ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,372
- 4,141
Vyovyote itakavyokuwa sawa ila TANGANYIKA yetu irudi kwa ukamili wake tu basi!Tumechoka na sisi na maneno ya kebehi!
Asante kwa pole.Karume nae ni muoman au muyemeni? Hebu tujuze maana jamaa ataka Zanzibar yenye mamlaka! Ukiachilia huyu mtoto mtu vipi na yule Babake Aliposema Muungano kama koti, aligeuka kuwa mwarabu siku iyo au? Acha uzombie wewe, kama mnaona sisi tumebeep, na nyie kujidai eti mmepiga miikeshea JF poleni, sisi tutaendelea kupiga mpaka ipokelewe ama ikatwe, wewe na wenzako kaeni humu mkibana pua eti wametubeep!! Hakuna shamra shamra ata moja kudai tanganyika yenu, mpo tu!!! Tulieni tutawaletea Danganyika yenu.... Sisi tutaitafuta Zanzibar yetu... Na izo chuki za Uunguja na Upemba, zimeletwa na CCM ya Salmini komandoo, saivi yule pale laana ya mungu imempata, sijui kawa komandoo kwenye kujamba ama vipi, lakini Maalim Seif amefanikiwa kuwaunganisha pamoja, na itakapokufa CCM zanzibar ndo msahau hasa uunguja na upemba, utasikia uzanzibari tuu!!! Tumeweza kuwacha chuki zetu za kisiasa tunasonga mbele (ingawa maskani ya Kisonge inaongozwa na mashoga maana milasho tu haina maana), tumetia kura ya ndio kwa wingi tu, basi tutaendelea kuwa pamoja kuikomboa Zanzibar.... Muitaarishe Zanzibar ikijitenga, chama cha Saccos nacho hakitokubali, kitataka kaskazini nayo ijitenge, na kwa jinsi Mtwara walivodudumaa kiuchumi, hawatokubali watakuja juu na wao wajitenge na gesi yao..... Kazi mnayo, kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzio tizama vingapi vimekuelekea wewe!!!! Na kwa Taarifa yako, hao wakiristo Zanzibar walikuwepo zamani sana tu, na walikuwa wakiishi kwa ujirani mwema bila ya chuki, tatizo saivi mmetuletea Majambazi, mapadre wauza unga ndio mana wanatwangana wenyewe kwa wenyewe kisha mnalia kuwa Uamsho hao, hili serikali la dhulma mpaka leo haijatoa hukmu ya UAMSHO, sijui wanaogopa nini!!! Naskia harufu ya damu 2015, CDM na CCM!!! Mmmhh poleni
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..
Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano
Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.
Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania
Usijifichr kama mbwa mwitu katikati ya kondoo!mie sio mwarabu ati, lakini kwani nani hajui kwamba wenyeji wa Zanzibar walikuwepo tokea kabla ya waarabu, basi kama hujui Wazanzibar wenyewe kwa mapenzi yao ndio walioenda kumwita mwarabu wa Oman kwa majahazi, wakati huo Tanganyika (Mrima) mulikua wapi, hili linatosha kuonyesha kwamba Tanganyikans are nothings for Zanzibar, ni wakimbizi tu waliokimbia kodi ya kichwa iliyokua ikitozwa nchini kwenu!!
Mkuu sina chuki na waarabu,That is Damn Wrong Raza is my fellow and asili yake India, H.N.Moyo asili yake Songea, If you are propagating Jewish agenda of hating Arabs that is not your country. Thank God Zanzibaris woken us up to get our Tanganyika back. You are just a small child Chris Lukosi to hell with your hate for Arabs who has nothing to do with Tanzania/Zanzibar politics.
In fact you cannot get rid Zanzibar of its mixed race origin. If you tell a Zanzibari Arab to go away because a Ngoni asked for total sovereignity of Zanzibar than you are telling Salim Ahmed Salim to tell his Manyema blood out of his family.
