Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

duniani ni mafunzo kijana, akhera hakuna mda huo..
pumbav naazz..ivi unadhani utajua nn bila ya kujifunza, ila kwa makafiri hamtaki jifunza mutajua hiyo cku mutapoanana na Mungu...

hahaaa, yaani kama kweli hao watu mnaowaita makafiri wangekuwa na maana hiyo, nahisi msingekuwa mnawalalamikia kiasi hicho....ni bora kuwa mkristu mjinga kuliko kuwa muislamu mjinga
 
hahaaa, yaani kama kweli hao watu mnaowaita makafiri wangekuwa na maana hiyo, nahisi msingekuwa mnawalalamikia kiasi hicho....ni bora kuwa mkristu mjinga kuliko kuwa muislamu mjinga


Mkuu,

Nime-BOLD kiduchu,hapo kwenye bayana yako.

Mjinga ni mjinga tu!!...dunia nzima!

Mbona unajaribu ku-justify ujinga, Mkuu vipi weye!? Daah!...haya mambo ya Udini haya bana! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana.
 
Flip flop politics za waheshimiwa.

THE FLIP- Zanzibar ina mamlaka kamili.

THE FLOP- Anayetaka mamlaka kamili ahame Zanzibar.

aisee kazi ipo.
 
Hivi huu muungano si uvunjike tuu..maana the so called wazanzibar mbona wanaanza kutupanda kichwani..mara tunaitwa wakoloni weusi mara makafiri..mara wanyonyaji wa rasilimali za zanzibar...
Ifikie hatua tueshimiane..naongea haya nikiwa na hasira sana na yanayoendelea humu kuhusu muungano
Binafsi huwa sioni faida ya huu muungano kwa mtanganyika wa kawaida zaidi ya kuona ni swala la kisiasa tuu wakati bibi angu huko mpanda anashida ya kituo cha afya..
Na huwa napata hasira sana nikisikia watanganyika wanaambiwa wanainyonya Zanzibar wakati hata kumiliki ardhi Zanzibar is forbidden kwa mtanganyika ila kwao kuja kununua Shamba kwetu Hungumalwa ni free na kuna kipindi walitaka tuwe tunaenda kwako kwa passport ila wao wawe wanakuja free tu..shukrani zimwendee Rev. Mtikila kwa kulipigania hili...hivi katika hali ya kawaida nani mnyonyaji hapa..
Chukune nchi yenu bhana..mlitukuta na Tanganyika yetu tukiwa na amani...tumechoka kashfa zenu..binafsi silipendi jina tanzania my country is Tanganyika
 
Kawananga wale wanaofikiria kuiua Zanzibar kwa kuwa na serikali moja.
 
u must be ill,,, very ill coz u dont know what ur saying, na ungejjua mi nimekupa hiyo kama siri usinge bwabwaja hayo mashudu...besides no one wants to reside in zanzibar bara inatutosha sana, na ndio maana mmejazana sana huku, tukisema tuanze kuwafanyia fitina...Mungu aepushie mbali

ukimaliza povu KAOMBE MSAADA WA COMPENSATION KWA KUBANDULIWA NA HAWA WABANDUAJI walimu wenu


During the 1960s, Cunningham was stationed at St Michael's Catholic Boarding School in Soni, Tanzania.

While there he and other Rosminian priests perpetrated sexual abuse that made this school, according to one pupil, "a loveless, violent and sad hellhole".

Other pupils recall being photographed naked, hauled out of bed at night to have their genitals fondled and other sexual abuse.



Although Cunningham's abuse was known about by the Rosminian order before his death in 2010, it was covered up and knowledge of it only emerged publicly in 2011 in the BBC documentary Abused: Breaking the silence.

The order are resisting paying compensation to the abuse victims.
 
...sio kanisa la katoliki wewe, embu mtaje mmoja wa katoliki tuone kama hujaanza kucheza segere, ila nyiee tunawajua...we unajua kwanini zanzibar, tanga, uarabuni ushoga umekithiri???? Ni kwa sababu huko makanisa hakuna na kama yapo ni machache sana, hope umeelewa ninachokimaanisha, ukitaka kupinga pinga tu kwa nafsi yako na hiyo dini yenu, lakini that's undisputed fact milele
Assistant Tutor,

Lies enh?


By Daniel Burke, CNN Belief Blog Co-Editor
(CNN) – Pope Francis said a “gay lobby” exists inside the Vatican, a surprising disclosure from a pope who has already delivered his share of stunners, and a resurrection of church conflicts that had bedeviled his predecessor’s papacy.

“In the Curia,” Francis said, referring to Catholicism’s central bureaucracy, “there are holy people. But there is also a stream of corruption.”

“The ‘gay lobby’ is mentioned, and it is true, it is there,” Francis continued. “We need to see what we can do.”

READ MORE: The pope said what? Six stunners from Francis

Hints that the Holy See contained a network of gay clergy surfaced last year in reports about a series of embarrassing leaks to Italian journalists.

The “Vatileaks” scandal factored in Pope Emeritus Benedict XIV’s shocking decision to resign earlier this year, according to some church experts, as it impressed upon the 86-year-old pontiff that the modern papacy requires a vigorous and watchful presence.

Francis’ enigmatic comments came during a meeting Sunday with CLAR, the Latin American and Caribbean Confederation of Religious Men and Women, who head Catholic communities of priests, sisters and monks.

The Chilean website Reflection and Liberation, which focuses on Catholic theology, first reported Francis’ remarks. The Catholic blog Rorate Caeli-translated the report into English.

A Vatican spokesman told CNN, “The Holy See Press Office has no official comment on the private meeting.”

