizo matembezini kwenda kwenye beach.

Pia kuna nyakati kabla ya kuvuka barabara pale karibu na Selandar Bridge, tulimwona Mwalimu Nyerere akirudi nyumbani Msasani. Tuliwahi kumpungia mikono na yeye alitupungia mkono akitabasamu. Tulimwona mara nyingi pale darajani ingawa hatukumpungia mikono kila tulipomwona. Mbele yake kulikuwa gari la polisi (blue colour with an orange flashing light on top) na nyuma yake kulikuwa gari moja nyeupe ya maofisa wa usalama waliokuwa wanamsindikiza Mwalimu kila jioni. Andrew Nyerere alikuwa na sisi nyakati hizo mara nyingi. Pia mahali pale ambapo tulikuwa tunavuka barabara kila siku karibu na Selandar Brdge ndiyo hapo ambapo ndege ya jeshi letu la anga ilianguka ikiendeshewa na Captain Mwaitebele (kutoka Kyela) na instructor wake kutoke Canada. Walifariki papo hapo. Ilikuwa ni mchana na tulikwenda kuiona ajali hiyo. Andrew Nyerere pia alikuwepo.

Halafu sasa, wewe Pitapita (mpita njia?), unasema Andrew Nyerere alikuwa Mkwawa High School kule Iringa - wakati najua kwa hakika, na wanafunzi wenzangu pale Tambaza pia wanajua kwa hakika, kwamba tulikuwa shuleni pamoja Tambaza mwaka huo wa sabini na kabla ya hapo?

Wanafunzi wengine pale Tambaza High School na H.H. The Aga Khan Hostel miaka ile pamoja na Andrew Nyerere walikuwa kina George Mazula (Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi), Nkya, Celestine Mwinula, Mlozi, Chinja, Godfrey Mwakikagile, Mukama, Jacob Msaki (daktari) na ambao nimeisha wataja - kina Mwambungu, Judge Mohammed Chande Othman na wengineo.

Na kuna wanafunzi wenzangu pale Tambaza (1969 - 1970 ) ambao ni members wa JF wanaojua nasema ukweli. Waulize kama Andrew Nyerere hakuwa Tambaza High School na H.H. The Aga Khan Hostel na sisi miaka hiyo. Na, wewe Pitapita, tueleze alikuwaje katika shule mbili - hundreds of miles apart at the same time.

Uongo huu unatokana na nini? Kisa ni nini? Chuki? Sababu ni kumchukia Mwalimu na watoto wake? Au nini?

Pia watu wengi katika JF, badala ya kuzumgumzia na kujadili issues muhimu kwa taifa, wanataka kuwa personal na wanapenda kuzungumzia mambo binafsi ya familia za watu na maisha yao pamoja na mambo mengine mengi ambayo hayatuhusu.

Show some respect. Pia mnapoteza muda.

Basi baba, ahsante kwa historia nzuri, wanahistoria wa baadaye wakitaka kuja hapa kutafuta picha ya maisha nyakati hizo Tambaza watapata mwanga kidogo.

Nashindwa kuamini -ingawa inawezekana- kwamba mtu atajisingizia tu kuwa Andrew Nyerere alikuwa anasoma Mkwawa, na kwa maandishi yako mapana na marefu inaonekana hupingiki.

Je, inawezekana kwamba kuna mtoto mwingine wa Nyerere aliyesoma Mkwawa miaka hiyo ambaye amechanganywa na kufikiriwa kuwa ndiye Andrew labda?

Kama si hilo huyo aliyejisingizia atakuwa mtu wa ajabu kweli kweli.
 
Mwingine alikuwa ni Nizar, kijana mdogo mwenye umri kama miaka kumi na nne au kumi na tano... Nizar, yule kijana mdogo wa Kihindi ...alipenda sana kumshika mkono kama kaka yake mkubwa nyakati za matembezi yetu. ...Andrew Nyerere pia alifahamiana sana na kijana huyo mdogo wa Kihindi, Nizar,

Pia watu wengi katika JF, badala ya kuzumgumzia na kujadili issues muhimu kwa taifa, wanataka kuwa personal na wanapenda kuzungumzia mambo binafsi ya familia za watu na maisha yao pamoja na mambo mengine mengi ambayo hayatuhusu.

