Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

ghilipolla

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
280
Reaction score
53
Makamo na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein amesema anaetaka mamlaka Kamili Zanzibar ahame., ameyasema hayo jana kwenye mkutano maalum na waandishi wa habar kule visiwan Zanzibar

Source: Nipashe
 
hamtaeendelea kutunyonya watoto wenu wakila na kusaza kwa mgongo wakutokuwepo Tanganyika huku nyie mukiwa na wimbo wenu bendera, na raisi wenu wa Zanzibar akila mizinga 21 Tanganyika itarudi tuu
 
Mhhh! enzi za mwalimu mkuu cheo cha mwisho zinarudi kinamna nyingine.
 
Wazanzibari bwana hawajui vingine bali matisho tu. Amesema hayo ili wanyamaze katiba hiyo ya bara ipite tu. Wao si wana yao? Sasa hao wanaotaka kuikwamisha hiyo ya bara si watawaamsha walio lala? Hilo dubwana kuubwa lililo usingizini mwataka liamke? Liacheni msiliguseguse si limetubeba mgongoni huku sisi twala matunda ya juu tu? Ni mawazo yangu tu kunradhi
 
Afadhali sasa sisi waunguja tusiopenda zanzibar kujitenga tutapumua. Kiukweli wanaotaka mamlaka kamili zanzibar ni alshabab si wazanzibar wala watanzania.

Wee Muunguja gani? mbona huna dalili hata moja!! au ndio walee muliokuja kwa mwenge mukasahau kurudi makwenu kwa jinsi mulivyopenda kuishi na Waungwana wa Kizanzibar, Ndugu yangu Wazanzibar ni wamoja na katu humuoni Muunguja eti akijiita kwamba ni Muunguja, izo fitna na majungu ulokusudia kamwe hazina nafasi kwa Wazanzibar, lakini jengine kwangu nakuhisi kuwa wewe ni KAFIRI tena mkubwa sana ndio maana umeshindwa kuzificha chuki zako dhidi ya Wazanzibar 60% wanaodai mamlaka kamili, lakini tunakwambia Wazanzibar kwa umoja wetu tutaendelea kudai mamlaka kamili bila shuruti lolote maana Zanzibar ndio petu tuna hakki zetu kama umenuna rudi kwenu TANGANYIKA ukaendeleze ukafiri wako Zanzibar ina wenyewe!!!
 
Mkuu,mtu ukiwa bara au toka bara basi ni kafiri??!! Wapemba waliojazana Mwambao wa Tanganyika ni makafiri?? Na kina Ghalib Bilal,Mwinyi ni makafiri??!! Kwa tafsiri ipi hiyo ya ukafiri wako unaohubiri??!! Usilete upumbavu wa kuingiza udini kwenye mambo ya kisiasa ambayo ki ukweli mchungu ni suala lisilo naanufaa kwa wananchi wa kawaida bali wanasiasa na vyeo vyao!!

Shein akipigiwa/aspopigiwa mizinga bara mwananchi wa chini anapata na kukosa nini??!! Watoto wa Karume,Bilal na Kina Mwinyi wakipewa ubunge wa EAC,ubalozi na madaraka bara walalahoi wanafaidika nini??!!

Hima hima,msipandikize chuki kwa hoja za kipumbavu na kizandiki!!

Wakatabahu!
 
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..

Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano

Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.

Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania
 
Zanzibar inaongozwa na mamluki toka bara!

tatizo lenu mnaogopana wenyewe kwa wenyewe huko visiwani mnachojua ni kujifungia ndani na kuropoka.Shein kasema anataka serikali mbili si mko nae huko unguja mfuate akiwa msikitini umuulize yeye kwa nini mnakuwa na kauli mbili mbili mara muungao ufe mara mbili mara mkataba mara tatu, tume imesema tatu nyie znz ndio mnaanza kutaka zibaki mbili.
 
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..

Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano

Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.

Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania

wala usihofu watanganyika waishio znz muungano ukivunjika hawana cha kupoteza. watakwenda huko kwa passport na wakidhulumiwa au kuhujumiwa basi wapemba walioko kariakoo na akina baresa itabidi waondoke waachie wazawa ardhi yao. hakuna tatizo kabisa wala hakuna positive impact ya uchumi wa nchi yetu kwa watu wanaofanya kazi au biashara znz ni vibiashara vya vipesa vya kula tu na pengine utumwa tuwaache wawahudumie wenyewe kwenye mabaa na mahoteli yao ya kitalii ni utumwa kule hakuna kitu.
 
South sudan walidhani mbaya wao ni North sudan ( Sudan), baada ya kutengena kumbe looo! adui wao mwingineeee sasa wanachinjana
 
Back
Top Bottom