Pamoja KakaOkay Sawa mkuu mbona mi wanangu kibao WA PRM Akina Kairo jamhuri , Samui Abdallah, lufuta, Amini Ally, Calvin kimasa na wengine kibao Waulize Tu Enock Mashauri watakuambia Munyama mukali Mimi.
Poa Karibu Sana Musoma kwetuPamoja Kaka
Kila La Kheri Ukienda Huko JKTPoa Karibu Sana Musoma kwetu
Ahsante sana kaka ila Tumuombe Mungu ajalie.Kila La Kheri Ukienda Huko JKT
Jana Nlienda wilayan kulizia hiz mishe wakanambia kuanzia j3 nafas zinaweza kutoka.. mule wilayan kwnye room flan kuna wajeshi wanashughlka sijui na nin nkaingia kuuliza tena wakanambia kuanzia j3Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa Major General mmoja (jina kapuni) muda wowote kuanzia mwez wa tatu mzigo utatema.
Vjana anzeni kusaka mibuyu mapema mui set hasa wale wenye degree na diploma wanaotaka kuingia, nafac huwa ni chache. Ukisubiri zitoke ndo uanze michakato utaishia kuzickia kwenye bomba.
Kwanini siku hizi wahitimu kule TMA ni maluteni usu pekee?Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa Major General mmoja (jina kapuni) muda wowote kuanzia mwez wa tatu mzigo utatema.
Vjana anzeni kusaka mibuyu mapema mui set hasa wale wenye degree na diploma wanaotaka kuingia, nafac huwa ni chache. Ukisubiri zitoke ndo uanze michakato utaishia kuzickia kwenye bomba.
Tumuombe Mungu Mkuu.Jana Nlienda wilayan kulizia hiz mishe wakanambia kuanzia j3 nafas zinaweza kutoka.. mule wilayan kwnye room flan kuna wajeshi wanashughlka sijui na nin nkaingia kuuliza tena wakanambia kuanzia j3
Ilikuwa hivyo mwanzo ila ile nyingine ya Lutenu nilickia ilikuwa ni zawadi ya president Jakaya hapo kwa papo. Ila kwa sasa imerudi kama zamani wanahitimu Usu alafu nyingine wanapewa baada ya muda wale wastahiki (degree)Kwanini siku hizi wahitimu kule TMA ni maluteni usu pekee?
Itakuwa chumba cha mshauri wa mgambo maana ndo wana deal na masuala ya jeshi.Jana Nlienda wilayan kulizia hiz mishe wakanambia kuanzia j3 nafas zinaweza kutoka.. mule wilayan kwnye room flan kuna wajeshi wanashughlka sijui na nin nkaingia kuuliza tena wakanambia kuanzia j3
bado hujaeleweka vema mkuu.Ilikuwa hivyo mwanzo ila ile nyingine ya Lutenu nilickia ilikuwa ni zawadi ya president Jakaya hapo kwa papo. Ila kwa sasa imerudi kama zamani wanahitimu Usu alafu nyingine wanapewa baada ya muda wale wastahiki (degree)
Kabla ya utawala wa JK ilikuwa hivyo afisa cardet pale TMA walikuwa wanahitimu kwa nyota moja (luteni usu) ila kwa taarifa nilizozipata kutoka ndani ya chombo, wakati wa rais JK alitoa ofa yeye kama amiri jeshi mkuu wale wa degree wapewe mawe mawili on spot i.e. moja akiitoa yeye kama amiri jeshi.bado hujaeleweka vema mkuu.
Ya pili hupatikana baada ya mda ganKabla ya utawala wa JK ilikuwa hivyo afisa cardet pale TMA walikuwa wanahitimu kwa nyota moja (luteni usu) ila kwa taarifa nilizozipata kutoka ndani ya chombo, wakati wa rais JK alitoa ofa yeye kama amiri jeshi mkuu wale wa degree wapewe mawe mawili on spot i.e. moja akiitoa yeye kama amiri jeshi.
Lakini kwa kuwa ametoka (raisi JK) nahic utaratibu wa zamani waweza kurudi, kwa kawaida watapewa moja (wote watakuwa luteni usu) hawa cardet? alafu wa degree watatunukiwa ya pili baada ya muda fulani kuwa ma luteni kamili.
Mwaka 2011 wakati sister wangu anahitimu pale TMA aliniambia ya pili walipata baada ya masaa 6 sasa sijui kwa sasa itakuwaje.Ya pili hupatikana baada ya mda gan
Alf naskia maneno maneno kua kuingia pale TMA ni mbindw kweli, kuna ukweli wowote kwenye hili?Mwaka 2011 wakati sister wangu anahitimu pale TMA aliniambia ya pili walipata baada ya masaa 6 sasa sijui kwa sasa itakuwaje.
TMA nafac huwa zinatoka kwa wenye vigezo, kwa hiyo ukikidhi vigezo tu hakuna wa kukuzuia. Ishu ni kuingia jwtz. Lakni ukishaingia kule na una kidhi hakuna wa kukuletea mizengwe labda ukashindwe mwenyewe kule.Alf naskia maneno maneno kua kuingia pale TMA ni mbindw kweli, kuna ukweli wowote kwenye hili?
Na kwa sababu anayeongoza na kupiganisha platoon mara nyingi huwa ni ma luteni hivyo maluten yafaa kuwepo wa kutosha.Alf naskia maneno maneno kua kuingia pale TMA ni mbindw kweli, kuna ukweli wowote kwenye hili?
Mkuu Miezi 6 Au Masaa 6 ?Mwaka 2011 wakati sister wangu anahitimu pale TMA aliniambia ya pili walipata baada ya masaa 6 sasa sijui kwa sasa itakuwaje.
Masaa 6 hrs.Mkuu Miezi 6 Au Masaa 6 ?