Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu.
Ila kasoro mzee Mtei yeye hazeeki na kila siku ushauri wake unazidi kuwa mzuri sio?
 
Wenye akili kubwa km yeye wamemwelewa
Kweli kabisa kwa sababu hata kelele zilizoko mitaani sasa hivi ni kwa sababu wananchi wanajutia kutokuwepo kwake.

Serikali imekuwa ya wenye nacho tu kwa sasa!

Chama CCM kimeanza kuporomoka kama awamu ya nne!

Sera zimebaki ni kuuza nchi tu.

Kila mtu anakula kwa makali ya Panga lake tu.
 
Huyu Mzee, ni tumbo tu linalomsumbua.

Baada ya kuona kuwa ametupwa nje ya ubalozi........

Anatafuta njia za kuonekana na wanaccm, Ili apewe "ulaji" mwingine
Kawaida yenu Chadema na kauli kama hizi kwa opponents wenu.

Akili ya Dk Slaa ni sawa na kina Lema mia moja.
 
Kumwelewa dr. Slaa lazima uwe na akili kubwa zaidi ya hapo utabaki na vijembe
Hawa wafuasi wa Mbowe wengi ni watafuta shot cuts siasa sio sehemu yao.

Wengi ni wasaka tonge tu.hasira zote hizi sababu kubwa ni kukaa vijiweni kwa muda usiojulikana.

Na wengi waliishaifanya siasa kuwa sehemu rasmi ya kujipatia riziki ya watoto na familia zao.

Wapiga kelele wakuu huko ni wale waliokuwa walimu na wakaacha ajira zao rasmi.

Mfano Heche na Pambalu.
 

Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom