Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

yaani huyu CHRISTINA anavoonesha chuki kwa waarabu,wazanzibar na waislamu basi na sisi ngoja tukupige vita rasmi...hujui kwamba zaidi ya 40-50 % ya populationya iringa ni waislamu? unajisahaulisha kwamba watumiaji wa serengeti forwarders wengine ni waarabu kama kina fahmi hilmi BIN KLEB great lakes etc????

hiyo asilimia unazungumzia mkoa wa Iringa au Manispaa ya Iringa?
 
Kukufahamisha tu kuwa kila mmoja awe na uhuru wa anavyoamini lakini tusibatizane ujinga wala kutowana uananchi!
Kweli kabisa, na tuheshimu maamuzi ya wenzetu pia. Na Mungu anawapenda wale watendao mema

Inna Allaha Yuhibbu..
 
Umewahi sikia na ship kwenda huko?

Kwa mara nyingine tena tumia lugha tunayotumia hapa

Mimi sina chuki na wazanzibari, ninawapenda kama wao wanavyonipenda...

With what you just wrote and remind them of Kibonge that realy touched their nerve you mock the killing of their people in Pemba yeah you just love them alot super love!!!🙄
 
Kwa uhalisia muungano ni kwa ajili ya wakubwa kwa ajili ya kulinda ulaji wao tu.suluhisho ni serikali tatu full stop.Uchumi wa Tanganyika utaimarika kwani mapato lukuki yatakusanywa ,wazanzibari watalazinika kulipia vibali vya makazi na ajira.Nyumba za serikali ya Tanganyika walizomilikishwa zitarejeshwa mikononi mwetu!
 
With what you just wrote and remind them of Kibonge that realy touched their nerve you mock the killing of their people in Pemba yeah you just love them alot super love!!!🙄
Wewe ndio unasema hayo,

Mimi nilikuwa na maana tofauti kabisa, unajua namzungumzia bonge gani?
 
Yaani hata wewe mbulumundu unanishambulia hapa?

Leo mbona napigwa nondo kutoka kila kona? hapa ni JF AU?

ndio ujue umeoza kabisa.......ndio ujue upo ktk wrong track..Wahehe ni watumwa tuu ..next time hawatazame wakicheza zile ngoma wanazoziita ni kihehe.uone kuanzia uvaaji..halafu ujiulize wazee walikueje watumwa.Mkwawa tayari alishawafanya watumwa na wengine akawauza hawakuwa tena na ujanja wa kumwekea mkwawa mipaka.Una bahati wajerumani waliwakomboa na kumpelee jamaa kujiua..leo wewe ungekuwa unazungusha kichwa na kupiga kichwa chini ili upate kovu..ungekuwa unafundishwa kuchamab na mawe, na michanga..km Ritz.

Ila watu wenye roho mbaya na kufuta tumbo huishia huko....mtajifanya kustaarbika sana huku ukiwaa appease hawa makenge mwisho utajikuta upo kwao.Wanapenda sana kuwa appeased..ndio maana mbulula wenzio kila kitu ch akiarabu wanakita asili ya mwafrika.Hata t
 
Makamo na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein amesema anaetaka mamlaka Kamili Zanzibar ahame., ameyasema hayo jana kwenye mkutano maalum na waandishi wa habar kule visiwan Zanzibar

Source: Nipashe

Bila shaka ukitaka kuandika Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi(kama bado lipo) na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar!

Ushauri wangu wa watawala na wananchi wa Zanzibar wajiandae kisaikolojia kwa mabadiliko yoyote ya Muungano badala ya kutishana na kuogopa kujadili Zanzibar yenye mamlaka kamili.

Watawala wa Zanzibar na wapambe wao wamelemazwa na dezo wanazopata toka Tanganyika mpaka wamefikia kiasi cha kushindwa kufikiri muungano ukivunjika wataishi vipi!

Hawa wanaolilia serikali mbili ndio wamekuwa wanafaidi vya dezo. Na Wazanzibari watashangaa ikitokea Muungano ukavunjika hawa vibaraka watakimbilia huku Tanganyika!
 
Yaani hata wewe mbulumundu unanishambulia hapa?

