Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

ha ha ha sauti nzito nzito zishaanza sikika muungano serikali mbili ndo habari ya mjini
hakuna kitu kibaya maishani kama binadamu anayetumika na wanasiasa anaweza ongea kitu hata asichojua faida na hasara. unavyosema serikali mbili umeona mateso watanganyika wanapata znz kisa sio wazanzibar? umeona ajira za smz,umeona mappdri wanavyoteswa wakizaniwa tu sio waznz?au labda ni wakoloni wanatawala? unapenda kuona watu wakizidi hujumiwa kuuwawa na kumwagiwa tindikali? waznz wanaiita tanganyika wakoloni sasa unataka nini?
 
Huyu kweli ni RAHISI wa Zanzibar! Kwanini anajaribu kuli Pre empty Bunge la Katiba? Je Bunge likiridhia Mamlaka kamili ya Zanzibar je yupo Radhi yeye kuhama nchi? Haya ndo ma Dictator yanayoweka Mbele Maslahi ya Vikundi vyao badala ya Nchi. Kwa nini atishe watu? je wanaotaka Mamlaka kamili kwanini watishwe kuhama Nchi? Kama vipi si wangejifungia Chumbani wakaja na 'KATIBA'MPYA?
 
Mkuu mimi siupendi hata kidogo huu muungano lakini nimewakumbuka ndugu zetu wenye asili ya bara na kuwaonea huruma kwani ni lazima watatengwa na kubaguliwa vibaya, achilia mbali wakristo ambao nadhani muungano ukivunjika wote itabidi wahamie tanganyika

Hicho kisiwa kitakuwa kibaya kuliko somalia

wazanzibari ni wabaguzi na wanafiki sana,wakijitenga wakristo watanyanyasika sana visiwani kwasababu ya dini yao.
 
wazanzibari ni wabaguzi na wanafiki sana,wakijitenga wakristo watanyanyasika sana visiwani kwasababu ya dini yao.

Ni bora wajitenge, wakristo waamue kuondoka huko kuliko hivi sasa wanawauwa na kuwamwagia tindi kali.tired with these zanzibarians waache wakae wenyewe
 
Wee Muunguja gani? mbona huna dalili hata moja!! au ndio walee muliokuja kwa mwenge mukasahau kurudi makwenu kwa jinsi mulivyopenda kuishi na Waungwana wa Kizanzibar, Ndugu yangu Wazanzibar ni wamoja na katu humuoni Muunguja eti akijiita kwamba ni Muunguja, izo fitna na majungu ulokusudia kamwe hazina nafasi kwa Wazanzibar, lakini jengine kwangu nakuhisi kuwa wewe ni KAFIRI tena mkubwa sana ndio maana umeshindwa kuzificha chuki zako dhidi ya Wazanzibar 60% wanaodai mamlaka kamili, lakini tunakwambia Wazanzibar kwa umoja wetu tutaendelea kudai mamlaka kamili bila shuruti lolote maana Zanzibar ndio petu tuna hakki zetu kama umenuna rudi kwenu TANGANYIKA ukaendeleze ukafiri wako Zanzibar ina wenyewe!!!
Waambie wenzenu walozoea kubebwa bebwa kama mabibi.
Na weye kama ni wa asili ya kiarabu ujitayarishe kwa panga lingine maana kwa hakika kama mtauendeleza ubaguzi wenu, kupigwa panga halali kabisa.
Na safari hii '64 itakuwa cha mtoto, maana waunguja asili(waliokuwepo hata kabla ya mwarabu kukanyaga ardhi ya visiwa) watapata sapoti ya kutosha kuondoa vimelea vya ubaguzi wote visiwani.

Na siye Tanganika wakti huo nchi ati.
 
Na kama kuna jambo litakalo chafua amani ya nchi hii ni ccm kuzua serikali tatu. kikwete itabidi alipe damu ya yule padri aliyepigwa risasi kule zanzibar, akishalipa ndio kidogo watu watamuelewa.
 
tatizo ni wazanzibar wanajua wanachokitaka? msije makaanza lia lia tena?

kuna nin kwan hapa kati,kias kwamba wazanzibar hawautaki muungano na wanataka mamlaka kamili nyinyi watanganyika mwaonekana kuwang'ang'ania??
 
hakuna kitu kibaya maishani kama binadamu anayetumika na wanasiasa anaweza ongea kitu hata asichojua faida na hasara. unavyosema serikali mbili umeona mateso watanganyika wanapata znz kisa sio wazanzibar? umeona ajira za smz,umeona mappdri wanavyoteswa wakizaniwa tu sio waznz?au labda ni wakoloni wanatawala? unapenda kuona watu wakizidi hujumiwa kuuwawa na kumwagiwa tindikali? waznz wanaiita tanganyika wakoloni sasa unataka nini?

mbona una akili ndogo? hao watanzania si wanafanyiwa na makundi ya kihalifu?
kwahiyo kama taifa tu surrender kwa wahalifu? hzo ni mbinu za wasiotaka muungano but we can not surrender to the criminals.
 
kuna nin kwan hapa kati,kias kwamba wazanzibar hawautaki muungano na wanataka mamlaka kamili nyinyi watanganyika mwaonekana kuwang'ang'ania??

sio kuwangangania ndio maana sasa tunaenda serikali tatu, tunawashamngaa mara viongozi wenu waseme hivi mara wengine waseme tofauti wananchi kwenye kahawa nao tofauti. ndio maana tunawauliza what do you want? isije ikawa tofauti zenu wenyewe ndio zinasababisha mkimbie muungano, maana wengi hamjui mnataka nini na mamlaka kamili for what reason.ingawa kwa mimi binafsi naombea hata muda huu muungano uvunjike tupumzike kelele
 
mbona una akili ndogo? hao watanzania si wanafanyiwa na makundi ya kihalifu?
kwahiyo kama taifa tu surrender kwa wahalifu? hzo ni mbinu za wasiotaka muungano but we can not surrender to the criminals.
criminals movement zinaanzia misikitini?
 
