Kaka unaweza ukani/ukatujuza maelekezo ya io barua jinsi ya kuandika na vitu gani vinatakiwa kutoka kwa serikali ya mtaaMkoa wa dar wilaya ya ilala kaka nlkuwa ofisin kwao leo saa tano ndo tqarifa wamenpa na maelezo jinsi ya kuandka barua hyo maana lazma iptie kwa mtendaj kata na mwenye kiti wa serikal za mtaa wako
Apo kwenye cheti cha standard 7 ndo kwenye tatizoNi kweli nafasi za JKT zimeshatangazwa japo Kuna baadhi ya Wilaya bado hawajapata barua za maelekezo,
Kumbukeni kuwa na vyeti halisi vya elimu(original academic certificate and school leaving certificate) kikiwemo na Cheti cha elimu ya msingi, ni muhim mno hiki Cheti cha std VII hata kama una degree lakini Cheti cha std vii ni muhim kuwa nacho!
Nawatakia kila la heri vijana,
achana nae huyo ukute bado anakula jasho la baba yakeWe jamaa nakuona sana humu ndani JF masaa yote 24, wewe nawe ni Jobless tu kama vijana wanaosubiri nafasi za JKT humu ndani.
Wengine tunaenda huko kwa mapenzi yetu kabisa na tunaipenda hiyo kazi. J3 njoo TPB tawi la Metropolitan (Ukifika pale Posta kwenye yule Askari kwa pembeni utaona hiyo TPB) Ingia ndani, kisha kunja kushoto, tembea kidogo utatazamana na Credit Department, achana na ya kwanza njoo ya pili yake. Utamkuta kijana wa kiume na binti mwingine wa kike mweupe, huyo wa kiume ndo mimi.
Usifikiri kila anayekwenda JKT hana cha kufanya, wengine wana mipango wa kutimiza ndoto zao, kuna watu wana ndoto za Usalama wa Taifa, Polisi, JWTZ n.k hawezi kusitisha kupigania ndoto yake eti kisa waombaji ni wengi.
Nimekujibu hivi maana naona unawakomalia sana watu wanaotaka kuingia JKT 2016, ni vema ukakaa kimya na ukawaacha kama walivyo maana hatuwezi kukata tamaa kwa maneno yako.
mkuu ntaku-PM.Nimeenda ofisi za wilayan kibaha,nafasi pia bado hazijatoka
Ni mi niliandika vipi unasemaje labda?Kuna kiumbe frain iv aliandika na kupost barua eti nafath zinatoka tar 16 mwez 4 thatha thijui ni kwer
Karunguyeyenaomba msaada wenu huyu mdudu anaoywaje
Ndiyo Mkuu, Kipo Cheti Cha Shule ya Msingi Kile kinachothibitisha Kwamba Ni Kweli Fulani alihitimu Shule ya Msingi ( Std 7) kabla ya kujiunga na Elimu ya Upili( Elimu ya Sekondari).Kazi nyingine bhana eti cheti cha Primary duu hivi huwa kuna vyeti vya Primary?
Cheti cha Standard 7 hauna?je kwa tulio ishia la 5 then tukaenelea form one na chet cha kuzaliwa, olevel, alevel na chuo ...watazingua hicho cha primary?
Kwa kiswahili?Karunguyeye
Mie sina cha lá saba mkuu watazingua?Cheti cha Standard 7 hauna?
Nasikia cha la 7 wanazingua, sijui kina umuhimu gani huko JKT.Mie sina cha lá saba mkuu watazingua?