Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,953
Wewe endelea kupiga kelele wee, lakini ukweli unabaki pale paleUtatizama sana tu geography, ila usijisahau saaaana, kumbuke dharba ya Tsunami ilotokea Indonesia, hadi Tanganyika ukanda wa pwani ulipata khabari, sasa vutia picha tsunami ipige Zanzibar (mungu anusuru) na bagamoyo hiyo hapo, na kadaresalama, sijui ndo ulipo??? Utakosekana kweli kwenye dharba Lukosi? Ukishadidia mambo uwe na jicho la mbali na wewe, sio porojo za viroba tu, maana mkikaa kwenye Bar zenu story za ajabu ajabu!!! Pia kumbuka kule kwa kina Saccos nako kuna mlima wa KILIMANJARO, abaa kama umeisoma Geography vizuri basi nafikiri utakuwa unajua athari ya ule mlima kuja kuripuka kwa mara ya kwanza... Jogorafia kweeeli umeisoma???? Sasa dodoma nako ukame ukizidi itakuaje? Mhhh umefikiria haya yote? Maana unahamu visiwa vizamishwe, yule kelbu Nyerere alitamani avisukume.... Wewe watamani vizame? Jitizame kwako, usijione una ardhi kubwa ukajipa kiburi, watizame walokuzunguka macho yao juu yako, apo kuna Malawi, kuna rwanda, kuna Uganda, wanakumezea mate tu na Mkenya pembeni... Lukosi umeitizama geography hii na hali ya kisiasa lakini? Msije mkafanya yale ya nyerere, akapiga simu eti jeshi la Zanzibar liende likapigeni vita vya watanganyika visivotuhusu!! Halafu leo mnakuja na kebehi!!
Siku inakuja mtaamka mkute vikoi vyenu vimelowa ndio mjue mnalala baharini
Ila sio siri, NINAWAPENDA SANA NYIE WATU ....
Vipi mnamkumbuka bonge??