Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

...hawana lolote hawa milenda, wanataka wabaki wao peke yao huko zanzibar ili waendelew na shughuli yao ya kulana viboga waliyofundishwa na waarabu, wachafu sana hawa watu. Mpango wao wa zanzibar ijitegemee ili waarabu wachukue hicho kisiwa tumeahaujua, ufirauni wenu mbaki nao hukohuko mashariki ya kati.

Dah, kwa jinsi unavyotoka vipovuu!! nadhani tayari Wazenji washakupiga kiboga ndio maana unajua uchungu wake, pole sana kaka ndio faida ya muungano hiyo!!
 
Mkuu umeongea maneno ambayo ni mazito sana na hakuna uthibitisho kama ni ya kweli

Mimi ninachokuambia na kukuhakikishia ni kwamba hata ufanye nini hii ndopa haitavunjika kwa sababu ya jinsi tulivyojichanganya tayari.

Kuna watu wachche wanaopandikiza chuki lakini hawatafanikiwa,

Muungano siupendi lakini kwa sababu nawapenda wale watakaobaguliwa na kudhurika kama ndoa ikivunjika itabidi tuivumilie tu

Au hujui kuwa kuna kipindi wazazi wanaamua kuendelea kuishi pamoja ilhali hawapendani na wanafanya hivyo kwa faida ya watoto wao?

Leo mnajivunia eti tumechanganyika waliochanganyika ni akina nani? ni lile kundi mnalolichukia na kulita kila aina ya majina wavivu hawakusoma hawana hivi wala vile mpaka mnafika kufitinisha katika mataifa nmakubwa kuwa hawa watu ni wabaya ninamainisha Waisilamu wa pande zote mbili wa Tanganyika na wale wa Zanzibar kiukweli wao ndio waliochanganyika na kwa kuowana pamoja na Uisilamu wao na sio vyenginevyo hao wengine wanapelekwa Zanzibar na makundi ya dini zao ili kupata visingizio kama unavyovitowa wewe eti tumechanganyika ukitaka kulijuwa hilo fika pale mwanakwereke kwenenye makazi ya milele utaona kama kweli tumechanganyia ,kama laiti mimi ningekuwa ni wewe ningebase upande wangu lakini Tumshukuru Mola tumeridhika na alicho turuzuku hatutapi tapi kama majirani zetu mnavyotapatapa kwa vile visivyokuwa vyetu kwa mana hiyo hadi leo hii humkuti Mzanzibari kusisifia vilivyokuwa miliki yenu .
 
Kwa kweli funzo tunalolipata kwenye huu uzi ni kuwa Wakatoliki si watu wa kuaminika.

Chris Lukosi aliyekuwa akijitutumua kuwa hautaki muungano kabisa na kutaka uvunjwe muda mfupi tu baada ya Pengo kuja na kauli yake ya serikali mbili Lukosi huyo huyo amegeuka na kuwa mpenda Muungano sasa.

Fikiria mtu kama huyu awe ni kiongozi huoni kuwa ni sawa na kumpa nchi Pengo mikononi mwake aiongoze?
 
Hata sisi tumechoka tunataka Zanzibar yetu hatutaki walevi na wavaa vimini huku.

He? Inamaana hata wale wazungu wanaofanya liwati huko mtawazuia? Sina uhakika kama smz itawaunga mkono kwenye hilo maana kisiwa kinapata mapato makubwa sana kutoka kwa hao matwahuti wavaa vichupi, walevi na wala kitimoto wanaoeneza ufirauni kwa vijana na wadada wa visiwani.
 
Kwa nini mapenda kuita watu makafir?

Mimi nikikuita kafir kwa sababu wewe sio mkristo utafurahi?

Nyie watu wachache msiojua hata maana ya neno Islam ndio mnaoharibu maana ya dini ya Uislam ambayo inahubiri upendo na hata salamu yake yeneywe maana yake AMANI IWE KWAKO.

Nina mashaka hata kama ulimaliza JUZU AMMA wewe.