All member of BLM forced married arab women what do you expect of their coloured offsprings after they grow they will net let their fathers abuse and point a bogeyman their other side of the family.
Stay away from things you dont know and it is better for you. Being in a previledged position where you are abroad you will find yourself back in Mbagala one day begging and those Wapemba might be your good Samaritans.
Thx mfumo
wazanzibari ni wabaguzi na wanafiki sana,wakijitenga wakristo watanyanyasika sana visiwani kwasababu ya dini yao.
Makamo na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein amesema anaetaka mamlaka Kamili Zanzibar ahame., ameyasema hayo jana kwenye mkutano maalum na waandishi wa habar kule visiwan Zanzibar Source: Nipashe
merengo90Tanganyika tupo peac sana yani hatunaga ubaguzi wa dini wala origin ya mtu ndo maana watu wengi hukimbilia tanganyika hata wazanzibar waliopo huku wanaish kwa raha kama wapo kwao kwanza wanaruhusiwa kumiliki ardhi n kufanya mambo yao bila ubaguzi
Hebu chukua wazanzbr waliopo tanganyk waulize kama wanabaguliwa n kisheria au hata kweny jamii kama kun mwenye kusema hilo fanya hivyo kwa watanganyik waliopo zanzabar utasikia watasem mengi sana kuhusu ubaguzi coz hata hawana hualal wa kumiliki ardhi bado unaita ni muungano huu n ubaguzi wanaofanyiwa watanganyik huko zanzbar halaf bado wanajiita eti wakarimu!!
Me mwenyew siupendi huu muungano tumechoshwa tuwabebe then mlete kelele?? Kama mwataka kujitenga ingieni mtaan mka protest mkae kivyenu..miongozo.si ipo..Sepeni.kam vip
Na atakayepinga serikali ya Tanganyika basi ahame TANZANIA!
The grave mistake committed by Zanzibaris was/is to wake up a SLEEPING GIANT, while they can't even feed themselves.
Now they have to face the music, the Goverment of Tanganyika is comming.
Vyovyote itakavyokuwa sawa ila TANGANYIKA yetu irudi kwa ukamili wake tu basi!Tumechoka na sisi na maneno ya kebehi!
Kwani Zanzibar ya kwake yeye binafsi.?
Wewe umepata wapi mamlaka ya kutusemea watanganyika wewe jisemee mwenyewe na wakaskazini wenzako sisi watu wa ukanda wa pwani ni ndugu.tunachotaka sie watanganyika ni nyie wazanzibari kulipa bilioni 70 mnazodaiwa na tanesco kabla ya sisi kutengana na nyie cuz hakuna munalotusaidia zaidi ya kuwa mizigo kwa tanganyika
Karibu wote "wanaotaka" serikali mbili wanajificha nyuma ya msimamo wa chama chao! hawazungumzii misimamo yao binafsi.wanzanzibar unasema ni wamoja angali wanapishana kauli wenyewe kwa wenyewe? tangu warioba apendekeze serikali tatu, kauli za kutaka zibaki mbili zimetoka znz zaidi hushangai? kauli za kuvunja muungano nazo zimeanzia huko huko .Je watu hawa ni wamoja?. Shein na wanaccm mko nao huko unguja hamuwaambii hayo kwa nini?
Asante kwa pole.
Mimi niko bize naangalia mambo ya kijiografia.
![]()
Siku ukiamka asubuhi umelowa ujue kuwa umelala baharini
Mkuu sina chuki na waarabu,
Mimi mwenyewe nina ndugu waarabu , tena wanaitwa Lukosi kama mimi sasa iweje niwachukie?
Mimi ninachotaka hapa ni haki kwa wote, muungano wacha uvunjike lakini wale ndugu zetu wanaotaka kuishi Tannganyika wanakaribishwa wasiotaka na wabaki huko huko wakisubiri bahari iwameze