Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 6,847
- 14,340
Tanzania hatuwahi kuwa utumwani ila ni ukoloni. Ukoloni haulazimishwi kufanya kazi ila unakuwa chini ya mamlaka ya taifa lingine kama mfanyakazi anayelipwa hata kama ni kidogo.Kabla ya mwaka 1961 Tanganyika raia wake walikuwa utumwani. Unataka kuniambia walkuwa wanafanya kazi kwa kupenda? Historia haisemi jinsi gani wazee walikuwa wakichapwa Viboko?
mkuu,
Mimi sifahamu kama alilazimishwa au Laah, ila yeye anadai alilazimishwa hivyo mtoa mada amesimamia hapo kwamba alilazimishwa.