Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Huyu Chris Lukosi mara ingine anakua na chuki za kipumbavu sana! Mkuu wahehe wanasifa ya upendo sijui we ukoje au chadema walikuanbukiza roho ya kichaga? Halafu cha ajabu unataka kua mbunge wa iringa wakati iringa kuna waarabu wapo kule kabla babu yako hajazaliwa,sasa ukipata ubunge si utafanya kila mbinu ya kuwafukuza hawo waarabu? Mkuu badilika wahehe ni watu wazuri sana usiwe kama wale wakaskazini

And you know what funy he and his cronies are operating a freight forwarding agency in UK and most of his clients are Zanzibaris in UK let them hear this now!!!
 
Last edited by a moderator:
Wacha kuandika kama shoga anapika vitumbua wewe!

Mwenye asili ya kiarabu anaweza kupayuka maneno ya kama katawazia u.pupu namna hii!

Chuki za kigalatia zitakutoa roho siku si zako!

Sasa kama wewe unasema MUUNGANO HUUPENDI, Inakiwaje uanze kuwaapiza watu wa visiwa ! Ohhh mtakuwa hivi! Ohhh mtakuwa vile!
Maneno meeengi kama mke aliyepewa talaka 10!

Tulizana! Waache wazanzibari na nchi yao! Na huyo kibaraka shenim hio nchi si ya mama yake!
Kwa hio hana haki ya kuamua atakavyo yeye!
Wazanzibari ndio wenye kauli na NCHI YAO!
We kama una uchungu na mabadiliko basi kapige vita zile ndoa za wanamme kutafunana makanisani! Kwanza.
Ndio tujue kuwa kumbe Chris Lukosi ni kidume!

Kuingilia yasio kuhusu unaweza pata mume wa kizanzibari bila hiari zako
Mkuu ya Zanzibari hayanihusu ndio maana napenda sana huu muungano uvunjike

Halafu nani kakuambia mimi nauhusudu uarabu?

Mimi ni muhehe mweusi kama mkaa natokea Kalenga
 
And you know what funy he and his cronies are operating a freight forwarding agency in UK and most of his clients are Zanzibaris in UK let them hear this now!!!
Umewahi sikia na ship kwenda huko?

Kwa mara nyingine tena tumia lugha tunayotumia hapa

Mimi sina chuki na wazanzibari, ninawapenda kama wao wanavyonipenda...
 
Unauliza WAMEKUSAIDI NINI??

We hapo.ulipo UNAFANYA KAZI KWA NANI??
Na hao wafadhili wako ni.kina nani kama sio haohao WADINI??

We unadhani watu hawakujui sio!??
Au mpaka tuvunje miiko ya jf na kukutajia mahala unapofanyia hicho kibarua!!?

Wacha mambo ya jikoni! We dume zima unatoa maneno kama ASHA muhamed.
Nafanya kazi kwa CHRIS LUKOSI
 
Makamo na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein amesema anaetaka mamlaka Kamili Zanzibar ahame., ameyasema hayo jana kwenye mkutano maalum na waandishi wa habar kule visiwan Zanzibar

Source: Nipashe

TRA zanzibar iko hatua ya mwanzo kuondoka na wameshatangaziwa kuwa anayetaka TRA aende bara kama vipi ajira anapoteza ukitaka ajira lazima ujisajili TRA BARA au ZRB kwa wa nchi ya ZANZIBAR ZRB
 
Nafanya kazi kwa CHRIS LUKOSI

Wacha uongo wewe! Wale wadosi na wapemba wenye ile kampuni ya jina la mbuga za wanyama freight. .....!
Ndio wafadhili wako!

Ukizidisha uongo wako NAWEKA PICHA! Na namba ya simu ya boss wako ninayo!

Mtoto usie na adabu wewe! Unadhani mjaaanja kujificha nyuma ya computer ukikashifu watu?

Mnfnssssssssss!
 
Boss, mimi sijifichi ndio maana unaona natumia jina langu kamili na nimeweka picha yangu, au hiyo picha ndio ya huyo mdosi mfadhili wangu unayesema?
 
TRA zanzibar iko hatua ya mwanzo kuondoka na wameshatangaziwa kuwa anayetaka TRA aende bara kama vipi ajira anapoteza ukitaka ajira lazima ujisajili TRA BARA au ZRB kwa wa nchi ya ZANZIBAR ZRB
Kwa kifupi ili haki iiitwe haki inabidi Zanzibar iwe nchi huru

Wao waachiwe na nchi yao wajilie urojo kwa nafasi.

Waachiwe wajifanyie kila kitu na ili iwe fair divorce kila mtu aamue anataka kubaki wapi, walio bara wakiamua kubaki bara poa tu, na walio zenji wakiamua kubaki huko poa tu bora tu kikinuka wasirudi.

