Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,571
- 19,452
nadhani nimeshakuelewa; kwa kurudia uwanja wa Chato nadhani nilibishana na watu watatu huko nyuma kuwa ulipitishwa na bunge. Mmoja alielewa ila akalaumu kuwa serikali iliuweka kwenye bajeti kiujanja kusudi wabunge wasitambue, mmoja hakujibu tena ila nadhnai ni wewe uliuyekmaa mpka kuwa personal asif ulinyangwanya uwanja ule. Kama ni wewe ndugu yangu, usiumize kichwa chako kuwa unakariri nani kaandika nini JF, na kuishia kujidhalilisha kwa kuonyesha temperament mbovu hata kama hatufahamu. Utapata pressure bure; learn to agree to disagree kwenye thread moja na kuhamia thread nyingine.Kuwepo kwako hapa JF kwa muda mrefu hakujakusaidia chochote. Mabandiko yako ni yale yale ya kipuuzi tu siku zote! Rekodi hiyo nayo ni ya kujivunia?
Miaka yote hiyo umekuwa hapa JF, lakini michango yako ni ya kijinga kabisa, kama kule kung'ang'ania kwamba ule uwanja wa ndege Chato ndio ule ule uliokuwa umepangwa kujengwa Geita! Huu ni mfano mmoja tu wa mambo ya kipuuzi unayojaza humu kila unapojitokeza.