Kama kweli wewe ni muislam na umesoma dini yako naomba unitafsirie haya maneno chini kwa kiswahili tafadhali

... مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الأَرْضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا ...
... (Quran 5:32)

Mkuu tafadhali uctuchafulie kitabu chetu kitukufu, hiyo uliyoandika Harpo haihusiani suala la kuitwa wewe KAFIRI, na sisi tunapowaita nyiny kuwa ni makafiri hatuwaonei, wala hatutaki sababisha chuki na ugonvi baina yetu, hiyo hadhi yenu ambayo Allah alitwambia tuwaite hivyo,(Quran sura 109 AL KAAFIRUN) na kama mnachukia kuitwa hivyo, jisalimishe katka uisilamu sio unatuletea fikra za kiuzalendo ktk dini yetu!!
 
mizizi ya babu yangu ipo Makunduchi kusini Unguja, ndio yulee aliyefukuzwa na Nyerere baba yenu wa Taifa kwa chuki zake za dhudi ya Waisilamu!! nimwafrika ila katu hana asili ya Tanganyika!!
Mkuu funguka na ueleze yaliyomsibu babu yako!
Halafu ukiwa wa Makunduchi, soma historia yako vizuri na ujue kama wewe ni mwafrika kamili au aulifikaje hapo, hiyo haijalishi chuki yako kwa aidha Nyerere au Watanganyika.
Zaidi ya hapo ujue kuwa Uafrika ni kwanza hata kuliko sympathy yako kwa dini yako, maana hata katika dini kuna ugomvi hata ndani ya Uislamu kati ya Shia na Sunni.
 
Uhame Weye na huyo kiroba chako pamoja na hao watwana wenziwo mafisadi wakubwa nyie
 
Sasa wazanzibar wahame kwao waende wapi?

Nilitegemea aseme kuwa ataitisha kura ya maoni ili kupata ukweli na kujua msimamo wa wananchi wake.

Zanzibar ni njema atahama yeye maana 2015 CCM hawampitishi kugomea urais na CUF this time inaitia kitanzi CCM Zanzibar piga ua.
 
Mkuu funguka na ueleze yaliyomsibu babu yako!
Halafu ukiwa wa Makunduchi, soma historia yako vizuri na ujue kama wewe ni mwafrika kamili au aulifikaje hapo, hiyo haijalishi chuki yako kwa aidha Nyerere au Watanganyika.
Zaidi ya hapo ujue kuwa Uafrika ni kwanza hata kuliko sympathy yako kwa dini yako, maana hata katika dini kuna ugomvi hata ndani ya Uislamu kati ya Shia na Sunni.

mimi ni mwafrika, kwan kuna shida gani, au unamaana kwamba waafrika wote asili yao Tanganyika eeh?
 
Mkuu tafadhali uctuchafulie kitabu chetu kitukufu, hiyo uliyoandika Harpo haihusiani suala la kuitwa wewe KAFIRI, na sisi tunapowaita nyiny kuwa ni makafiri hatuwaonei, wala hatutaki sababisha chuki na ugonvi baina yetu, hiyo hadhi yenu ambayo Allah alitwambia tuwaite hivyo,(Quran sura 109 AL KAAFIRUN) na kama mnachukia kuitwa hivyo, jisalimishe katka uisilamu sio unatuletea fikra za kiuzalendo ktk dini yetu!!

Akitaka asiitwe kafiri basi atumie kile kitabu halisi hasa cha injili, na sio injili ya kina Paulo, Allah aliwaita Ahlu Kitab (watu walopewa kitabu, yaani mayahudi na manasara lakini wenye kufata vile vitabu visemavyo Mungu ni Mmoja, na haonekani) hawa ndio hawakuitwa makafiri, lakini ukimfata Paulo umeingia katika ukafiri, unamtukana mungu, kwamba alikuwa akichokolewa na majiti msalabani wakimtoboa, mungu sio wa kumfanyia mzaha, kumbuka mungu hana shida ya sisi bali sisi ndio tunashida na yeye vipi ateseke kwa ajili yetu? Upuuzi tu! Huyu bwana Lukosi ajione ni from mainland akaona amesalimika, mi namwambia siku zanzibar ikizama basi atambue, ukanda wa pwani nao hautokuwa Salama! Lakini siku mafuriko yakotokea bara, zanzibar haitopata habari, na siku Kilimanjaro iki erupt, tutaona moshi tu juu, lakini athari ya majanga wataipata wao! Chuki zake huyu lazima zitamponza, kakumbatia mazungu tu, ngoja wamle kitenesi wakakufungishe ndoa... Weka heshima kwa Zanzibar wewe Lukosi, tumewasaidia sana vitani nyinyi hamna lolote leo mnaleta jeuri hapa! Halafu mi nashangaa, lini watanganyika wamefanya maandamano ya kudai nchi yao? Mi naona wakibana pua umu JF, ingieni barabarani muanzishe tifu kama lilotokea Zenjy muone!!! Halafu Lukosi mpe salamu yule Mkapa, anatakiwa apelekea ICC lakini alishika adabu yake askari wake walipokuwa wakiingia misituni Pemba, hukusikia kama walikua wakizikwa wazima wazima? Hebu siku 1 jaribubi kuivamia pemba muone kama mtarudi kwenu mshazoea kukutana uso kwa uso kwa hivo vijeshi uchwara, basi fanyeni mkutane na jeshi lisiloonekana!!

