Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #441
Request ya kuconnect kwa ajili ya urafiki.Ni amri, tangazo, interview ama ni nini?Ukimpata mwenye hivyo vyote offer yako ni nini, maana naona kuna nafasi ya kazi kabisa hapo...
Ni kweli umesoma hujaelewa?
Kuhusu mimi pia nimejielezea, wewe kama unatafuta a new friend basi jitambulishe.
Kama hutafuti, basi huu uzi achana nao mkuu!