Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Swali la msingi kabisa umekataa lisiulizwe, status yako ya mahusiano kujulikana ni muhimu. Otherwise toa hiko kipengele umeoa/umeolewa kwenye taarifa
Sitaki hilo swali liwe ni kielelezo cha kwanza cha urafiki mpya.
Acha na mimi niliondoe.
 
Kwanini miaka 50 ndo mwisho. Sogeza sogeza mpaka 65/70 ndo kuna uhitaji mkubwa wa company.
Sawa nimesogeza na kuedit uzi.
Halafu tuambie tu kuhusu status yako ili tuheshimu mipaka unapokuwa faragha, otherwise usishangae saa nane usiku unatumiwa tiketi kuwa msafiri na upo na mumeo/mpenzi.
Ukishakua rafiki yangu, status yangu utaijua tu. Ila kwa sasa ili kufilter dhamira tofauti tofauti, nimeamua kutoiweka wazi.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ni 'friendship with benefits'? Utanionjesha? Maana haiwezekani nazijua story zako za mizagamuo humu nikuone halafu mwana abaki kalala.
Inabidi uzisahau kwanza series za simulizi za "utamu wa tunda la kati" kabla hatukua marafiki 😂 😂
 
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

  1. Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
  2. Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!

karibu Meru forest run 31st Aug
 
Kama ni wa kiume mtaishia kuchapana tu, hakuna urafiki wa me na ke!!
Si kweli, mimi nina rafiki mmoja wa kiume mwaka wa 9 huu, hajawahi kunitongoza wala kunivunjia heshima kwa namna yoyote ila.

So hii dhana huwa siiamini sana!
 
Back
Top Bottom