Leo mbona napigwa nondo kutoka kila kona? hapa ni JF AU?

ndio ujue umeoza kabisa.......ndio ujue upo ktk wrong track..Wahehe ni watumwa tuu ..next time hawatazame wakicheza zile ngoma wanazoziita ni kihehe.uone kuanzia uvaaji..halafu ujiulize wazee walikueje watumwa.Mkwawa tayari alishawafanya watumwa na wengine akawauza hawakuwa tena na ujanja wa kumwekea mkwawa mipaka.Una bahati wajerumani waliwakomboa na kumpelee jamaa kujiua..leo wewe ungekuwa unazungusha kichwa na kupiga kichwa chini ili upate kovu..ungekuwa unafundishwa kuchamab na mawe, na michanga..km Ritz.

Ila watu wenye roho mbaya na kufuta tumbo huishia huko....mtajifanya kustaarbika sana huku ukiwaa appease hawa makenge mwisho utajikuta upo kwao.Wanapenda sana kuwa appeased..ndio maana mbulula wenzio kila kitu ch akiarabu wanakita asili ya mwafrika.Hata tamaa zao,kufuga majinn,na uvivu ...kula tende...etc kwao ni asili ya mwafrika..hadi kiarabu nacho ni asili ya mwafrika.
 
Mkuu ya Zanzibari hayanihusu ndio maana napenda sana huu muungano uvunjike

Halafu nani kakuambia mimi nauhusudu uarabu?

Mimi ni muhehe mweusi kama mkaa natokea Kalenga

Dou you think you will play games to Zanzibaris there like you did to CDM and now CCM for your interest and they know that you befriend them to get intelligence from them they even know that you are un reliable in your business they even fear of being framed by you through their packages. Instead they are spying on you now. Teh teh teh.

Guys I am very friendly with them but i dont interefere in their interest and I dont patronize them to meet my ends. I really respect them because they have a cause like my ancsestral people in the Sind and kule India Punjabi Province.
Beside they are very good in business and trustfull not like the rest.

Yes you husudu Arabs too bcz you just told me that you have Arabs brothers and are Lukosi. Teh teh teh.
 
Bila shaka ukitaka kuandika Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi(kama bado lipo) na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar!

Ushauri wangu wa watawala na wananchi wa Zanzibar wajiandae kisaikolojia kwa mabadiliko yoyote ya Muungano badala ya kutishana na kuogopa kujadili Zanzibar yenye mamlaka kamili.

Watawala wa Zanzibar na wapambe wao wamelemazwa na dezo wanazopata toka Tanganyika mpaka wamefikia kiasi cha kushindwa kufikiri muungano ukivunjika wataishi vipi!

Hawa wanaolilia serikali mbili ndio wamekuwa wanafaidi vya dezo. Na Wazanzibari watashangaa ikitokea Muungano ukavunjika hawa vibaraka watakimbilia huku Tanganyika!
Matusi nimeyazoea mkuu, wee tukana tu, ukimaliza nishtue...
 
Dou you think you will play games to Zanzibaris there like you did to CDM and now CCM for your interest and they know that you befriend them to get intelligence from them they even know that you are un reliable in your business they even fear of being framed by you through their packages. Instead they are spying on you now. Teh teh teh.

Guy I am very friendly woth them but i dont interefere in theor interest and I dont patronize them to meet my ends. I really respect them because they have a cause like my ancsestral people in the Sind and kule India Punjabi Province.
Beside they are very good in business and trustfull not like the rest.

Yes you husudu Arabs too bcz you just told me that you have Arabs brothers and are Lukosi. Teh teh teh.
Wewe nimechoka kubishana na wew kwa sababu umekuwa mbishi sana na hutaki kukubali kushindwa

Anyway, stay blessed..
 
Mkuu mbona unanichekesha?

Kwa hasira zangu ningekuwa Rais ningevunja muungano lakini baada ya kuangalia kwia makini nimegundua kuna ndugu kibao kule ambao wanaupenda muungano, hivyo kwao faida ya wale wanaoupenda muungano kuanzia leo sikubali uvunjike bora uwepo ili kuwanusuru ndugu zetu
Chezeya Pengo weye!
 
