Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Mungu akusimamie, nmeshuhudia wanawake wengi waki corrupt mwishoni sababu ya kuwawekea vigezo vingi wanaume

Fullstop, kwishaaaa
Amina šŸ™šŸ½

Binafsi natafuta rafiki tu na wala si mpenzi wala mume!
 
Nmekuelewa unatafuta rafiki kwa unavo dai, kwa bahati mbaya urafiki wa ke na me hua niwa kuanzia utotoni hadi mnakua kuna umri ukifika huwez pata rafiki wa jinsia tofauti tena labda usiwe na mvuto, au umezeeka, vinginevo lazima mchapane tu. Unger tafuta kaka hapo poa, si rafiki umri huo 30s au 40s mtatongozana mwisho wa picha urafiki hauna mkataba huwa ni automatic mnajikuta washkaj tu si kwa mfumo huo na vigezo hivo. mwisho muombe mungu akusimamie.

Fullstop,kwishaaaaa
 
Humu JF pia kuna wanawake, si lazima hao marafiki wawe wanaume tu.

Lakini nimeshakua na rafiki wa kawaida wa kiume ambaye hatujawahi kuvunjiana heshima, japo nakuelewa unachosema!
 
Ni kweli humu kuna wanawake ndio ila hiyo ni stage tu ndo inaanzaga hivo, kesho utadai wanawake hampendani nataka me kesho utakuja tena nataka mume tajiri utakuja sasa stage ya mwisho nataka yoyote kikubwa pumzi

Fullstop,kwishaaa
 
Daah hizo generalization zako ni hatari sana.

Anyway, tuombeane heri tu na mambo yaende yakifanikiwa na si kufeli.
 
Daah hizo generalizationko ni hatari sana.

Anyway, tuombeane heri tu na mambo yaende yakifanikiwa na si kufeli.
Mungu akutangulie madam, hakukuwa na Haja ya kusema umeajiriwa mara sijui nini watu watafata masilahi na si upendo wa urafiki unaotaka umri bado sana usijizeeshe kataa uzee usikubali kuitwa mzee dunia imebadilika uzee si fasheni Bali kuziba fursa maana upo lika la Wakina diamond. Ikawe kheri kwako. ukijja zenji nistue

Fullstop, kwishaaaaa
 
Nimekuelewa vyema!

giphy.gif
 
Back
Top Bottom