Halafu Lukosi, jaribubi kuweka Sanctions kwa Zanzibar kuwa hamuleti bidhaa zenjy yoyote, na sisi tukuekeeni sanctions, kama hamtojamba nyie, maana meli zenu zote za mizigo hupita katika the gate of east africa (zanzibar)! Lukosi hebu uvunjeniiiiiiiiii usituletee unafik, wewe CCM ndio unaetugandisha eti serikali 2, fanyeni 2 lakini sio za muungano hasa!
 
mimi ni mwafrika, kwan kuna shida gani, au unamaana kwamba waafrika wote asili yao Tanganyika eeh?
Hujautukuza huo uafrika wako so far!
Ila naona unatukuza itikadi itakayokukosanisha na waafrika walio wengi.
 
Makamo na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein amesema anaetaka mamlaka Kamili Zanzibar ahame., ameyasema hayo jana kwenye mkutano maalum na waandishi wa habar kule visiwan Zanzibar

Source: Nipashe
Madaraka bwana kitu kibaya sana. Huyu bwana sijui Mkapa alimtoa wapi, mkimya na mtaratibu. lakini polepole amebadilika sasa anataka wasio na mawazo kama yake wahame Zanzibar. Hivi viongozi wa Afrika midomo yao huwekwa nini ?
 
Nami nasema asiyetaka mamlaka kamili Zanzibar ahame!
 
Hujautukuza huo uafrika wako so far!
Ila naona unatukuza itikadi itakayokukosanisha na waafrika walio wengi.

ni ujinga na upumbavu uliokuwa nao , kuutukuza Uafrika sio lazima kung'ang'ania Muungano kharamu uliojaa ghilba na khiana za hao Waafrika tulioungana nao , pili tunaposema dhana Uafrika sio eti kuunganusha mapande ya ardhi bali ni kuwa spirit ya Umoja na mshikamano, na hii inakuja bila ya kuungana, kama ilivuokua halo mwanzo kabla ya Muungano, lakini kama kweli Watanganyika ni waumini wa Umajimui wa kiafrika, kwa nini kila leo mnaendeleza kuwakandamiza Waafrika wenzenu mulioungana nao ? au kwenu nyie huo ndio Umoja wa kiafrika? Soma uelewe ndugu usifuate mkumbo?
 
Mijitu mijinga na mipumbavu ni ninyi huko mliko mkifikiri tunaung'ang'ania muungano.
Tatizo lenu ni hizo halua za bure mlizoleweshwa nazo na kupenda vya bure toka kwa mabwana zenu.

Hakuna mTanganyika anayebembelezea kukaa na mikupe dsima dumu mgongoni huku wenyewe wakiwa na mikongojo ya kutembelea, kisa eti waungwana kumbe mivivu ya kutupwa.

Tunasubiri serikali tatu kwa hamu ili muanze kujua kulima na kujitegemea.
 
Sasa povu lote hilo kisa nini?
 
hahhe!! hayo ndio maneno yenu ya kila siku, kama kweli mumechoka kutubeba mbona hamtushushiii? tokea miaka ya 70 hadi leo hamjapata jeuri hiyoo na sijui mutaipata lini maana bado mnalete ubishi kwa Tume ya Warioba, Wazanzibar tuliobebwa tumechoka waliotubeba hawajachoka, maajabu haya lakini sishangai maana nyie Watwanaa wetu!!
 
Back
Top Bottom