Mkuu umeongea maneno ambayo ni mazito sana na hakuna uthibitisho kama ni ya kweli

Mimi ninachokuambia na kukuhakikishia ni kwamba hata ufanye nini hii ndopa haitavunjika kwa sababu ya jinsi tulivyojichanganya tayari.

Kuna watu wachche wanaopandikiza chuki lakini hawatafanikiwa,

Muungano siupendi lakini kwa sababu nawapenda wale watakaobaguliwa na kudhurika kama ndoa ikivunjika itabidi tuivumilie tu

Au hujui kuwa kuna kipindi wazazi wanaamua kuendelea kuishi pamoja ilhali hawapendani na wanafanya hivyo kwa faida ya watoto wao?
Hadithi ile ni ya kweli. Nimeileta ili kumjua shein kuwa si mtu mwenye falsafa yoyote kwani dhati yake sio nyeupe.
Ama kuhusu muungano mimi binafsi sipendi ubunjike nitaeleza kwa nini.ingawa nimekua nikitetea baadhi ya misimamo kuhusu zanzibar. Waswahili husema damu nzito kuliko maji.....

Kwa nini binafsi sipendelei muungano kutovunjika?
Nilibahatika kuishi zanzibar ya ASP na ccm . Wakati wa karume na jumbe
Miaka ile ubaguzi ulikuwapo sana mashuleni na hata mitaani. Nakumbuka vizuri sana nillihama shule kwa sababu mwalimu wangu akiniita wee mmanga, mara wee mwaranu koko....akisema nyinyi ndio mliotutesa ... nyoooo
nilikua very sensitive kuhusu kubaguliwa nikaacha kwenda shule. Wakati ule ukitoroka shule kuna kikosi kazi kinakuja mpaka home kwenu kukufata. Niliwangaisha sana na mzee wangu akipiga sana kuhusu shule lakini nikamwambia kama mwalimu ananisaka kwa sababu ya rangi yangu sitaki kusoma , mzee akaelewa akasema basi pumzika utahamia shule nyengine mwakani. Nikaanza shule nyengine na huku mwalimu wetu hakuwa mbaguzi ...sikutoroka tena shule mpaka nimemaliza f6
Sisi familia yetu ni mchanganyiko wa waraabu wapemba waunguja wangazija na wadigo wa tanga pia...hivyo rangi kwetu haikua tatizo.. lakini ukweli miaka hio ubaguzi wa rangi ulikuwapo sana. Askari wa kijani wa asp na polisi walikua na chuki sana na sisi rangi mchanganyiko.
Chuki hizi zilikuwapo makazini njiani na hata kwenye michezo...
Walimu wakuu wengi walikua ni wabaguzi kabisa na kutupa adhabu kwa sababu ya rangi tu.
Hali hii ilisabisha vijana wengi kukimbila Tanga na Dar es salaam kujiendeleza kusoma na kutafuta maisha.
Zikaja harakati za vyama vingi... walimu wengi waliamua kuingia siasa... na wengi ya wale walokua wakitubagua nao wakajitumbukiza siasa.... wapo askari na wakuu wa asp vijana... nao pia wakajiingiza siasa...na yule mwalimu ambaye alinisumbua sana kwa ubaguzi hadi nikahama shule na kupoteza mwaka mzima naye akajiingiza kwenye harakati za vyama vingi.
Hawa wote waliingia CUF.....!! Na sasa wamegeuka ..wamesahau walivi tudhalilisha kule mwanzo.hawa hawakuwa Wazanzibara bali wapemba na waunguja kindaki ndaki
Ilhali watu wengi walihamia Tanganyika kutokana na ubaguzi na adha ya kukosa haki binadamu kule visiwani.
Tumekuja hapa wengi tumenremeka sana Alahmdulilah...tumejenga.. na wengi walizipenda keki za Tanganyika na wamefunga ndoa huku. Na wenye nyumba ndogo pia wapo.

