William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Ingawa sikubaliani na wewe kwenye kusema Mwalimu hakuchangia HATA KIDOGO hatima ya watoto wake,
- Mkuu Fundi with all due respect, wazazi wako wamechangia vipi kwenye hatima ya maisha yako sasa hivi?
- Mwalimu alijitahidi kuwa kama mzazi yoyote mwingine wa wakati ule Tanzania, tizama mfano wa Freeman Mbowe, sio kweli kwamba kimaisha ndugu zake wote ni successful kama yeye, ingawa sio kwamba wana shida sasa how do you explain that, kwamba Mzee Mbowe RIP, alimlea Free tofauti na watoto wake wengine?
- Toka nimewafahamu watoto wa Mwalimu na Mwalimu mwenyewe, sikuwahi kusikia kwamba kuna mtoto wa Mwalimu ametaka kusoma nje yeye akamkatalia kama sisi wengine waazi wetu walivyokuwa, kwamba ametaka kuanzisha kampuni Mwalimu akakataa kumsaidia, watoto wa Mwalimu sio watu wanaopenda makuu, sio watu wa kujiweka kimbele mbele, sio wenye majivuno, sio waombaji na cha muhimu zaidi ni kwamba wako very close to each other, mmoja anapokuwa na shida huenda kwa mwingine na wote husaidiana, nakumbuka one time nyumbani kwa Madaraka, alipokuwa akiishi pale kwenye magorofa karibu na Zanaki Hostel, palikuwa pamejaa ndugu zake kibao toka Butiama na huku baba yakle akiwa ni rais,
- Kwa hiyo ni clear kwamba Mwalimu aliwafundisha umoja, kama Mwalimu anahusika na hatma ya watoto wake ni so minimum kama vile wazazi wetu wanavyohusika na hatma zetu, meaning kwamba he did kama ambavyo wazazi wengine walivyotulea, and I do not see anything to be wrong, ya maisha ya sasa ya watoto wake ni wao wenyewe ndio wameamua, Mwalimu hahusiki kabisaa.
FMES