Mkuu mimi siupendi hata kidogo huu muungano lakini nimewakumbuka ndugu zetu wenye asili ya bara na kuwaonea huruma kwani ni lazima watatengwa na kubaguliwa vibaya, achilia mbali wakristo ambao nadhani muungano ukivunjika wote itabidi wahamie tanganyika

Hicho kisiwa kitakuwa kibaya kuliko somalia

Karume nae ni muoman au muyemeni? Hebu tujuze maana jamaa ataka Zanzibar yenye mamlaka! Ukiachilia huyu mtoto mtu vipi na yule Babake Aliposema Muungano kama koti, aligeuka kuwa mwarabu siku iyo au? Acha uzombie wewe, kama mnaona sisi tumebeep, na nyie kujidai eti mmepiga miikeshea JF poleni, sisi tutaendelea kupiga mpaka ipokelewe ama ikatwe, wewe na wenzako kaeni humu mkibana pua eti wametubeep!! Hakuna shamra shamra ata moja kudai tanganyika yenu, mpo tu!!! Tulieni tutawaletea Danganyika yenu.... Sisi tutaitafuta Zanzibar yetu... Na izo chuki za Uunguja na Upemba, zimeletwa na CCM ya Salmini komandoo, saivi yule pale laana ya mungu imempata, sijui kawa komandoo kwenye kujamba ama vipi, lakini Maalim Seif amefanikiwa kuwaunganisha pamoja, na itakapokufa CCM zanzibar ndo msahau hasa uunguja na upemba, utasikia uzanzibari tuu!!! Tumeweza kuwacha chuki zetu za kisiasa tunasonga mbele (ingawa maskani ya Kisonge inaongozwa na mashoga maana milasho tu haina maana), tumetia kura ya ndio kwa wingi tu, basi tutaendelea kuwa pamoja kuikomboa Zanzibar.... Muitaarishe Zanzibar ikijitenga, chama cha Saccos nacho hakitokubali, kitataka kaskazini nayo ijitenge, na kwa jinsi Mtwara walivodudumaa kiuchumi, hawatokubali watakuja juu na wao wajitenge na gesi yao..... Kazi mnayo, kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzio tizama vingapi vimekuelekea wewe!!!! Na kwa Taarifa yako, hao wakiristo Zanzibar walikuwepo zamani sana tu, na walikuwa wakiishi kwa ujirani mwema bila ya chuki, tatizo saivi mmetuletea Majambazi, mapadre wauza unga ndio mana wanatwangana wenyewe kwa wenyewe kisha mnalia kuwa Uamsho hao, hili serikali la dhulma mpaka leo haijatoa hukmu ya UAMSHO, sijui wanaogopa nini!!! Naskia harufu ya damu 2015, CDM na CCM!!! Mmmhh poleni
 
Waambie wenzenu walozoea kubebwa bebwa kama mabibi.
Na weye kama ni wa asili ya kiarabu ujitayarishe kwa panga lingine maana kwa hakika kama mtauendeleza ubaguzi wenu, kupigwa panga halali kabisa.
Na safari hii '64 itakuwa cha mtoto, maana waunguja asili(waliokuwepo hata kabla ya mwarabu kukanyaga ardhi ya visiwa) watapata sapoti ya kutosha kuondoa vimelea vya ubaguzi wote visiwani.

Na siye Tanganika wakti huo nchi ati.

mie sio mwarabu ati, lakini kwani nani hajui kwamba wenyeji wa Zanzibar walikuwepo tokea kabla ya waarabu, basi kama hujui Wazanzibar wenyewe kwa mapenzi yao ndio walioenda kumwita mwarabu wa Oman kwa majahazi, wakati huo Tanganyika (Mrima) mulikua wapi, hili linatosha kuonyesha kwamba Tanganyikans are nothings for Zanzibar, ni wakimbizi tu waliokimbia kodi ya kichwa iliyokua ikitozwa nchini kwenu!!
 
Tanganyika tupo peac sana yani hatunaga ubaguzi wa dini wala origin ya mtu ndo maana watu wengi hukimbilia tanganyika hata wazanzibar waliopo huku wanaish kwa raha kama wapo kwao kwanza wanaruhusiwa kumiliki ardhi n kufanya mambo yao bila ubaguzi

Hebu chukua wazanzbr waliopo tanganyk waulize kama wanabaguliwa n kisheria au hata kweny jamii kama kun mwenye kusema hilo fanya hivyo kwa watanganyik waliopo zanzabar utasikia watasem mengi sana kuhusu ubaguzi coz hata hawana hualal wa kumiliki ardhi bado unaita ni muungano huu n ubaguzi wanaofanyiwa watanganyik huko zanzbar halaf bado wanajiita eti wakarimu!!
Me mwenyew siupendi huu muungano tumechoshwa tuwabebe then mlete kelele?? Kama mwataka kujitenga ingieni mtaan mka protest mkae kivyenu..miongozo.si ipo..Sepeni.kam vip
 
...hawana lolote hawa milenda, wanataka wabaki wao peke yao huko zanzibar ili waendelew na shughuli yao ya kulana viboga waliyofundishwa na waarabu, wachafu sana hawa watu. Mpango wao wa zanzibar ijitegemee ili waarabu wachukue hicho kisiwa tumeahaujua, ufirauni wenu mbaki nao hukohuko mashariki ya kati.
 
Thubutu! We wont budge an inch! A timely reminder to Daktari "what any man, whoever he may be, orders
on his own, is not a law"
 
Back
Top Bottom