Jambo la muhimu na kutambua hatukuja Tanganyika kama wakimbizi japo tuliondoka kukimbia ubaguzi ila tulikuja Tanganyika kama watanzania...kwa maana nyengine tuliutambua Mungano na kutambua kuwa kwa mujibu ya katiba tupo huru kuingia na kuishi popote katika Jamhuri. Fursa hii wazanzibar na haswa wapemba waliitumia vizuri sana. Tukahama kwetu kuzaliwa na kuhamia makazi mapya na ukweli tulikaribishwa vizuri si haba.
Kabla ya vyama vingi hatukua tatizo la wanasiasa kule nyumbani kwani tulichuma na kujenga tulipotoka..ingawa kabla ya trade libererazation niashara hazikua za maana lakini hali ilibadilika mara baada ya biashara huria vijana wengi walinufaika kibiashara na kiuchumi ...wakati huo nao vyama vingi vimeanza....hapa wanasiasa wa nyumbani wakaona lazima hawa tuwatenge... na kwa mara ya mwanzo tukawa hatuna haki tena nyumbani visiwani... ikatungwa sheria ya vitambulisho kututoa kuwa sisi tulohamia sehemu nyengine ya muungano si wazanzibari tena , hatuna haki ya kumiliki ardhi wala nyumba,hatuna haki ya kupata kazi za serikali,na pia hatuna haki ya kumchagua rais wa nyumbani zanzibar.
Sheria hii ya kibaguzi imetifanya sisi sawa na wapelistina walofukuzwa na Israel mwaka 48 na 67 kuwa sio wapelistine tena.
Kuwapo kwetu ndani ya muungano haikusadia sisi kuwa na haki sehemu tulotoka ....huu ni ufashisti wa hali ya juu.
Kuna watu watasema labda cuf itakua hivi na vile... mie nasita kukubali nikikumbuka wale walimu wangu darasani wakinibagua leo wengine wakawa ndio viongozi waandamizi wa cuf.
Hivyo kwa maslah yangu bora ubaki kama ilivo na zaidi ikiwa serikali moja basi nitapata fursa ya kumiliki ardhi nyumbani niliko zaliwa.
Kambi za siasa zote zinatawaliwa na ubinafdi tu....
Tulifukuzwa kwetu lakini wabongo wametupokea.....huu ndioo msimamo wangu.
 
Hawa jamaa wanaabudu sana waarabu,

Anyway, tusiwalaumu, si unajua ndio system ilivyowekwa..

bahati mbaya sana waarabu wana influence kubwa sana Africa.....wanapoteza sana nguvu zao ,frdha hata na blackmailing na kutumia sana dini kupolish dini yao....
 
Au hujui kuwa kuna kipindi wazazi wanaamua kuendelea kuishi pamoja ilhali hawapendani na wanafanya hivyo kwa faida ya watoto wao?
Usijiingize katika mambo usiyoyajua!

Hujui kuwa kuendelea kuishi na mzazi mwenzio wa namna hiyo kwa ajili ya watoto ndiyo kuwaharibu watoto?!

Fikiria mtoto anakuwa akiwaona baba na mama hawaheshimiani..
 
Teh teh teh teh!

Yaani unataka kunambia yule ehud barak au shimon perez au netanyahu alipokuja huko kwa wala mbwa akacheza faulo au!?? Manake hakuna kitu wayahudi hawapendi kama mtoto wa HARAMU.

Cc Ritz Ntuzu


Mkuu umeniita lkn nimeanza kukuogopa! Maana ninachokiona ktk mijadala hii ya siasa mtu akisema ukweli anageuziwa kibao nakushambuliwa yeye binafsi!

Bado naifikiria hoja ya Jaffary Km inashida!
 
Last edited by a moderator:
Wewe nimechoka kubishana na wew kwa sababu umekuwa mbishi sana na hutaki kukubali kushindwa

Anyway, stay blessed..

Oh yeah I am blessed with what I. Now.know about you teh teh teh.

Why should I agree with you while all you have written shows your real color?

The truth shall set you free Chris Lukosi
Ritz
 
Last edited by a moderator:
bahati mbaya sana waarabu wana influence kubwa sana Africa.....wanapoteza sana nguvu zao ,frdha hata na blackmailing na kutumia sana dini kupolish dini yao....

Cmon go ahead Nicholas, say it as u are used to say always about them and their religion and terrorism and Al Shabab.
You are stereotyping them then you complain. Pathetic people!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom