Huyu Lukosi niachieni mie ebu, amebadilika amekuwa Mikosi sasa. Alijigamba hapa eti anasoma jogorafia, akisubiria tuamke na seruni zetu zimeroa, lakini nilipomuonesha wapi pamepata athari kubwa katika natural disaster kaona aibu sura ameikunja kama shati ilotafunwa na mbuzi. Wewe Lukosi unachuki na waarabu, unachuki na uislam, kama wewe unasema kuwa sisi tunawapaptikia waarabu, wewe unampapatikia nani kama si mzungu? Umetulia na shogake Cameron uko, ngoja akufungishe ndoa kanisani mwenu, naskia Desmond tutu kaanza chama cha mashoga, padre yule kweli? Au ukiristo ndo ulivyo ivo? Na kwa taarifa yako wewe Lukosi ukome kwanza kudai eti wazanzibari tumebeep, nakwambia ushike adabu yako na utuuzima wako, sisi tumepiga hatujabeep, nyinyi ni sawa na kukaa ukatizama simu ukiogopa anaekupigia, watetezi wetu wameekwa ndani, kisha unathubutu kusema eti tunewabeep, mnanini nyie? Hamuna haya nyinyi nchi ilokuwa na watu mamilioni na majeshi ya mamilioni mpaka mmekuja kuazima jeshi Zanzibar kwenda Uganda? Sina kawaida ya kureply baada ya kutupa danga, lakini kwa ujuha wako, na unafiq wako umenifanya nikureply, mbona hujajibu kuhusu Daraja lenu lilobomoka juzi uko dumila sijui wapi? Yale mafuriko ya Jangwani umeyasahau? Mtu mzima ovyo, na uyu kibaraka chenu sheni kajaaliwa mashavu tu kumbe remote controlled, lakini sisi hatumtizami Shein, tunaamini lengo la JK ni kurudisha mamlaka ya tanganyika na zanzibar... Hashuo zake sheni akamfanyie mkewe, ahame nani kwani nchi yake hii? Amrizame mwenzake Komandoo Salmin saivi kama zuzu hajijui hajitambui kwa laana za watu, sasa na uyu mashavu kama panya buku nae siku zake zitafika atatamani kifo na asikipate... Niliwahi kusoma kuna sehemu bwana Lukosi uliwahi kuwa jeshi... Naskia bana jeshini huwa mnafundishwa kuiteka Zanzibar, kweli?