Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,912
- Thread starter
- #81
Hapana, haiwezi 😂 😂 😂Mm sijafit kwenye vigezo ila naweza kukukojolesha vzr, vp hy haiwezi ku-overtake hizo qualifications ulizoandika?
Hapana, haiwezi 😂 😂 😂Mm sijafit kwenye vigezo ila naweza kukukojolesha vzr, vp hy haiwezi ku-overtake hizo qualifications ulizoandika?
Jamani, kama vigezo vingine vipo hilo la age linaweza kuvumilika 😂Hivi under 30 uwa mnatuona tuko kama vitoto vya 2000 sio?
Sawa, let's do it!Haya get ready kesho nakupitia tukafanye hiking Meru camp. Pumzi si iko mamdogo auntie?
Sawa 💯Ukifikisha miaka 45+ tuonane
Sasa kweye urafiki kalio la kutetema la kazi gani?Hahhaaahaa ushaelewa vitu vyangu hilo hilo la kutetemeka
Haha bwana. Mambo yanakuwa ni Morning.. mapendo.. Bwana Asifiwe.. Assalam Aleykum.. Kristooo. KwishaaaUnazingatia tu protocol kimtindo
Wakubwa
Vijana wenzangu(wenzako wewe hapo)
Wadogo zangu. Itifaki imezingatiwa
Mwana kwetu nafasi zimejaa?Duuh mbona kumejaa
Lamomy nilikua nakula mwanakwetu, ngoja nianze kupitia hizi replies 😂
Zingatia: Asiyejua maana, haambiwi maana!Unatafuta mtu wakubadilishana nae mawazo!!
Umechoka kuwaza mawazo yako mpaka unatafuta mtu ili mbadilishane mawazo?
Vipi kwa mtu ambae anaishi kwa furaha na hana hayo mawazo,nafasi ipo?
Umri umenikwamisha tuJamani, kama vigezo vingine vipo hilo la age linaweza kuvumilika 😂
Sawa, let's do it!
Wewe ni mtu wa maana sana mwanakwetu, niletee malisafi hiyo ila izingatie vigezo tu!Mwana kwetu nafasi zimejaa?
Nataka nimuwekee booking mchizi wangu makaveli10 😹😹
Basi nitakuPM tuyajenge mami!Umri umenikwamisha tu
Ila me nazagaaga mpk kuna kundi la watu linahisi nafanya industry ya utalii.
Mengine yote ✅
Na control namba nimepewa nililipie 😂😂😆Tangazo limeeleweka (In waungwana voice) 😹😹😹
Dah!! Rafiki wa kweli anakukumbuka kwenye mambo mazuri.Mwana kwetu nafasi zimejaa?
Nataka nimuwekee booking mchizi wangu makaveli10 😹😹
Sawa kaka, nitasubirinitazungumza na wewe binti yangu uzuri nimelipiti hili
Vigezo na masharti kuzingatiwq.Wewe ni mtu wa maana sana mwanakwetu, niletee malisafi hiyo ila izingatie vigezo tu!
😋😘Basi nitakuPM tuyajenge mami!
Next Brazil, Praguay na KilwaKwenye kusafiri hapo count me in... So tell me next journey yako umepanga iwe wapi? Both ndani na nje...