Pia mnapoteza muda.

Kijana mdogo wa Kihindi Nizar mwenye umri wapata miaka kumi na nane alikuwa yuko sawa kabisa kuwa form V na umri huo. Hakuwa kijana mdogo. Umesema huna hakika kama alikuwa na mvua kumi na nane au kumi na tano, ina maana hujui mengi kuhusu umri wake, inawezekana alikuwa ana ishirini na mbili, ila ni kijeba. Sasa usijaribu kukisafisha kijeba kinachoweza kuwa kilidumaa tu, kwa kutuambia eti ni mtoto mdogo. Hujui.

Umetuasa tuache kuongelea mambo ya binafsi yasiyo na manufaa ya kitaifa halafu ukaandika buku zima la maisha ya baharini na kucheza juu ya dari la bweni, na madarajani mjini na watoto wenzio wa shule.

Umesema tunapoteza muda halafu ukachukua wakati wako kutuletea tamthilia nzima ya habari za kupungia msafara wa Rais, kushikana mikono baharini na mtoto mdogo wa Kihindi kabla ya kumrudisha bwenini usiku.

Tufuate ushauri wako au tujifunze kwa kuangalia unachofanya wewe mwenyewe?
 
Dilunga,

Baba zetu hawa, they are cut from a different cloth na wala hawawezi kuelewa attention to detail ya kinyamwezi unayoileta hapa. Mimi ndio maana nikamshukuru kwa kuleta historia hapa lakini kwenye attention to detail wabongo sio strong point yetu.

Pick anybody matamshi yake yatakuwa na contradiction,Nyerere,Malecela,Warioba (wasomi na viongozi wa juu wa zamani) Mwakyembe, Pinda (wa siku hizi) mpaka kina wenzangu na mie.

Kwa hiyo ukitaka kumbalasa na kile Kiranga anachokiita "Zero Tolerance" unambalasa, lakini saa nyingine uwe unawasale wakuu hawa, hasa kama detail sio central to the story kihivyo.

Or is it my lack of attention to detail that is tempting me to think the details are not that central to the story, especially because the devil of this story is in the details?
 
Soma tena niliyoandika.

Kuna tofauti kati ya kumi na nne na kumi na NANE. Na ukiwa na umri wa miaka kumi na nne kama nilivyosema, na sio kumi na NANE kama unavyosema, hakuna tofauti kubwa kati ya umri huo na umri wa miaka kumi na tano kama nilvyosema.

Mengine nilyoandika ni kumjibu Pitapita kuthibitisha kwamba Andrew Nyerere alikuwa Tambaza High School na sio Mkwawa.
 
Naungana na Dilunga. Kama tunaona ni kosa kuzungumzie maisha ya watoto wa Nyerere basi vile vile hizo details za kushikana mikono, kupungia mikono, kwenda baharini n.k. nazo hazikuwa na nafasi humu. Ingetosha kabisa kwa mwandishi kusema alisoma na Andrew Nyerere Tambaza mwaka fulani kwa hiyo asingeweza kuwa Mkwawa kama ilivyodaiwa. Hayo mengine hayakuwa na haja.

Humu ndani taarifa ikiletwa kila mwanachama ana uhuru wa kuichambua na kuidadisi apendavyo ili mradi hatumii lugha isiyokubalika na jamii. Imeletwa taarifa ambayo ni sycophantic na watu wamejiuliza kulikoni. Kitu ninachoona kilichofanyika ni kuwa-humanise wote waliojadiliwa.

Sisi kama jamii tuna kawaida ya kuwaweka watu kwenye ivory towers ambazo zinakuwa kama mnyororo katika shingo zao. Sasa kama Andrew, John na wengine wanakunywa, so what? Tujifanye hawanywi kwa sababu ni watoto wa Mwalimu? Kwa kuwajadili hawa tumeweza kuona vile vile priorities zetu kama jamii. Wngine wetu tumewalaani kwa kutochangamkia tenda wakati huo huo tukiwalaani wale ambao wamechangamkia tenda! Tumeweza vile vile kujadili nafasi ya mzazi katika jamii yetu. Yote hayo si madogo. Ndiyo uzuri wa www. Inakupeleka usikotarajia.

Amandla..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom