KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,440
- 5,979
Kilicho chako ni chako tu hata kipigwe mawimbi.
Kitambulisho ✅picha huwa ni kitamburisho kikubwa sana
Hapa hapa, karibuni sana!Wa umri kama wa Mzee Mangula tunacomment wapi?
Birthday yako lini?Nakuja nina 60 natimiza October
Watoto wa alfu mbili naona tayari wanasema ni watu wazima sana, so sishangai wewe kutojiona mtotoHahaha,
Ni eatable pia lakini wanakuwa washachoka bhana, viungo vinauma, nk.
Wee bado sana.
Afu hapa ujue siyo mtoto kabisaa.
Kufuli ni special kwa ajili yako 😅 punguza kuwaza kuwala shangazi zako!Nashangaa umeeka kufuli tani nzima hapo inbox pengine ukute sahii ningekuwa tayari najipakulia mwenyewe
Dah,Watoto wa alfu mbili naona tayari wanasema ni watu wazima sana, so sishangai wewe kutojiona mtoto
Hahaha,Kufuli ni special kwa ajili yako 😅 punguza kuwaza kuwala shangazi zako!
😂😂Basi bhana, huwa nikiona hiyo I'd yako, hasa neno zamani ninadhani labda namba inasoma early to mid 50's huko, kumbe bado ni kitu eatable kabisa 😋
Kama imani yako ni R.C.Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
ChaiNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Habari yako tafadhaliBirthday yako lini?
karibu Arusha mkuuNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Ndiyo hata wa kike, ukiwa unajitambua poa tu!Hata wa kike dear?
Wazee wa ovyo kabisaHawa wazee akina ERoni vipengele sana 😅
Hapana @Ms. Natafuta ndiyo amewaita wazee 😅Ulisema wazee wa 30-50 kweli?😂😂😂