Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

We mtoto hebu nitake radhi kwanza 😂
Kwahiyo hao wa 50's vitu vyao siyo eatable au?
Hahaha,
Ni eatable pia lakini wanakuwa washachoka bhana, viungo vinauma, nk.

Wee bado sana.
Afu hapa ujue siyo mtoto kabisaa.

Nashangaa umeeka kufuli tani nzima hapo inbox pengine ukute sahii ningekuwa tayari najipakulia mwenyewe
 
Kwa uzoefu wangu wa kukutana na kujenga urafiki na watu hapa Jamii forums tangu mwaka 2012, naweza kusema kwa uhakika kabisa.
Sifa ya kwanza ya mtu bora kabisa anayefaa kuwa rafiki, angalia namna anavyoandika.
Anaandika kwa utulivu na kwa mtiririko unaoeleweka.
Kwa uandishi huu na mtiririko huu wa mwandishi ni wazi kuwa anaweza kuwa rafiki bora kabisa.

Kila la kheri dada/mama.
 
Weka picha inawezekana tusivutiwe na unayojisifia ila tukavutiwa na jinsi ulivyo na picha huwa ni kitamburisho kikubwa sana
Kupitia pic tunaweza kujua tabia zako, fikra zako na ata vile usivyotaka tujue tunaweza jua pitia pic
 
Kama ni mpenzi wa NDIZI za kupika (sio ndizi za kukaanga) nicheki labda tunaweza kufaana. Nasisitiza tena NDIZI za kupiga sio ugali sijui chipsi kavu...
 
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

  1. Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
  2. Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
Njoo DM
 
Kama ni mpenzi wa NDIZI za kupika (sio ndizi za kukaanga) nicheki labda tunaweza kufaana. Nasisitiza tena NDIZI za kupiga sio ugali sijui chipsi kavu...
Wewe unajua kuzipika vizuri hizi ndizi au?
Ila napenda ndizi nyama - ni moja ya vyakula vyangu pendwa.
 
Kwa uzoefu wangu wa kukutana na kujenga urafiki na watu hapa Jamii forums tangu mwaka 2012, naweza kusema kwa uhakika kabisa.
Sifa ya kwanza ya mtu bora kabisa anayefaa kuwa rafiki, angalia namna anavyoandika.
Anaandika kwa utulivu na kwa mtiririko unaoeleweka.
Kwa uandishi huu na mtiririko huu wa mwandishi ni wazi kuwa anaweza kuwa rafiki bora kabisa.

Kila la kheri dada/mama.
Asante sana mdogo wangu / mwanangu 🙏!
 
Back
Top Bottom