William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Na Mwalimu asingeweza kuwaomba wajerumani maana alizaliwa baada ya utawala wao kuisha.
Source zangu ni humu humu kwenye mtandao. Google utapata habari zote.
Amandla..............
- Kumbe Mwalimu alipokataa masharti ya misaada ya wajerumani na kuwataka waondoke haraka sana bongo, tulikuwa bado hatujawa huru?
- Ahsante sana Mkuu Fundi, na huu ushahidi kutoka google na kushangiliwa na kidenge flani, Bwa! ha! ha! ha! again ahsante sana kwa elimu nzito sana hii kutoka google.
Respect.
FMES