Haya mambo ya revolution tumyeaona yalianzia Egypt na hayatakwisha mpaka kesho.

Mimi binafsi naiona Zanzibar kuwa kama si somalia basi Syria kabisa baada ya muungano kuvunjika
 
Dr Shein ni daktari bingwa wa damu. Harakati zake za kisiasa zilianza wakati wa Dr salmin. Aligombea ueakilishi lakini alikosa. Na Salmin akamteua kuwa naibu waziri.
Aliyekuwa bosi wake wizara ya afya pemba , huwa wanaitwa afisa mdhamini pemba alikua akimpenda sana. Huyu mzee alikua akipenda sana wasomi na kuwapa nafasi sana pale pemba.
Dr Shein aliporudi masomoni alikua chini ya mdhamini huyu ambaye naye alikua ccm kindaki ndaki. Alimtayarisha kushika nafasi yake ya udhamini hadi uchaguzi ulipokuja na kujiingiza siasa.
Huyu mzee mdhamini alikua mtu wa karibu sana na Dr Salmin na alitumia nafasi hio kumpigia chapuo ili salmin ampe uwaziri.
akiwa waziri alimtumia sana bosi wake ww zamani ambaye ni mdhamini wa wizara akimsaidia sana kwa kazi zake kule pemba pamoja na za kibinafsi hakika alikua akimfanya kama ndugu yake haswa.
akaukwaa umakamu wa Rais na bado akimpigia simu kama kuna jambo la msaada anataka kufanyiwa kule pemba na hakika yule mzee hata kama ni saa nane za usiku basi atakwenda kutekeleza ombi lile la aliyekua afisa wake na sasa ni makamo wa rais Tanzania

Yule mzee alistaafu na kwa bahati mbaya maradhi yalimchukua akapata kiharusi na kisukari.aliumwa muda mrefu...Wallah Dr Salmin alisikia yupo unguja kwamba mzee X anaumwa sana basi alifunga safari hadi pemba na masheikh kwenda kumjuuliya hali na kumuombea duwa.
Wengi ya viongozi kina Kificho na bilal walifika kumuona na kumuombea. Dr Salmin alifika mbali zaidi akamwambia DR X hakika ulinisaidia sana huku pemba na pia uliisaidia sana wizara ya afya kufungua vituo vingi sana vya afya ...hakika nataka kujua hii nyumba ni yako au ya kukodi?
Dr salmin alimwambia nitaijenga hii nyumba. Na kweli alimjengea nyumba ya kisasa.
Huyu Dr X alifariki na dr salmin alikuja kutoa pole...

Lakini huyu Shein hakuona umuhimu wa kumjuuliya hali wala kutoa pole ya msiba.
Naileta kisa hichi cha kweli kabisa ili tumjue huyu shein si mtu anayejali ihsani na ni mtu anaefikiria yake tu....ni mbinafsi wa hali ya juuu.
Hivyo anaongea haya ni katika ubinafsi hajali la mtu au watu.....hapo anatetea nafsi yake na kazi yake aliyogawiwa na Kikwete.

Si mtu anaejali utu ni msahalifu kuwa wapo watu walimsaidia kufika hapo alipo
Hivo sio jipya yeye kusema wahame wanaotaka zanzibar yenye kujitegemea na mamlaka
 
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..

Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano

Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.

Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania

Mbona wa Tanganyika mpo Desperate na Mungano?
 
Kwa kifupi ili haki iiitwe haki inabidi Zanzibar iwe nchi huru

Wao waachiwe na nchi yao wajilie urojo kwa nafasi.

Waachiwe wajifanyie kila kitu na ili iwe fair divorce kila mtu aamue anataka kubaki wapi, walio bara wakiamua kubaki bara poa tu, na walio zenji wakiamua kubaki huko poa tu bora tu kikinuka wasirudi.

Haya mambo ya revolution tumyeaona yalianzia Egypt na hayatakwisha mpaka kesho.

Mimi binafsi naiona Zanzibar kuwa kama si somalia basi Syria kabisa baada ya muungano kuvunjika

Mtoto wa kiume kupiga majungu ni dalili mbaya! We haitoshi kusema kuwa muungano ufe tu! Mpaka utoe utabiri wako kama yule mchawi wenu?? Alijiita kiona mbali!?

We ngoja hao wahindi wapemba wakusome tu! Utalia na huo uhehe wako!
 
