Mrembo tuu huyu kama wewe , nilitabiri utaniwekea picha hiyo maana nawajua Watanganyika hiyo ndio turufu yenu ya mwisho maana cku hizi mumekua no moja kushangiria mapinfuzi ya yetu, sio mbaya lakini mujue hilo sio jambo la kufanya eti Wazanzibar wagawe uhuru wao kwa Tanganyika maana tulipoteza roho za wazee wetu, na huyo ndio Jemedari wa kweli aliyejaa spirit ya Uafrika sio Watanganyiaka wanaojitia ngozi ya kondoo kumbe ni MAFISI wanaotaka kuwararua wazanzibar na kuupora rasilimali zao , hilo kamwe hatutakubali tutapambana daima!!! Rip okello, Rip Karume, Rip Yusuf Himid, na wengineo!!
Mrembo tuu huyu kama wewe , nilitabiri utaniwekea picha hiyo maana nawajua Watanganyika hiyo ndio turufu yenu ya mwisho maana cku hizi mumekua no moja kushangiria mapinfuzi ya yetu, sio mbaya lakini mujue hilo sio jambo la kufanya eti Wazanzibar wagawe uhuru wao kwa Tanganyika maana tulipoteza roho za wazee wetu, na huyo ndio Jemedari wa kweli aliyejaa spirit ya Uafrika sio Watanganyiaka wanaojitia ngozi ya kondoo kumbe ni MAFISI wanaotaka kuwararua wazanzibar na kuupora rasilimali zao , hilo kamwe hatutakubali tutapambana daima!!! Rip okello, Rip Karume, Rip Yusuf Himid, na wengineo!!
Nadhani ni wakati sasa kupe ajitafutie mlo wake mwenyeweMijitu mijinga na mipumbavu ni ninyi huko mliko mkifikiri tunaung'ang'ania muungano.
Tatizo lenu ni hizo halua za bure mlizoleweshwa nazo na kupenda vya bure toka kwa mabwana zenu.
Hakuna mTanganyika anayebembelezea kukaa na mikupe dsima dumu mgongoni huku wenyewe wakiwa na mikongojo ya kutembelea, kisa eti waungwana kumbe mivivu ya kutupwa.
Tunasubiri serikali tatu kwa hamu ili muanze kujua kulima na kujitegemea.
Kumbe mlikombolewa na mkristo , alafu leo mnawadharau wakristo huko visiwani.
kuhusu muungano watz wote wanataka ufe ,watu wengi tanganyika hawaongelei muungano maana kiuhalisia hawaoni impact yake katika maisha yao, wasomi wa uchumi ndio wanajua hakuna usawa.niseme tu wote tunataka ufe wanaoutaka huu muungano ni waunguja wana ccm, wanahofu nchi yao mwarabu kaacha damu atawasumbua sio watanganyika.
Nadhani ni wakati sasa kupe ajitafutie mlo wake mwenyewe
hujui unachokisema ndugu, Zanzibar wakiristo walikuepo tokea dahar zamani na hakuna anaebisha kwa hilo, suala la kudharauliwa ni uongo mtupu, labda wajidharau wenyewe, kwani akina Agostino Ramadhani wa watu gani, au humjui huyu, ana msimamo gani juu ya Muungano au hulijui hilo, mii nadhani ni nyie tuu Wakatoliki ndio wagumu wa kuelewa Muliongozwa na bwana wenu Pengo!! mwisho usijitie ujuzi waunguja hawana kasumba huzo, labda walee jamaa zeno walokuja kusindikiza mwenge, maana wao ndio wakuu wa kasumba za Uarabu, na kama hujui Waunguja ndio tuliowaleta waarabu Zanzibar, sasa tuwaogopee nini ? sisi ni watu huruu, na hilo ndio lengo la mapinduzi yetu!!
mimi nilisema waunguja wana ccm, maana wengi unguja ni ccm hata ukiangalia wawakilishi wa ccm huko.wanaosindikiza mwenge ni mapolisi na wanajeshi ambao kiuhalisia zanzibar wanaishi kwa tabu sana kutokana na ugumu wa maisha na uchache wa huduma za kijamii vipi wapende kubaki huko? wakristo mnawachukia sana huko znz kila mara manawafanyia vioja kwa ufinyu wenu wa akili.
Tatizo la makafiri hawataki kubadilika ni wachache tu ndio wanaojiamini, ndio maana wanakosa imani kwa baadhi ya wazanzibar, na hilo lipo hadi kwenu sio Zanzibar tuu, na baba yenu wa Taifa ndio muasisi wa fitina za Udini sisi twaendeleza tuu..
Warembo wazliozoea kucheza nachi hawjizuii kujionyesha, mtacheza sana taarab mwaka huu!Tatizo la makafiri hawataki kubadilika ni wachache tu ndio wanaojiamini, ndio maana wanakosa imani kwa baadhi ya wazanzibar, na hilo lipo hadi kwenu sio Zanzibar tuu, na baba yenu wa Taifa ndio muasisi wa fitina za Udini sisi twaendeleza tuu..
wabadilike manataka wabadili dini wawe waislam?
Another Stupidity, you fellow Tanganyikan what is wrong with you, can you name them or the group? Why are you concerned if Pemba split from Unguja or Stone town from The rest of the mikoa?
Why are you not concerned that there are other elements in Tanganyika and are creating divisions among your own people.
Who.gave you the rights of Guardianship of Zanzibar Affairs? The 60% from Warioba report is enough to make you mind your own house at home.!!!
Kumbe jinga is all over you guys!!!
Zanzibar inaongozwa na mamluki toka bara!
Warembo wazliozoea kucheza nachi hawjizuii kujionyesha, mtacheza sana taarab mwaka huu!
Sio vibaya na kila siku tunawaombea kwa Allah awape nuru ya kuijua njia ya hakki na muiache battili yenu....
mbona wazanzibar hawjabadilika bado ushoga unazidi kwenye nyumba za madrasa? mbona watumiaji wa madawa ya kulevya wanaongezeka? mbona mnachoma baa za watu binafsi angali kila nyumba kumi kuna baa za gongo/tende tangu na tangu hamzigusi achana na wanaouza bia majumbani tangu na tangu? mbona wajane wengi hamna maadili mnaowa ovyo na kuacha huku watoto wakikosa maadili na malezi ya huduma muhimu kama elimu bora? mbona hambadiliki?