Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,900
- 11,395
I hope "wenzetu" hao sio hawa wenye nursery schools toka mtoto ana mwezi mmoja! mama huyo anarudi kazini!
Binadamu wanatofautiana. Wako wanaompeleka mtoto nursey akiwa na mwezi mmoja na wako wanaoacha kazi ili wawe na watoto wao. Na si wakina mama peke yao. Nawajua wanaume wengi waliopunguza saa zao za kufanya kazi ili wawe na muda zaidi na watoto wao. Pamoja na hayo, hata huko ughaibuni sijasikia boarding za nursery! Hao wanaopelekwa wakiwa na mwezi mmoja bado wanarudi nyumbani kwa wazazi wao kila siku. Lakini baadhi yetu hata kama hatuwapeleki watoto nursery bali mtoto anaachiwa hausgel 24/7! Go figure.