Dr Shein ni daktari bingwa wa damu. Harakati zake za kisiasa zilianza wakati wa Dr salmin. Aligombea ueakilishi lakini alikosa. Na Salmin akamteua kuwa naibu waziri.
Aliyekuwa bosi wake wizara ya afya pemba , huwa wanaitwa afisa mdhamini pemba alikua akimpenda sana. Huyu mzee alikua akipenda sana wasomi na kuwapa nafasi sana pale pemba.
Dr Shein aliporudi masomoni alikua chini ya mdhamini huyu ambaye naye alikua ccm kindaki ndaki. Alimtayarisha kushika nafasi yake ya udhamini hadi uchaguzi ulipokuja na kujiingiza siasa.
Huyu mzee mdhamini alikua mtu wa karibu sana na Dr Salmin na alitumia nafasi hio kumpigia chapuo ili salmin ampe uwaziri.
akiwa waziri alimtumia sana bosi wake ww zamani ambaye ni mdhamini wa wizara akimsaidia sana kwa kazi zake kule pemba pamoja na za kibinafsi hakika alikua akimfanya kama ndugu yake haswa.
akaukwaa umakamu wa Rais na bado akimpigia simu kama kuna jambo la msaada anataka kufanyiwa kule pemba na hakika yule mzee hata kama ni saa nane za usiku basi atakwenda kutekeleza ombi lile la aliyekua afisa wake na sasa ni makamo wa rais Tanzania

Yule mzee alistaafu na kwa bahati mbaya maradhi yalimchukua akapata kiharusi na kisukari.aliumwa muda mrefu...Wallah Dr Salmin alisikia yupo unguja kwamba mzee X anaumwa sana basi alifunga safari hadi pemba na masheikh kwenda kumjuuliya hali na kumuombea duwa.
Wengi ya viongozi kina Kificho na bilal walifika kumuona na kumuombea. Dr Salmin alifika mbali zaidi akamwambia DR X hakika ulinisaidia sana huku pemba na pia uliisaidia sana wizara ya afya kufungua vituo vingi sana vya afya ...hakika nataka kujua hii nyumba ni yako au ya kukodi?
Dr salmin alimwambia nitaijenga hii nyumba. Na kweli alimjengea nyumba ya kisasa.
Huyu Dr X alifariki na dr salmin alikuja kutoa pole...

Lakini huyu Shein hakuona umuhimu wa kumjuuliya hali wala kutoa pole ya msiba.
Naileta kisa hichi cha kweli kabisa ili tumjue huyu shein si mtu anayejali ihsani na ni mtu anaefikiria yake tu....ni mbinafsi wa hali ya juuu.
Hivyo anaongea haya ni katika ubinafsi hajali la mtu au watu.....hapo anatetea nafsi yake na kazi yake aliyogawiwa na Kikwete.

Si mtu anaejali utu ni msahalifu kuwa wapo watu walimsaidia kufika hapo alipo
Hivo sio jipya yeye kusema wahame wanaotaka zanzibar yenye kujitegemea na mamlaka
Mkuu umeongea maneno ambayo ni mazito sana na hakuna uthibitisho kama ni ya kweli

Mimi ninachokuambia na kukuhakikishia ni kwamba hata ufanye nini hii ndopa haitavunjika kwa sababu ya jinsi tulivyojichanganya tayari.

Kuna watu wachche wanaopandikiza chuki lakini hawatafanikiwa,

Muungano siupendi lakini kwa sababu nawapenda wale watakaobaguliwa na kudhurika kama ndoa ikivunjika itabidi tuivumilie tu

Au hujui kuwa kuna kipindi wazazi wanaamua kuendelea kuishi pamoja ilhali hawapendani na wanafanya hivyo kwa faida ya watoto wao?
 
Mtoto wa kiume kupiga majungu ni dalili mbaya! We haitoshi kusema kuwa muungano ufe tu! Mpaka utoe utabiri wako kama yule mchawi wenu?? Alijiita kiona mbali!?

We ngoja hao wahindi wapemba wakusome tu! Utalia na huo uhehe wako!
Mkuu mbona unanichekesha?

Kwa hasira zangu ningekuwa Rais ningevunja muungano lakini baada ya kuangalia kwa makini nimegundua kuna ndugu kibao kule ambao wanaupenda muungano, hivyo kwa faida ya wale wanaoupenda muungano kuanzia leo sikubali uvunjike bora uwepo ili kuwanusuru ndugu zetu
 
Acha kumwaga rusha roho!
Hebu leta ushahidi wa haya unayo payuka hapa!
Na toka lini visiwani wakawa na ndugu wa kihehe??
 
Mkuu naomba uniambie Wazanzibari wamenisaidia kwa lipi?

Mimi nina marafiki wengi tu wazanzibari sio mmoja au kumi ni wengi sana.

