Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,912
- Thread starter
- #461
Asante sana, nitakaribia!Karibu,just to exhange ideas,nipo na 46 pia watoto , napenda kutembea na kusoma vitabu hasa Biblia,no pombe ,no sigara, 0758*********
Asante sana, nitakaribia!Karibu,just to exhange ideas,nipo na 46 pia watoto , napenda kutembea na kusoma vitabu hasa Biblia,no pombe ,no sigara, 0758*********
Watu wana vipaji, muwape support sasa 😅Unaambiwa maigizo ni mengi sana mjini jf
Maandishi haya si mageni jijini 😂daaah afu ujue mm ni ostadh mwenzako jama ukty ni pm mm tu tafadhal
Bila kautambulisho hata kidogo?Njoo inbox
Bila shaka, I willsiku ukija utanishtua boss kubwaa.. 😊
Asante kwa kushare, nimependa.Hi, I napenda kusafiri pia, books, movies, old movies and natamani kujifunza lugha ngeni japo umekua changamoto kidogo.
I'm 33. Public admin by professional let's have fun and explore into the world of everything since I've got an open mind too.
You are welcomeAsante kwa kushare, nimependa.
Nitakucheki PM!
oooooh aya kama huamin.Maandishi haya si mageni jijini 😂
Hapana, muonekano wa mtu si muhimu sana kwangu.mchujo ukishapita walio qualify Binti wa zamani ataomba mtume picha zenu ili kupata walio bora zaid.
swali la kizushi. J unaamini muonekano wa mtu unaeza kumnyima au kumpatia fursa flani?Hapana, muonekano wa mtu si muhimu sana kwangu.
Tutazungumza kwanza, tukiona tunaelewana then tutajaribu kufahamiana kwa kukutana au kuzungumza kwa video call!
Ndiyo, naamini hivyo.swali la kizushi. J unaamini muonekano wa mtu unaeza kumnyima au kumpatia fursa flani?
Shukraan madam. Natunza kumbukumb ili siku nikija hii ndo iwe passport yangu ya kupokea hiyo nafasi moja ya upendeleo😋Request imepokelewa kwa dhati.
Nafasi moja ya upendeleo nimekuachia, pambana utimize malengo yako 🙌
Nitafurahi uki will.Bila shaka, I will
Hakika wewe ni binti mkubwa na mwenye uelewa mpaka nashukuru kwa hilo.Mbona ni kama unataka kusema “mizagamuano / sex” ila unazunguka zunguka