Gay and lesbian Catholic groups did not immediately respond to requests for comment.

The Survivors Network of Those Abused by Priests said, “structure, not sexuality, is the real issue.”

“The church is a monarchy. Monarchs are unaccountable. So many monarchs are corrupt. This is true in both secular and religious institutions,” SNAP said in a statement.

Other Catholics counseled caution about reading too much into the pope’s remarks.

“We-don’t have any explanation of what ‘gay lobby’ means,” said Rocco Palmo, a Vatican watcher who runs Whispers in the Loggia, a website on Catholic news and church politics.

“Naturally, some in the church will try to polarize or interpret this, but as the rest of us aren’t-pope, we still have to get further explanation,” Palmo added.

Church experts say the Chilean report rings true since the wide-ranging conversation centers on concerns that Francis has made touchstones of his nascent papacy.

In contrast to the buttoned-up Benedict, Francis has earned an early reputation for speaking off the cuff, often ditching prepared remarks in favor of more informal conversations.

On Friday, Francis nixed his “boring” speech and instead took questions from young Catholic students. Asked by a little girl if he wanted to be pope, Francis laughed and said that only someone who “doesn’t love himself” would want the position.

Last month, the pope sparked a worldwide debate by suggesting that atheists might be able to earn a spot in heaven.

“He has said some things that would turn Benedict whiter than the papal vestments,” Palmo joked.

Francis told the Catholic leaders on Sunday to focus on the poor, that the Vatican must be reformed, and joked that whoever wagered on his long-shot election as pope “won a lot, of course.”

But his comments on the “gay lobby” are likely to gain the most attention, especially in the West, where Catholic leaders have been mounting a fierce fight against same-sex marriage.

After Benedict announced his resignation in February, reports circulated that a “gay lobby” had forced his hand.

Cardinals appointed by the former pope to find the source of the leaks investigated high-level Vatican clergy involved in homosexual affairs who might have been vulnerable to blackmail, according to La Repubblica, a leading Italian newspaper.

La Repubblica reported that the cardinals found evidence of a “gay lobby” within the Vatican but gave few details about it.

“Some high level clergy are exposed to the `external influence’ – what we would call blackmail – of lay people to whom they are connected through ties of a `worldly nature,’” La Repubblica wrote.

The Vatican blasted the newspaper reports as “unverified, unverifiable and completely false.”

Francis is one of the few Catholic leaders to have seen the Vatican report.

The so-called Vatileaks scandal led to Benedict’s butler, Paolo Gabriele, being convicted on charges last year of leaking private papers from the the pope’s private office. He was sentenced to 18 months in prison.

‘Gay lobby’ behind pope’s resignation? Not likely

John Allen, CNN’s senior Vatican analyst, has said it would have been odd if the Vatican report had not considered the possibility that “insiders leading a double life,” including sexually active clergy, might be vulnerable to pressure to betray the pope.

“It seems a stretch, however, to suggest this is the real reason,” behind Benedict’s resignation, Allen said.

In one of his first actions as pope, Francis created a council of eight cardinals, including Cardinal Sean O’Malley of Boston, -to offer suggestions on reforming the Vatican.

“The reform of the Roman Curia is something that almost all Cardinals asked for in the congregations preceding the Conclave,” Francis said, referring to the meetings that led up to his election in March. “I also asked for it.”

But Francis said that he cannot promote the reform himself.-“I am very disorganized,” he said, adding, “I have never been good at this.”

Instead, the pope said, he is relying on his eight appointed cardinals to move the reforms forward.

CNN’s Richard Greene contributed to this report.-

CNN Belief Blog - http://religion.blogs.cnn.com/2013/06/11/pope-francis-gay-lobby-exists-inside-vatican/
 
Last edited by a moderator:
Hawa wazanzibari na hasa wenye rangi za kiarabu na qanaotokea Pemba kila kukicha wao hudai kuwa wao ni akina Al Qabus...al Muhribi...al barwani...na wanasema kuwa wao kwao ni Oman....sasa kwa nini hawarudi kwao Oman? Kule kuna mafuta..gesi...qabus...maisha mazuri



Kama wao wanaona hawayawezi maisha ya znz warudi kwao Oman.


Ya nini kila kukicha makelele tuuu?
 
Hawa wazanzibari na hasa wenye rangi za kiarabu na qanaotokea Pemba kila kukicha wao hudai kuwa wao ni akina Al Qabus...al Muhribi...al barwani...na wanasema kuwa wao kwao ni Oman....sasa kwa nini hawarudi kwao Oman? Kule kuna mafuta..gesi...qabus...maisha mazuri



Kama wao wanaona hawayawezi maisha ya znz warudi kwao Oman.


Ya nini kila kukicha makelele tuuu?

Hayo unasema wewe .wazanzibari wanashiba kuwa wazanzibari kuliko kujinasib na utaifa mwengune iwe oman au tanzania wao uzanzubar ni brand kubwa sana duniani.
Bado hujawajua wazenji....unaongea maneno ya maskani
 
Wewe umepata wapi mamlaka ya kutusemea watanganyika wewe jisemee mwenyewe na wakaskazini wenzako sisi watu wa ukanda wa pwani ni ndugu.

hayo mamlaka ya kuwasemea watu wa pwani umeyapata wapi?kwa taarifa yako mimi sitokei kanda ya kaskazini......nyie watu wa pwani ni ndugu kwasababu hakuna mnalofanya zaidi ya kutwa nzima kushinda vijiweni kunywa gahawa na kushindana kucheza bao.
 
Back
Top Bottom