Tatizo langu ni wale wadini kama wewe wanaopiga kelele kila kukicha kuhusu muungano kuvunjika halafu leo waliposhtukia kuwa sisi watanganyika ndio tumeuchoka basi wanaaza kugeuza lugha

Huo muungano wenu wa kula urojo hatuutaki.
Unataka nikutajie ukalalamike kuwa anakutangaza? Teh teh teh teh, msalimie Muksini...mimi ukiniita mdini najisikia raha wewe mbona kauzu sisi hatusemi.
 
Wacha kuandika kama shoga anapika vitumbua wewe!

Mwenye asili ya kiarabu anaweza kupayuka maneno ya kama katawazia u.pupu namna hii!

Chuki za kigalatia zitakutoa roho siku si zako!

Sasa kama wewe unasema MUUNGANO HUUPENDI, Inakiwaje uanze kuwaapiza watu wa visiwa ! Ohhh mtakuwa hivi! Ohhh mtakuwa vile!
Maneno meeengi kama mke aliyepewa talaka 10!

Tulizana! Waache wazanzibari na nchi yao! Na huyo kibaraka shenim hio nchi si ya mama yake!
Kwa hio hana haki ya kuamua atakavyo yeye!
Wazanzibari ndio wenye kauli na NCHI YAO!
We kama una uchungu na mabadiliko basi kapige vita zile ndoa za wanamme kutafunana makanisani! Kwanza.
Ndio tujue kuwa kumbe Chris Lukosi ni kidume!

Kuingilia yasio kuhusu unaweza pata mume wa kizanzibari bila hiari zako
kwa hiyo waarabu ndo umewaona wana akili sana...mwehu wewe...
 
Huyu Chris Lukosi mara ingine anakua na chuki za kipumbavu sana! Mkuu wahehe wanasifa ya upendo sijui we ukoje au chadema walikuanbukiza roho ya kichaga? Halafu cha ajabu unataka kua mbunge wa iringa wakati iringa kuna waarabu wapo kule kabla babu yako hajazaliwa,sasa ukipata ubunge si utafanya kila mbinu ya kuwafukuza hawo waarabu? Mkuu badilika wahehe ni watu wazuri sana usiwe kama wale wakaskazini

Wahehe ni watumwa wa waarabu ...mkwawa aliwapigania waaarabu..alikuwa agent w akuwauza wengine na mwishowe kawaachia wahehe utamaduni uliokuwa na ushawishi wa kiarabu sana.Hadi lei wakicheza ngoma wanachovaa ni aibu tupu.
 
Mkuu sina chuki na mtu,

Bali nawajibu jamaa zetu wanaokesha hapa kututukana wabara kama wanavyopaswa kujibiwa.

Ni desturi yetu kupendana na kuwa kimya kwenye mambo kama haya lakini kadri siku zinavyosonga hawa jamaa wanafanya vituko vingi kutuashria kuwa hawatutaki.

Mimi kuna sehemu hapa inaitwa Rainham, kuna wapemba wengi sana pale wanapakia makontena, kila ukikutana nao stori zao ni kuwa hawatutaki wabara kwao tumejazana tuondoke na muungano hawautaki. Wanafikia hatua ya kusema mmasai kuonekana Zanzibar ni najisi.

Tatizo tukiendelea kuwachekea itakuwa sawa tu na kucheka na nyani na mwisho wake watamaliza mahindi utavuna mabua.

Kama wao walibeep kuwa hawautaki muungano na sisi tukapiga tukiwaambia wajitenge mbona mpaka leo wanahudhuria vikao vya bunge?

Mimi nina ndugu wengi Zanzibar , nina marafiki, na nina biashara zangu zinazokwenda huko, lakini kama ikibidi basi kila mtu na arudi kwao lakini ukiangalia kwa makini wanaochochea muungano uvunjike hawana asili ya Tanzania ...

Aliuawa padri, mwingine kamwagiwa tindikali na wale jamaa wanaosota lupango kila kukicha walikuwa wanachochea machafuko (naishukuru serikali kwa kuwaonyesha kuwa wapo)

Suala langu l;a kugombe ubunge Iringa halihusiani na Zanzibar, na pia kuniambia kuwa waarabu walikuwepo pale kabla ya babu yangu ni kunitukana

Usiwe unaongea kama mtu anayetumia makalio kufikiri.

MIMI NI MHEHE ORIGINAL KUTOKA KALENGA.

Sasa sijui kati ya muarabu na muhehe nani aliefika Irinnga kwanza. basi tupaite Damascus???

Wee linyoo leo nimeamini wanavokuita mgonjwa wa akili kumbe kweli una akili kama ngombe tu..jamaa wa chadema kina Matola hawajakosea kukuita mwehu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom